Namna ya kuoga kwa kutumia mzizima na chumvi ya mawe kujitakasa, kuondoa uchawi mwilini na husuda.

Mtoto mdogo unaanz kuwa mchawi kwa kujifanya unaonyesha watu dawa.
 
Chumvi ya nyumbani kwako Ina nguvu ya kuweka mihuri seal ya agano la kiroho spiritual tie/covenant ,ukiombea hiyo chumvi Yako ya nyumbani,iwe chumvi pori ya KIASILI Ile kama magadi ni nzuri zaidi ama ya kiwandani,kwa kuisemea sala,manuizo ukaisemesha ukaomba sala kwa MUNGU halafu ukachukua hiyo chumvi ukaimwaga kwenye ardhi ya eneo lako,ama popote penye palipo paralyse palipo pooza lile agano linasimama linatunzwa,pia uponyaji.

Matumizi.
Kuponya ardhi ya nyumbani kwako,uki imwaga KIASI kidoge kwenye Kona za nyumba,chumba ,au ardhi ya uwani mwa nyumba Yako,au kwenye biashara Yako, ofisini KWAKO,kwenye gari Yako

KUOGEA
Mfano mtoto mdogo WA miezi 2 alianza kulia mara ghafla baada ya kuonwa KUPIGWA JICHO na mgeni ndugu WA mama mtoto alipokuja kumsalimia mama Ile ndugu wanakuja kumuona mtoto aliyezaliwa KWA mara ya kwanza

Basi mtoto akawa analia sana hanyamazi,kubembelezwa habembelezeki,kupewa nyonyo anyone wapi analia sana mara ya mgeni aliyekuwa kumtazama mtoto kuondoka TU.

Mama Mmoja jirani akamwambia mama mbona mwanao analia sana hivyo hatuliaa ,akamwambia itakuwa huyo mgeni aliyekuwa kumtazama mtoto WAKO AMEMPIGA JICHO KIJICHO mana katoto kalikuwa kabonge kazuri.

Basi akachukua maji kwenye dishi la kumuoshea mtoto AKACHUKUA NA CHUMVI YA MAWE akachanganya kwenye maji ya kumuoshea mtoto huku anaisemesha kama amekuona KWA jicho baya hatadhurika,baada ya kumuoshea mtoto na maji yaliyochanganywa na Ile chumvi ya MAWE ,mtoto akanyamaza kulia muda huo huo.

Chumvi ya mawe matumizi yake yapo kibiblia ,na hata sisi tunaitwa ni chumvi ya DUNIA, shetani huwa anaig TU MFUMO WA Mungu ,so mfano mchawi anaweza kuja kuazima nyumbani kwako chumvi au moto akavitumia kinyume chako kuvilaani/SHETANI YEYE analeta LAANA na magonjwa ,kupooza kuzima MAFANIKIO Yako.
 
Sio lazima iwe usiku WA manane ,chumvi inafanya kazi muda WOWOTE ,unaweza kutumia chumvi kibiblia sio kwa NAMNA ya kichawi/kishirikina,
SIO marazote chumvi hutumika kishirikina,matumizi ya chumvi kwenye yapo kibiblia sio ushirikina.
 
Unapoenda hospitali na kuandikiwa dawa, je dawa zote zinatumika wakati wowote?

Mbona huhoji kuna dawa unaandikiwa utumie usiku, kuna dawa unywe mdomoni, kuna dawa uwekewe kupitia anus nk?

Ulishawahi kuhoji?
😊😊😃😃
 
Back
Top Bottom