Namna ya kuonana na Rais

Namna ya kuonana na Rais

Unataka yeye ndio aiakufate wewe huko kigoma?

Subiri uchaguzi basi.
mkuu, sina maana hio nineuliza vizuri tu hapo vipi akaja mkoani unakoishi ukimtaka unamfata wapi??
 
hivi huo utaratibu rasmi ni upi kuandika barua ofisini kwake??
Inawezekana isimfikie maana yeye hachani Bahasha kusoma barua. Hawa ni wafalme / malkia ,Mungu wadogo/ wakubwa. Tafuta Malaika, Tena Gabriel. Lema Ingawa siyo Chawa, anaweza maana Yuko determined kusaidia mtu! Anaweza kuwa na access naye hata Kwa simu.....just thinking aloud!
 
ninachokiona hapa kumuona raisi kwa kupitia formal ways ni ngumu sana kuliko kupitia mifumo isoo rasmi
 
Mwaweza kuongea kipemba? Mama hataku longolongo
 
Wale wa njiani huwa wanapangwa nadhani na serikali za vijiji au la hasha huwa inatokea tu kama coincidence...
 
lets say sasa mimi from no where nimesikia Mama Samia anapita sehem flani ambayo nipo nikajiendea nikamropokea "mama nina shida ya kuongea na wewe anakwa ana" inawezekana?? sitabebwa mzobe mzobe kama nimeiba?? atanipokeaje??
 
Huwa hawaropoki, njia nimekuwa naiona kwa wengi ni kukaa mstari wa mbele au kubeba mabango yenye kumshawishi Rais alisome na kuamua upewe mic...

Kinyume cha hapo huwa ni kupangana kabla Rais hajapita...
 
Back
Top Bottom