Kwanini? Nimetoa tahadhari hapo juu
[emoji23][emoji23]hapo kwenye tahadhari nimecheka snHii inafanya kazi kwa Watoto wa kiume umri kuanzia miaka 9 na kuendeleea...
Chukua simu yako yenye face recognition, iwe Apple, Xiaomi n.k
Mchukue mtoto wako set face yake kwenye simu yako. Lock [emoji357] simu then wakati wakufungua tumia face yako wewe isipofungua jua Asilimia za huyo mtoto kuwa wakwako ni ndogo sana...
Au kama umeseti face yako wewe, wakati unataka kutoa screen lock yako mchukue mtoto weka simu mbele yake, isiporecognise dah uwezekano wakuwa umepigwa ni mkubwa.
Ikikubali jua 99% dogo ni damu yako.
Tahadhari: Zoezi hili ukilifanya kizembe linaweza kuleta mgogoro katika familia.
Kuwa Makini.
Uwe na muda mzuri.
Uran
Duh!Before you ignore this, mkuu inafanya kazi hii na siyo kwa mtoto wa kiume tu course binti yangu alikuwa ananiuliza why akiface simu inafunguka, sikuwa nimemuelewa mpaka pale nilipo jaribu kuscan jicho ndipo nilipogundua vinasaba vinashabihiana.
Duh..Usiogope mwanamke nilishaachana nae miaka miwili iliyopita watoto wapo kwa shangazi yao
Kuna wa miaka chini ya 9 kasema hapo juu imrkubaliUmeambiwa inafanya kazi kuanzia miaka 9 au ndio kutafutiana sababu
Mpaka jicho unauliza?, how older you are?.Jicho lipi mkuu?.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo mrembo?Duh..