Namna ya kuonana na Rais

Namna ya kuonana na Rais

Kuona na Rais inawezekana kabisa, muhimu uwe tu katika circle inayomzunguka. Ni binadamu pia kwa hiyo kuna muda anakuwa nyumbani kwake au kujumuika na familia na ndugu wa karibu katika shughuli mbalimbali za kijamii.
 
circle inayomzunguka kama ipi mkuu au kama watu gani
 
Namba ya kijana wake inakutosha kumpata mama yake .Ipo ni njia rahisi pia japo utamuingia mama mtu kupitia kijana wake

Japo namba zake zipo ila shida ni kuwa unataka kueleza nini ? As long as ushaongea public usije pewa namba ukaleta ugaigai ikawa msala kwa mtoa namba hapa public
 
kuna mtu ananambia hapa mtumie msg kwenye insta yake anaweza kukujibu jamani inawezekana kweli??
Sina uhakika sana kiujumla na taratibu zote lkn zingine ameeleza mjumbe mmoja hapo.

Kwanza ni lazima Usalama wa Taifa wa Mkoani wa kuhoji na kukupeleleza kwa karibu na hali ya juu sana,hapa watajiridhisha kwanza juu ya nia yako,asili yako,mienendo yako na ikiwa ni kweli ufumbuzi wa jambo lako ni lazima atoe Raisi.

Ofisi ya RC itapeleka ombi lako kwa wahusika pale Chamwino au Magogoni kwa ajili ya kuwekwa kwenye ratiba na taarifa ama mrejesho utaletwa tena ktk ngazi ya mkoa ili upewe muombaji.

Inaweza ikachukua hata kipindi cha mwaka mzima tangu maombi yako yapokelewe mpaka siku ya kuonana naye kutegemeana na ratiba zake.

Lkn pia huenda kupelelezwa iwe ni indirect or direct ukapelelezwa sana tu.

Ila hapo kwa Mbunge ulizingua sana yaani 🤣🤣🤣🤣 hata halmashauri kwenu ilipo ofisi ya Mbunge hupajui mpaka umuulize diwani ambaye sifa ya udiwani wake ni kujua kusoma na kuandika kwa Kiswahili?(ijapo hata Mbuge naye ni huyohuyo diwani)
 
Namba ya kijana wake inakutosha kumpata mama yake .Ipo ni njia rahisi pia japo utamuingia mama mtu kupitia kijana wake

Japo namba zake zipo ila shida ni kuwa unataka kueleza nini ? As long as ushaongea public usije pewa namba ukaleta ugaigai ikawa msala kwa mtoa namba hapa public
niambie huyo kijana wake anaita nani mwenye shida atamfata aeleze yake hebu kuweni specific mambo ya shida nina shida nyingi sana lakini mimi ni kutaka kujua kama hutanisaidia kujua utakua umemsaidia mwengine
 
Sina uhakika sana kiujumla na taratibu zote lkn zingine ameeleza mjumbe mmoja hapo.

Kwanza ni lazima Usalama wa Taifa wa Mkoani wa kuhoji na kukupeleleza kwa karibu na hali ya juu sana,hapa watajiridhisha kwanza juu ya nia yako,asili yako,mienendo yako na ikiwa ni kweli ufumbuzi wa jambo lako ni lazima atoe Raisi.

Ofisi ya RC itapeleka ombi lako kwa wahusika pale Chamwino au Magogoni kwa ajili ya kuwekwa kwenye ratiba na taarifa ama mrejesho utaletwa tena ktk ngazi ya mkoa ili upewe muombaji.

Inaweza ikachukua hata kipindi cha mwaka mzima tangu maombi yako yapokelewe mpaka siku ya kuonana naye kutegemeana na ratiba zake.

Lkn pia huenda kupelelezwa iwe ni indirect or direct ukapelelezwa sana tu.

Ila hapo kwa Mbunge ulizingua sana yaani 🤣🤣🤣🤣 hata halmashauri kwenu ilipo ofisi ya Mbunge hupajui mpaka umuulize diwani ambaye sifa ya udiwani wake ni kujua kusoma na kuandika kwa Kiswahili?(ijapo hata Mbuge naye ni huyohuyo diwani)
hahaha tuseme kama mimi mbunge wangu ni Ummy Mwalim na ni Waziri wa Afya unaonana vipi na huyu mtu?? na had umpate n shughuli sasa kama mbunge ni hivi huyo raisi itakuaje?? uzuri au ubaya huyo diwani ni mtu ambae tunafahamiana sana tu sasa naona labda alijua nitamshtaki labda au aliamua tu kuninyima fursa ya kujua who knows
 
Kuna nyakati ambazo anakuja jimboni kwake na ni lazima aingie ofisini kwake pale halmashauri.
Onana na katibu wake,mara nyingi katibu wa Mbuge anakaa ofisi binafsi ama ya chama anachowakilisha huyo Mbuge. Katibu atakupa ratiba na muda (hapa huwa ni makisio siyo lazima aendane na ratiba uliyopewa).
 
ooh shukran sana skua najua hilo sasa ni ofisi ya mbunge au halmashauri?? huku kwetu ofisi ya mbunge hujitegemea kivyake na halmashauri kivyake mkuu huyo katibu anakua wapi kama ntakua sjakuelewa
 
Kila halmashauri kuna ofisi ya Mwenyekiti au Mayor na Mbuge. Mara nyingi ofisi hizi huwa zinapakana.

Katibu wa Mbuge huyu kazi zake hafanyii halmashauri, hufanyia shughuli zake ama ofisi binafsi ya Mbuge au za chama anachowakilisha huyo Mbuge (unakuta kuna ofisi ya Mbunge mmojammoja).
 
nimekupata vyema
 
Habari wanabodi,

Naomba kufahamishwa au kujuzwa je, nikitaka kuonana na mama Samia yani face to face nifanyeje? Wazo hili limenijia kwa mfano unataka kuongea naye je, unamngoja akiwa kwenye msafara unamuomba? Unamngoja afike ikulu ndogo mkoa anaotembelea unamfata?

Akiwa safarini unampigia makelele "mama nina shida ya kuonana na wewe" je, inaruhusiwa kwa mwananchi wa kawaida kumuona raisi wa nchi akaongea naye ana kwa ana? Je, hua anajibu dm huko tweeter au instagram?

Yaani ikitokea unataka kuonana na raisi ukiwa mwananchi wa kawaida unatakiwa kufata hatua zipi?
Ukipata njia nijuze na mimi nahamu sana kuonana nae.
 
mkuu labda ukajaribu huko insta kama atakujibu au anzia kwa mbunge wako naona ndio kama suluhisho zuri zaidi kama watu walivyoshaur
 
Back
Top Bottom