Namna ya kuondoa sumu ya mwili asubuhi ( Detox)

Baba Vladmir

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2021
Posts
373
Reaction score
627
Mwili huzalisha sumu kutoka kwenye chakula unachokula , kugawanyika kwa chembe hai au chembe hai zinapokufa kutokana na umri. Sumu hii huitwa Free radicals ( reactive oxygen species).

Unapoamka asubuhi andaa hii recipe ambayo nakuwekea hapa;

CHEMSHA VIFUATAVYO,
Mdalasini, tangawizi , karafuu ( usiweke asali wala sukari) , majani 2-3 ya either mpera, mparachichi au stafeli. Chemsha kwa dakika 10 tu then acha ipoe kabla ya kuchuja , kamulia limao ili kuongeza ladha.

Tafiti zinaonyesha majani hayo yana Quercetin ambayo hushusha sukari hivyo kusaidia kupungua uzito, kurekebisha sukari kwa wenye kisukari ( alpha glucosidase inhibition) pia anti cancer mechanism( kuzuia saratani )anti oxidant and inhibitor of inflammation ( kupunguza kasi ya kuzeeka)
Fanya hii kuwa BREAKFAST kama unapunguza uzito.

Kula mlo wako kamili kuanzia saa 5 asubuhi ( hapa waweza kula 300g za wanga salama) , mlo wa pili saa moja usiku( hapa unaweza skip wanga).
Wanga salama ni nafaka nzima isiyosagwa wala kukobolewa au resistant starch( kiporo cha kiazi kitamu au cha wali...weka kwenye freezer kwa masaa 4 mpaka 8 then pasha , ndizi za kupika( green banana)

Zingatia hii utawasaidia na wengine.
Wakati mwingine nitaandika mitishamba yenye uwezo wa kufanya kazi ya kuondoa sumu.

Turejee edeni.
 
sasa sisi tulozoea kunywa chai nzito asubuhi sana arround saa 12 itakuwaje
 
Ila kwa msaada wa akili yangu kwa mwili wangu kuna hii hapa...

IMG_20240726_152834.jpg
 
Mkuu, Baba Vladmir mimi shida yangu ni MVUTO WA BIASHARA
😅😅😅😅
Mwili huzalisha sumu kutoka kwenye chakula unachokula , kugawanyika kwa chembe hai au chembe hai zinapokufa kutokana na umri. Sumu hii huitwa Free radicals ( reactive oxygen species).

Unapoamka asubuhi andaa hii recipe ambayo nakuwekea hapa;

CHEMSHA VIFUATAVYO,
Mdalasini, tangawizi , karafuu ( usiweke asali wala sukari) , majani 2-3 ya either mpera, mparachichi au stafeli. Chemsha kwa dakika 10 tu then acha ipoe kabla ya kuchuja , kamulia limao ili kuongeza ladha.

Tafiti zinaonyesha majani hayo yana Quercetin ambayo hushusha sukari hivyo kusaidia kupungua uzito, kurekebisha sukari kwa wenye kisukari ( alpha glucosidase inhibition) pia anti cancer mechanism( kuzuia saratani )anti oxidant and inhibitor of inflammation ( kupunguza kasi ya kuzeeka)
Fanya hii kuwa BREAKFAST kama unapunguza uzito.

Kula mlo wako kamili kuanzia saa 5 asubuhi ( hapa waweza kula 300g za wanga salama) , mlo wa pili saa moja usiku( hapa unaweza skip wanga).
Wanga salama ni nafaka nzima isiyosagwa wala kukobolewa au resistant starch( kiporo cha kiazi kitamu au cha wali...weka kwenye freezer kwa masaa 4 mpaka 8 then pasha , ndizi za kupika( green banana)

Zingatia hii utawasaidia na wengine.
Wakati mwingine nitaandika mitishamba yenye uwezo wa kufanya kazi ya kuondoa sumu.

Turejee edeni.
nikikosa hayo majani natakiwa kufanya nini?
 
😀😀Mkuu niambie habari za magonjwa nitakusaidia maana ndiyo taaluma yangu,huku nina uwezo wa kukuchanganyia mimea ukapona tatizo hata lile ulilofikri haliwezekani.Kuhusu biashara na miujiza kwa kweli sina taaluma yake.
Nipe connection basi ya mganga au waganga wa huko usukumani.

