Namna ya Kupima Vinasaba (DNA) Kirahisi

Namna ya Kupima Vinasaba (DNA) Kirahisi

Hii inafanya kazi kwa Watoto wa kiume umri kuanzia miaka 9 na kuendeleea...

Chukua simu yako yenye face recognition, iwe Apple, Xiaomi n.k

Mchukue mtoto wako set face yake kwenye simu yako. Lock [emoji357] simu then wakati wakufungua tumia face yako wewe isipofungua jua Asilimia za huyo mtoto kuwa wakwako ni ndogo sana...

Au kama umeseti face yako wewe, wakati unataka kutoa screen lock yako mchukue mtoto weka simu mbele yake, isiporecognise dah uwezekano wakuwa umepigwa ni mkubwa.

Ikikubali jua 99% dogo ni damu yako.

Tahadhari: Zoezi hili ukilifanya kizembe linaweza kuleta mgogoro katika familia.
Kuwa Makini.

Uwe na muda mzuri.
Uran
Aiseeeeh ushawaletea shida nyingine watanzania[emoji846][emoji846][emoji846]
 
Before you ignore this, mkuu inafanya kazi hii na siyo kwa mtoto wa kiume tu course binti yangu alikuwa ananiuliza why akiface simu inafunguka, sikuwa nimemuewa mpaka pale nilipo jaribu kuscan jicho ndipo nilipogundua vinasaba vinashabihiana.
Woah! Kwako imefanya kazi hadi kwa mtoto wa kike.
Hii nzuri, nilijaribu kwa wakiume tu...
 
Before you ignore this, mkuu inafanya kazi hii na siyo kwa mtoto wa kiume tu course binti yangu alikuwa ananiuliza why akiface simu inafunguka, sikuwa nimemuewa mpaka pale nilipo jaribu kuscan jicho ndipo nilipogundua vinasaba vinashabihiana.
Mkuu kuna wengine walibadilishiwa Bistol huko sasa si utaharibu mkuu
 
Hii inafanya kazi kwa Watoto wa kiume umri kuanzia miaka 9 na kuendeleea...

Chukua simu yako yenye face recognition, iwe Apple, Xiaomi n.k

Mchukue mtoto wako set face yake kwenye simu yako. Lock [emoji357] simu then wakati wakufungua tumia face yako wewe isipofungua jua Asilimia za huyo mtoto kuwa wakwako ni ndogo sana...

Au kama umeseti face yako wewe, wakati unataka kutoa screen lock yako mchukue mtoto weka simu mbele yake, isiporecognise dah uwezekano wakuwa umepigwa ni mkubwa.

Ikikubali jua 99% dogo ni damu yako.

Tahadhari: Zoezi hili ukilifanya kizembe linaweza kuleta mgogoro katika familia.
Kuwa Makini.

Uwe na muda mzuri.
Uran
Ku............Meniiinaaa.
 
Back
Top Bottom