Namna ya kukabiliana na magaidi ni kutumia mbinu wanazotumia magaidi

Namna ya kukabiliana na magaidi ni kutumia mbinu wanazotumia magaidi

Sikuungi mkono watoto wananyanyasika Sana Gaza pale kisa tu makosa ya baba zao ama wajomba zao
Mungu anasema, mtoto atarithi laana za baba ake, lakini mtoto atakapokua na kufika umri wa kujielewa na kuacha kufuata katika nyayo za baba ake hatarithi hizo laana, hii inamaanisha nn?
Kama ni mtoto mdogo ambaye hajui jema au baya, bac maisha yake(his fate) yatakuwa determined na mambo afanyayo baba ake, kama baba ake mwovu atarithi laana, kama baba ake mwema atarithi baraka.
Akifika umri wa kujielewa na kuendelea kweny nyayo za baba ake atarithi laana, asipoenenda na nyayo za baba ake hatorithi laana za baba ake.
Ndo maana mungu anatusihi sana tusitende dhambi, kwasababu hujiathiri wewe tuu bali na uzao wako.

Hili somo lipo kweny kitabu cha kumbukumbu la torati.
 
Back
Top Bottom