Namna ya kuonana na Rais

Namna ya kuonana na Rais

mkuu labda ukajaribu huko insta kama atakujibu au anzia kwa mbunge wako naona ndio kama suluhisho zuri zaidi kama watu walivyoshaur
Utataabika tu ndugu yangu

Labda hiyo njia ya Insta inaweza kulipa

Inatakiwa nionane na Bi mkubwa kabla hajatoka madarakani maana ni msikivu naimani atanisikia.
 
jaribu kwenda ikulu ukijua yupo dar nenda ukijua yupo dodoma mfate au akija kama upo mkoa mfate yan anza kumfatilia, Mungu akusaidie ufanikiwe
 
Familia, ndugu, jamaa , jamaa wa jamaa, jamaa wa ndugu, rafiki wa wa ndugu.

Nje ya hapo ni ngumu
je kama simjui hata mmojawapo nifanyeje kuwapata??
 
Habari wanabodi,

Naomba kufahamishwa au kujuzwa je, nikitaka kuonana na mama Samia yani face to face nifanyeje? Wazo hili limenijia kwa mfano unataka kuongea naye je, unamngoja akiwa kwenye msafara unamuomba? Unamngoja afike ikulu ndogo mkoa anaotembelea unamfata?

Akiwa safarini unampigia makelele "mama nina shida ya kuonana na wewe" je, inaruhusiwa kwa mwananchi wa kawaida kumuona raisi wa nchi akaongea naye ana kwa ana? Je, hua anajibu dm huko tweeter au instagram?

Yaani ikitokea unataka kuonana na raisi ukiwa mwananchi wa kawaida unatakiwa kufata hatua zipi?
Huwezi kumwona. Watu wote wenye shidq wakienda kwa rais,itakuwaje?
 
Kuna wimbo sikumbuki nani kauimba ila wazamani kidogo.

"Nikipata nafasix2 nataka kuonana na rais"
 
Habari wanabodi,

Naomba kufahamishwa au kujuzwa je, nikitaka kuonana na mama Samia yani face to face nifanyeje? Wazo hili limenijia kwa mfano unataka kuongea naye je, unamngoja akiwa kwenye msafara unamuomba? Unamngoja afike ikulu ndogo mkoa anaotembelea unamfata?

Akiwa safarini unampigia makelele "mama nina shida ya kuonana na wewe" je, inaruhusiwa kwa mwananchi wa kawaida kumuona raisi wa nchi akaongea naye ana kwa ana? Je, hua anajibu dm huko tweeter au instagram?

Yaani ikitokea unataka kuonana na raisi ukiwa mwananchi wa kawaida unatakiwa kufata hatua zipi?
Mtafute aliyechanganyikiwa fulani hivi Lema e atakuunganisha na Rais Kivuli Kikwete na hazitozidi hata Siku Tatu utaonana na Rais Samia Suluhu Hassan ambapo unaweza hata Kuteuliwa nae hapo hapo na ukawa DED au RAS au DC su RC na hata Ubunge na hatimaye Uwaziri.
 
😂😂😂😂😂😂😂 asante no comment
 
Mimi kuna mshikaji wangu huku mkoani alikuwa na tatizo la ardhi alitaka kudhulumiwa ,kwakuwa alikuwa anajuana na mkuu wa mkoa ikabidi amlink na prezo ,akaja dar akaonana na Late Mkapa.

Kama wadau walivyosema ,kama unajuana na chawa wa prezo watakulink.
 
hapo ndio kwenye tatizo what if hujuani nayeyote zaidi ya kuwaona mitandaoni, insta, na kwenye tv
 
Back
Top Bottom