Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Utamkuta mpwayungu village na 'Tiss Uchwara' nyboma wanavyojichanganya kwenye viwanja vya kishua kutafuta sifa za kijinga kwa kununua Jack Daniels na mishahara ya 250k take home. Na kupiga mizinga ya hatariiii.
Tayari ninakifaa cha kuwabaini wazamiaji. Wakinisogelea kifaa kitalia njwaa! Hao tayari Mpango kazi wangu ushawawekea mikakati WA kuwadhibiti