TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Hili neno `Don`t try this at home ...` lilipata nguvu kutokana na wale jamaa wacheza mieleka kina John Cina na wenzake, but pamoja na kutoa hadhari hatujawahi sikiwa maswahiba ya watu kutumia mbinu z mieleka kuumizana So,Unamfundisha mtu kitu halafu unamwambia don't try ....umemfundisha ya nini sasa
Mkuu hii mbinu ya vinasaba unaweza kuitumia endapo unahisi wewe mwenyewe ni muaminifu kwa mwenza wako, but ukihisi ni upepo don`t try this but at your own risk, so kufundishwa siyo sababu ya kufanya uasi au jambo la hatari.