Namna ya kupunguza upweke nyumbani

Kwa mwanaume kukabiliana na upweke, ukitoka job pitia kijiweni usiende gheto direct pata kahawa kidogo, cheza draft na wagosi , shika stick sukuma sukuma pooltable, ukiona bado unajihisi mpweke nenda kanunue PS , nunua external jaza movie kali ambazo hazijatafsiriwa alafu ndani weka chupa mbili tatu za mvinyo uone kama utakua mpweke.

Ukishindwa kabisa tafuta mwanamke wa kukupigia makelele ila awe anakupa utelezi kukuponya nafsi


Mwanamke kukabiliana na upweke ni kuolewa na kuzaa watoto pamoja na kumtii mumewe
 
Haya ndio ma8sha ambayo nayataka niyaishi kuanzia miaka michache huko mbeleni.

Letsay natafuta eneo langu kando ya mji na naamua nitafia huko kwamba yawe makazi yangu rasmi ya kudumu.

Huko nitapanda kila aina ya tunda na zao.

Mihongo,nazi,maembe,matembele,kufuga kuku,bata,ng'ombe japo wawili watatu na mbuzi japo wawili watatu.

Then kajumba katakuwa ni kavyumba vichache tu kama vitatu hivi.

HApo tena eneo linalobaki ni kulipamba kwa mazoa mengine kama mipapai,mahindi,mbaazi na kunde.

Then natengene,a bustani nzuri kabisa ya kupumzikia na kusomea vitabu na kupiga stori na wageni.

Upweke kwangu ni kukosa cha kufanya na sio kuwa peke yako muda mwingi.

Unapokosa cha kufanya unakuwa huoni raha ya maisha na usipoona raha ya maisha unaanza kuona maisha yanaboa,ukianza kuona maisha yanaboa maana yake unakaribisha upweke.
 
Unakuaje mpweke wewe!

Lipia Azam Tv
Netflix
Kua na bando
Movie kwenye Pc za kutosha
Kuna jf
Mimi nina vyote hivyo haswa Tv box ila mwezi wa tatu sijakaa kuangalia Tv nyumbani...😅😅Naipita tu hapo nikitoka na kuingia.
 
Upweke nastress ni balaa uzeeni shids sanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…