Pepe Madochi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 601
- 816
Kwann uwapangie waoge usiku kwann wasioge muda wowote π masharti yanin ssKwani chumvi ni uchawi?
Kwa matokeo ya uhakika ndani ya muda mfupi oga usiku wa manane.Ndiyo maana wanasema nenda kaoge maji ya baharini means chumvi ya mawe inatoka baharini.
Kuna mtu aliniambia niogee chumvi ya mawe ila hakusema hayo masharti ya kuoga saa nane usiku.
Hakika mkuu... sio chumvi tu any thing ukikifanya kwa maelekezo ya kiimani tofauti na mwongozo wa MUNGU ni ushirikina.Labda Chumvi ya mawe Haina shida. Ila sasa umeongeza na taratibu zingine(protocol) kwamba Uoge usiku wa manane tena uoge sehemu ya wazi Haya ni maelekezo ya himaya ipi? Hii ni shirki sasa
Unapoenda hospitali na kuandikiwa dawa, je dawa zote zinatumika wakati wowote?Kwann uwapangie waoge usiku kwann wasioge muda wowote π masharti yanin ss
Chagua njia unayoona inakufaa.Hapana mkuu...
sisi ni chumvi ya ulimwengu....
Shida inakuja unapoihusisha na maswala ya imani kama hayo maelekezo uliyoyatoa....
Hapo tayari unapractice ibada ya sanamu....
The LORD is my shepherd!
Miujiza ya shetaniNini maana ya ushirikina?
Sure, Huu ni ushirikina tu unaopelembwa pelembwa..Hakika mkuu... sio chumvi tu any thing ukikifanya kwa maelekezo ya kiimani tofauti na mwongozo wa MUNGU ni ushirikina.
The LORD is my shepherd!
Sehemu ya wazi haimaanishi ukaoge barabarani ,Labda Chumvi ya mawe Haina shida. Ila sasa umeongeza na taratibu zingine(protocol) kwamba Uoge usiku wa manane tena uoge sehemu ya wazi π€π€ Haya ni maelekezo ya himaya ipi? Hii ni shirki sasa π€£π€£
Angalia kinachokufaa .Sure, Huu ni ushirikina tu unaopelembwa pelembwa..
Kila mtu ashike alichonacho tu.
huu ni uchawi wa kizungu watu wanauthamini wanatukana wa kwao. Kitu kama hakina madhara kwa binadamu au kiumbe chochote siyo kosa kufanya ila hakikisha hakivunji sheria za ulimwengu huuUnapoenda hospitali na kuandikiwa dawa, je dawa zote zinatumika wakati wowote?
Mbona huhoji kuna dawa unaandikiwa utumie usiku, kuna dawa unywe mdomoni, kuna dawa uwekewe kupitia anus nk?
Ulishawahi kuhoji?
hapo kwenye kuoga nje ndio pagumu nyumba zenyewe za kupanga tuonekane wangaChumvi ya mawe kwa urahisi kabisa inapatikana kwenye maduka ya dawa za asili .
Miongoni mwa faida kuu ya chumvi ya mawe ni kukuondolea uchawi uliopo mwilini mwako, husuda na kama kuna milango ya ridhiki ilifungwa basi ukitumia chumvi ya mawe itakusaidia sana kufungua kifungo.
Cha kufanya loweka chumvi ya mawe kwenye ndoo unayokwenda kuogea , hakikisha ni usiku wa manane haswa kuanzia saa 7 usiku na kuendelea.
Hakikisha unaoga sehemu ya wazi (Usioge chooni) ,
Kabla ya kuoga nuia mambo yako , kama kuna husda yoyote uliyofanyiwa iondoke, uongeze mvuto wa kinyota /kiroho.
Oga kwa siku 7 mfululizo usiku wa manane.
Pia unaweza kutumia maji yenye chumvi ya mawe kudekia sehemu unapolala na kiasi kidogo cha chumvi ya mawe kumwagia mwagia kwenye kingo za nyumba yako.
Chumvi ya mawe inasaidia pia hata kwenye shughuli yako, ukitaka shughuli yako iondokane na nuksi ya aina yoyote basi mwagia chumvi ya mawe, pia unaweza ukaimwagia jikoni unapopikia chakula maana kuna watu wanaroga chakula kisiive ili kukuharibia shughuli.
Hili ni zindiko kubwa sana kiroho.
Unaweza kuongezea pia na dawa inaitwa Mzizima , hii itaenda kuzima uchawi wote uliofanyiwa mwilini mwako.
Mzizima unaweza kuogea muda wowote na pia unaweza kuchanganya na uji ukanywa pia.
πΎπΎ Sidhani kam kuna uhusiano na ushirikina wako, pwenti hazishabihianiUnapoenda hospitali na kuandikiwa dawa, je dawa zote zinatumika wakati wowote?
Mbona huhoji kuna dawa unaandikiwa utumie usiku, kuna dawa unywe mdomoni, kuna dawa uwekewe kupitia anus nk?
Ulishawahi kuhoji?
ChaiMiujiza ya shetani
Ili zishibahiane inabidi ziweje?πΎπΎ Sidhani kam kuna uhusiano na ushirikina wako, pwenti hazishabihiani
Una miaka mingapi?Mod's pelekeni huu uzi kwenye Jukwaa la Vichekesho.
We unafikiri inabidi zifikie kiwango gani?Ili zishibahiane inabidi ziweje?
Kama nilivyoainisha/shibahisha.We unafikiri inabidi zifikie kiwango gani?