Tafadhali sana mkuu. Nilifanikiwa nitakupa laki 1 ya zawadi
 
Dr Restart DR Mambo Jambo mbona nasikia haya mambo ya detox ni utapeli, mwili huwa unajitoa sumu wenyewe?

hebu nisaidieni hapa wakuu

naskia ni udanganyifu unafanywa na makampuni ili wapige hela, ni kama ile issue ya kunywa glass 6-8 za maji kwa siku ambayo imepandikizwa na makampuni ya maji,
kumbe maji unatakiwa unywe ukiwa na kiu tu
Ishu ya Detox Ni utapeli Mkuu!
Mwili umekuwa designed through liver na Other Vital Organs kufanya Detoxification...

Ngoja Nijibu kama Jamiiforum😅😅😅

Tunachojua..
Mwili hutengeneza waste products (like free radicals)kutoka kwenye metabolism na process zingine ambazo ni crucial kwa ajili ya Kuendesha shughuli mbalimbali...

liver (ini) na kidneys (Figo) ndo ziko primarily responsible for detoxifying the body.

ambavyo ndo hu "filter" out toxins na waste products, Ambavyo ndo huwa eliminated through urine, feces,na sweat...

Mdalasini, Tangawizi na Karafuu alizotaja..
Ni mimea Yenye anti-inflammatory and antioxidant properties, zinaweza kusaidia Kwenye Afya ya Mwili ya Moja kwa Moja kama Anti inflamation na Antioxidant ni kama Kitunguu swaumu na Kitunguu maji tu..

Ile Scientifically hazina uwezo wa Kutoa sumu mwilini..
 
Mwili huzalisha sumu kutoka kwenye chakula unachokula , kugawanyika kwa chembe hai au chembe hai zinapokufa kutokana na umri. Sumu hii huitwa Free radicals ( reactive oxygen species).

Unapoamka asubuhi andaa hii recipe ambayo nakuwekea hapa;

CHEMSHA VIFUATAVYO,
Mdalasini, tangawizi , karafuu ( usiweke asali wala sukari) , majani 2-3 ya either mpera, mparachichi au stafeli. Chemsha kwa dakika 10 tu then acha ipoe kabla ya kuchuja , kamulia limao ili kuongeza ladha.

Tafiti zinaonyesha majani hayo yana Quercetin ambayo hushusha sukari hivyo kusaidia kupungua uzito, kurekebisha sukari kwa wenye kisukari ( alpha glucosidase inhibition) pia anti cancer mechanism( kuzuia saratani )anti oxidant and inhibitor of inflammation ( kupunguza kasi ya kuzeeka)
Fanya hii kuwa BREAKFAST kama unapunguza uzito.

Kula mlo wako kamili kuanzia saa 5 asubuhi ( hapa waweza kula 300g za wanga salama) , mlo wa pili saa moja usiku( hapa unaweza skip wanga).
Wanga salama ni nafaka nzima isiyosagwa wala kukobolewa au resistant starch( kiporo cha kiazi kitamu au cha wali...weka kwenye freezer kwa masaa 4 mpaka 8 then pasha , ndizi za kupika( green banana)

Zingatia hii utawasaidia na wengine.
Wakati mwingine nitaandika mitishamba yenye uwezo wa kufanya kazi ya kuondoa sumu.

Turejee edeni.
kwani huko south watu wanaendeleaje?
 
yaani hakuna watu matapeli na waongo kwenye haya mambo kama wasabato. watu wamenunua sana madawa yenu hayo, na wamechoka kudanganywa. ninyi semeni tu hicho ni chakula bora, ila acheni kuita dawa. hivi ni wangapi walipona na zile tantalila za dr. ndodi? kibona na wengine? kuna ndugu yangu alikuwa na pressure miaka mingi anakunywa vidonge, walimpa maunga ya kusaga ati ataacha vidonge, pressure clonic, almanusura wamuuwe, na wanauza garama mno, na vitabu vyao vinauzwa garama mno.

shida ni elen white, alikuwa vegetarian, analeta mambo mengi sana ili watu wawe vegetarian kama yeye. tajeni matunda gani mgonjwa wa ngoma atakula ili apone basi, wazee wa matunda na mbogamboga.
 
Back
Top Bottom