Baba Vladmir
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 373
- 627
Mwili huzalisha sumu kutoka kwenye chakula unachokula , kugawanyika kwa chembe hai au chembe hai zinapokufa kutokana na umri. Sumu hii huitwa Free radicals ( reactive oxygen species).
Unapoamka asubuhi andaa hii recipe ambayo nakuwekea hapa;
CHEMSHA VIFUATAVYO,
Mdalasini, tangawizi , karafuu ( usiweke asali wala sukari) , majani 2-3 ya either mpera, mparachichi au stafeli. Chemsha kwa dakika 10 tu then acha ipoe kabla ya kuchuja , kamulia limao ili kuongeza ladha.
Tafiti zinaonyesha majani hayo yana Quercetin ambayo hushusha sukari hivyo kusaidia kupungua uzito, kurekebisha sukari kwa wenye kisukari ( alpha glucosidase inhibition) pia anti cancer mechanism( kuzuia saratani )anti oxidant and inhibitor of inflammation ( kupunguza kasi ya kuzeeka)
Fanya hii kuwa BREAKFAST kama unapunguza uzito.
Kula mlo wako kamili kuanzia saa 5 asubuhi ( hapa waweza kula 300g za wanga salama) , mlo wa pili saa moja usiku( hapa unaweza skip wanga).
Wanga salama ni nafaka nzima isiyosagwa wala kukobolewa au resistant starch( kiporo cha kiazi kitamu au cha wali...weka kwenye freezer kwa masaa 4 mpaka 8 then pasha , ndizi za kupika( green banana)
Zingatia hii utawasaidia na wengine.
Wakati mwingine nitaandika mitishamba yenye uwezo wa kufanya kazi ya kuondoa sumu.
Turejee edeni.