Namna ya kuoga kwa kutumia mzizima na chumvi ya mawe kujitakasa, kuondoa uchawi mwilini na husuda.

Namna ya kuoga kwa kutumia mzizima na chumvi ya mawe kujitakasa, kuondoa uchawi mwilini na husuda.

Labda Chumvi ya mawe Haina shida. Ila sasa umeongeza na taratibu zingine(protocol) kwamba Uoge usiku wa manane tena uoge sehemu ya wazi Haya ni maelekezo ya himaya ipi? Hii ni shirki sasa
Hakika mkuu... sio chumvi tu any thing ukikifanya kwa maelekezo ya kiimani tofauti na mwongozo wa MUNGU ni ushirikina.
The LORD is my shepherd!
 
Labda Chumvi ya mawe Haina shida. Ila sasa umeongeza na taratibu zingine(protocol) kwamba Uoge usiku wa manane tena uoge sehemu ya wazi šŸ¤”šŸ¤” Haya ni maelekezo ya himaya ipi? Hii ni shirki sasa 🤣🤣
Sehemu ya wazi haimaanishi ukaoge barabarani ,

Hata ndani ya fensi yako unaweza ukaoga .
 
Unapoenda hospitali na kuandikiwa dawa, je dawa zote zinatumika wakati wowote?

Mbona huhoji kuna dawa unaandikiwa utumie usiku, kuna dawa unywe mdomoni, kuna dawa uwekewe kupitia anus nk?

Ulishawahi kuhoji?
huu ni uchawi wa kizungu watu wanauthamini wanatukana wa kwao. Kitu kama hakina madhara kwa binadamu au kiumbe chochote siyo kosa kufanya ila hakikisha hakivunji sheria za ulimwengu huu
 
apo k
Chumvi ya mawe kwa urahisi kabisa inapatikana kwenye maduka ya dawa za asili .

Miongoni mwa faida kuu ya chumvi ya mawe ni kukuondolea uchawi uliopo mwilini mwako, husuda na kama kuna milango ya ridhiki ilifungwa basi ukitumia chumvi ya mawe itakusaidia sana kufungua kifungo.

Cha kufanya loweka chumvi ya mawe kwenye ndoo unayokwenda kuogea , hakikisha ni usiku wa manane haswa kuanzia saa 7 usiku na kuendelea.

Hakikisha unaoga sehemu ya wazi (Usioge chooni) ,

Kabla ya kuoga nuia mambo yako , kama kuna husda yoyote uliyofanyiwa iondoke, uongeze mvuto wa kinyota /kiroho.

Oga kwa siku 7 mfululizo usiku wa manane.

Pia unaweza kutumia maji yenye chumvi ya mawe kudekia sehemu unapolala na kiasi kidogo cha chumvi ya mawe kumwagia mwagia kwenye kingo za nyumba yako.

Chumvi ya mawe inasaidia pia hata kwenye shughuli yako, ukitaka shughuli yako iondokane na nuksi ya aina yoyote basi mwagia chumvi ya mawe, pia unaweza ukaimwagia jikoni unapopikia chakula maana kuna watu wanaroga chakula kisiive ili kukuharibia shughuli.

Hili ni zindiko kubwa sana kiroho.

Unaweza kuongezea pia na dawa inaitwa Mzizima , hii itaenda kuzima uchawi wote uliofanyiwa mwilini mwako.

Mzizima unaweza kuogea muda wowote na pia unaweza kuchanganya na uji ukanywa pia.
hapo kwenye kuoga nje ndio pagumu nyumba zenyewe za kupanga tuonekane wanga
 
Back
Top Bottom