mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
Familia, ndugu, jamaa , jamaa wa jamaa, jamaa wa ndugu, rafiki wa wa ndugu.circle inayomzunguka kama ipi mkuu au kama watu gani
Nje ya hapo ni ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Familia, ndugu, jamaa , jamaa wa jamaa, jamaa wa ndugu, rafiki wa wa ndugu.circle inayomzunguka kama ipi mkuu au kama watu gani
Utataabika tu ndugu yangumkuu labda ukajaribu huko insta kama atakujibu au anzia kwa mbunge wako naona ndio kama suluhisho zuri zaidi kama watu walivyoshaur
jaribu kwenda ikulu ukijua yupo dar nenda ukijua yupo dodoma mfate au akija kama upo mkoa mfate yan anza kumfatilia, Mungu akusaidie ufanikiweUtataabika tu ndugu yangu
Labda hiyo njia ya Insta inaweza kulipa
Inatakiwa nionane na Bi mkubwa kabla hajatoka madarakani maana ni msikivu naimani atanisikia.
Huwezi kumwona. Watu wote wenye shidq wakienda kwa rais,itakuwaje?Habari wanabodi,
Naomba kufahamishwa au kujuzwa je, nikitaka kuonana na mama Samia yani face to face nifanyeje? Wazo hili limenijia kwa mfano unataka kuongea naye je, unamngoja akiwa kwenye msafara unamuomba? Unamngoja afike ikulu ndogo mkoa anaotembelea unamfata?
Akiwa safarini unampigia makelele "mama nina shida ya kuonana na wewe" je, inaruhusiwa kwa mwananchi wa kawaida kumuona raisi wa nchi akaongea naye ana kwa ana? Je, hua anajibu dm huko tweeter au instagram?
Yaani ikitokea unataka kuonana na raisi ukiwa mwananchi wa kawaida unatakiwa kufata hatua zipi?
Mtafute aliyechanganyikiwa fulani hivi Lema e atakuunganisha na Rais Kivuli Kikwete na hazitozidi hata Siku Tatu utaonana na Rais Samia Suluhu Hassan ambapo unaweza hata Kuteuliwa nae hapo hapo na ukawa DED au RAS au DC su RC na hata Ubunge na hatimaye Uwaziri.Habari wanabodi,
Naomba kufahamishwa au kujuzwa je, nikitaka kuonana na mama Samia yani face to face nifanyeje? Wazo hili limenijia kwa mfano unataka kuongea naye je, unamngoja akiwa kwenye msafara unamuomba? Unamngoja afike ikulu ndogo mkoa anaotembelea unamfata?
Akiwa safarini unampigia makelele "mama nina shida ya kuonana na wewe" je, inaruhusiwa kwa mwananchi wa kawaida kumuona raisi wa nchi akaongea naye ana kwa ana? Je, hua anajibu dm huko tweeter au instagram?
Yaani ikitokea unataka kuonana na raisi ukiwa mwananchi wa kawaida unatakiwa kufata hatua zipi?
😂😂😂😂😂😂😂 asante no commentMtafute aliyechanganyikiwa fulani hivi Lema e atakuunganisha na Rais Kivuli Kikwete na hazitozidi hata Siku Tatu utaonana na Rais Samia Suluhu Hassan ambapo unaweza hata Kuteuliwa nae hapo hapo na ukawa DED au RAS au DC su RC na hata Ubunge na hatimaye Uwaziri.
iwe serious kama sitakuja mimi atakuja mwengine na mwengineNjoo dm mm Nina namb zake kbsa aliwai nisadia Jambo langu akiwa makamu rais
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
hapo ndio kwenye tatizo what if hujuani nayeyote zaidi ya kuwaona mitandaoni, insta, na kwenye tvMimi kuna mshikaji wangu huku mkoani alikuwa na tatizo la ardhi alitaka kudhulumiwa ,kwakuwa alikuwa anajuana na mkuu wa mkoa ikabidi amlink na prezo ,akaja dar akaonana na Late Mkapa.
Kama wadau walivyosema ,kama unajuana na chawa wa prezo watakulink.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We kwenye msafara atakucha.mba [emoji28]kama alivyofanya kwa maza yule kipindi kile,hapendag surprises [emoji28]
hapo ndio kwenye tatizo what if hujuani nayeyote zaidi ya kuwaona mitandaoni, insta, na kwenye tv
sifahamu ila ni ngumuje kama simjui hata mmojawapo nifanyeje kuwapata??