Namna ya kuonana na Rais

Namna ya kuonana na Rais

Vita ya sisiminzi na tembo kutoka patakatifu huwezi shinda maana amezidiwa vyote akili, nguvu na umbo
Lakini huyo mdogo kapewa utawala shida yake nikuupuuza
tangu jana unangea vitu hueleweki kama unaona huwezi kumwelekezamtu naomba tubukae kwa kutulia shetani kasoro mkia
 
😂😂😂😂 au anzia insta au tweeter huko dm huwezi jua ikawa siku nzuri raisi akakujibu, can you imagine unachat na raisi pm aloo!!
Yaani akijibu tu DM yangu hata nisipoonana nae basi tafarijika.
 
Actually hakuna tatizo kumuona rais. Nenda Ikulu kesho asubuhi. You can go by walking if you like.
Ukifika pale reception utaulizwa una shida gani. Utasema unataka kumuona rais,and why.
Sasa yule atakuambia,"Sasa,hiyo shida yako,ulipaswa kwenda kwa Katibu Kata. " That's all. I ASSURE YOU. Hakuna atakayekuambia,"Kuja hapa ulipaswa kuwa na barua ya rufaa kutoka kwa RC.'
 
kwa hio nitamuona au la nikishasema shida yangu reception
 
tangu jana unangea vitu hueleweki kama unaona huwezi kumwelekezamtu naomba tubukae kwa kutulia shetani kasoro mkia
Hili ndio tatizo mnawalaumu walimu wanafelisha kumbe wanafunzi ni kama nyie hata wafundishe uchi hamwelewi
 
fika maeneo yaikulu vaa kistaarabu waambie walinzi shida yako.utapitishwa ngazi baada ya ngazi sawa?
Utachezea virungu.....nje ya geti pale ikulu magogoni nilipita Kwa mbali nikitokea ferry Kwa nje pale nilimwona askari mmoja very well equipped.....for sure sizan kama atakuruhusu umsogelee.....

Alivalia gwanda la jeshi ila lipo tofaut kidogo nala Jwtz...mkononi ana mashine nzito kwenye medani za kivita...jamaa yupo sharp na very active..... kwenye magoti kavaa gadi za chuma.....

Pale sio pa kwenda kichwa kichwa utaingia matatani Bure....ushaur fuata protocol

Usijidanganye kwenda pale getin Kwa kujileleka....

Kuna kipindi Cha Uongozi wa JK msukuma mmoja enzi hizo aliendesha baiskeli from mwanza to dar es salaam Kuja kumwona JK na alifanikiwa hopefully ilikua planned.....
 
Back
Top Bottom