Namna ya kunasa Vitoto vya kishua msimu huu wa Sikukuu

Ila hii process ndefu sana. Pia hao escorts ni mzigo. Ikumbukwe vijana wengi wa hovyo hawana hela.
 
ANGALIZO:

ukienda kufanya Mawindo jitahidi uwinde NYAMA inayokuja sio ile uliyoikuta.. Hii itakusaidia sana, unaweza Paramia MKE wa Mtu kumbe kaja na Mumewe yupo around. Ni vyema umsome Mhusika kwanzia anafika ndio unapata a real good picture, bdo kidog nijichanganye siku moja uzuri nilitumia UBABE maana Mumewe alikiw hata ktk Mkono hajai
 

Unachezea kichapo Kwanza
 
Yaan ndo ndefu ivo? Simply andaa pesa kama una gari itapendeza zaidi, alafu pesa iwe mfuko wa shatiπŸ˜‹πŸ˜‹
Ila ukiwa bahili huwakuti
 
Yaan ndo ndefu ivo? Simply andaa pesa kama una gari itapendeza zaidi, alafu pesa iwe mfuko wa shatiπŸ˜‹πŸ˜‹
Ila ukiwa bahili huwakuti
Inategemeana Mkuu kuna PISI zina hela kuliko wewe sas ukianza kupaparika kutoatoa hela mara kulipialipia vibili atakuaibisha au Mchongo utakufa maana KE wakiw na hela wanadharau sana.. So vijana waende kwa Umakini la sivyo watachunwa na mzigo wasile vile vile
 
Weka namba tutume posho!
 
Hapo ni demu tu au unagombea ubunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…