Namna ya kuonana na Rais

Kuna chawa wake namba moko! Namjua Ila uhakikishe amekulakula hela zako kwanza na wewe mwenyewe amekukula hlf mengine ndiyo yatafata!
abakie tu na uchawa wake kama mpaka anile mimi
 
oooh okay kufata protocal itakayokuchukua mwaka mzima??
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo hana shida kuna watu wanashida hata huo muda wa kuandika utumbo hana je ni insta au tweeter?? kuna muda hua nawaza hata hizo ac zaweza kua kuna mtu anaziendesha sio yeye
Obviously kuna Mtu/Watu wanaziendesha na sio yeye.
 
January nikiwa na rafiki zangu tupo baharini maeneo ya Ocean Road ukapita msafara wake alikua anatoka Ikulu kuelekea Diamond Jubilee, basi gari yake haina tinted tukamuona na yeye akatuona tukampungia mikono kwa furaha na yeye akanyanyua kidogo aisee tulifurahiii tukasema mwaka umeanza vizuri huu, bado tunasubiri tuone kama mkono wake utatupa kheir [emoji120][emoji1783]
 
kwa manufaa ya wengine hope kunamwengine huko angetaman kujua, je nitajuaje wewe upo karibu na raisi??
Nenda pale Ikulu getini utapokelewa kwa bashasha na unyenyekevu mkubwa kutoka kwa wahudumu waliobobea kwenye suala zima la customer care.... waeleze lengo lako la kufika pale na kuwaomba muongozo watakupa ABCD zote.
 
Tatizo la akili hili
 
Inategemea na maelezo yako pale reseption. Utakavyojieleza,una shida gani na una lengo gani.na utaangaliwa kwanza na makamisaa wakiridhika unakaribishwa (ila utapewa siku ya kumwona na huwezi mwona peke yako lazma kutakuwa na wageni wengine pia
 
Kwahiyo hata kama kuna siri baina yako na mheshimiwa maana yake wote waliomo humo watasikia?
 
Kwa kuongezea,

Kama una jambo ambalo ni maslahi ya Taifa na ufumbuzi unamuhitaji yeye.
 
Kwahiyo hata kama kuna siri baina yako na mheshimiwa maana yake wote waliomo humo watasikia?
Kama ni raia wa kawaida basi hapo hakuna Siri , na Raisi anakuwa anajua unakuja kumwambia nn.

Kama wewe ni chaumbea wake Kuna njia unaweza ku meet, au mkaishia ku wasiliana Kwa CODES TU Yan 😂
 
Anza na barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa hapo ulipo
 
Umenena vyema afuate taratibu.
 
Kwahiyo hata kama kuna siri baina yako na mheshimiwa maana yake wote waliomo humo watasikia?

Huwezi ruhusiwa ukae nae tuu pale sebuleni eti upige nae umbea,labda Rais mwenyewe aseme/atoe ruhusa hiyo.na hili hadi iwe hivyo labda uwe mmoja wapo wa familia ya Rais au uwe na card maalum(president discarion) .naaomba niishie hapo tafadhali sitaki tena maswali niko bize stendi huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…