Namna ya kuonana na Rais

Namna ya kuonana na Rais

Huwa hawaropoki, njia nimekuwa naiona kwa wengi ni kukaa mstari wa mbele au kubeba mabango yenye kumshawishi Rais alisome na kuamua upewe mic...

Kinyume cha hapo huwa ni kupangana kabla Rais hajapita...
ooh bango,hii pia nimeipenda
 
yaani
unaona sasa?kamahuna tatizo unataka kuonana nae wanini?
wewe, umeona hapo juu kuna watu kibao waatamani ila hawajajua namna sasa mimi ndio nimeongea kwa niaba yao hope hii thread itakua maufaa kwa vizazi naviazi hata nikiwa sitakuepo kwenye ulimwengu huu
 
haya njoo pm sasa..
 
inawezekana.lakini Hadi shida yako utueleze sisi chawa Kwanza ndio atuambie tukuruhusu au tukupotezee.
mna dhambi sana😂😂😂😂 kumbe hua mwapotezea pia bas hakuna haja ya kukuambia weee bora akanipotezee yeye
 
yaani mpaka nikueleze wewe ndipo umweleze yeye, je nikitaka kuonana naye mwenyewe wewe ukiwa kama kiunganishi haiwezekani??
yani Hadi unieleze nikamuambie ili ajue mtu anaekuja anata kuongea nini.so wee ukifika huongei Bali yeye ndio anakuuliza maswali kupitia maelezo nilio mpa Mimi.
 
yani Hadi unieleze nikamuambie ili ajue mtu anaekuja anata kuongea nini.so wee ukifika huongei Bali yeye ndio anakuuliza maswali kupitia maelezo nilio mpa Mimi.
kwa manufaa ya wengine hope kunamwengine huko angetaman kujua, je nitajuaje wewe upo karibu na raisi??
 
Back
Top Bottom