Namna ya Kupima Vinasaba (DNA) Kirahisi

Namna ya Kupima Vinasaba (DNA) Kirahisi

Hii inafanya kazi kwa Watoto wa kiume umri kuanzia miaka 9 na kuendeleea...

Chukua simu yako yenye face recognition, iwe Apple, Xiaomi n.k

Mchukue mtoto wako set face yake kwenye simu yako. Lock [emoji357] simu then wakati wakufungua tumia face yako wewe isipofungua jua Asilimia za huyo mtoto kuwa wakwako ni ndogo sana...

Au kama umeseti face yako wewe, wakati unataka kutoa screen lock yako mchukue mtoto weka simu mbele yake, isiporecognise dah uwezekano wakuwa umepigwa ni mkubwa.

Ikikubali jua 99% dogo ni damu yako.

Tahadhari: Zoezi hili ukilifanya kizembe linaweza kuleta mgogoro katika familia.
Kuwa Makini.

Uwe na muda mzuri.
Uran
[emoji23][emoji23]hapo kwenye tahadhari nimecheka sn
 
Before you ignore this, mkuu inafanya kazi hii na siyo kwa mtoto wa kiume tu course binti yangu alikuwa ananiuliza why akiface simu inafunguka, sikuwa nimemuelewa mpaka pale nilipo jaribu kuscan jicho ndipo nilipogundua vinasaba vinashabihiana.
Duh!
Bira we umetuthibitishia,kuna watu humu wanapenda kunisa tu kila kitu
Au wanaogopa [emoji16]
 
Lakini mara nyingi blood group hutofautiana kati ya pacha mmoja na mwingine hata mafanane DNA
 
Lakini mara nyingi blood group hutofautiana kati ya pacha mmoja na mwingine hata mfanane DNA
 
Back
Top Bottom