Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Mimi natoka kazini 12 jioniKo hua unakabilianaje na upweke?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi natoka kazini 12 jioniKo hua unakabilianaje na upweke?
Itakua una familia! Ukiwa na familia huwezi kua mpweke, changamoto ni sisi wazee wa chumba & sebule afu upo mwenyeweMimi natoka kazini 12 jioni
Watoto nao wakianza kujitegemea acha tu...Mi nikistaafu naenda uswahili huko kweny vigege vya kahawa kukaa.Itakua una familia! Ukiwa na familia huwezi kua mpweke, changamoto ni sisi wazee wa chumba & sebule afu upo mwenyewe
Unaenda eneo ambalo mji haujakua sana unatengeneza sehemu nzuri unauza kahawa watu wanakunywa huku mnaaangalia bunge😁hapo hutakaa uwe mpwekeWatoto nao wakianza kujitegemea acha tu...Mi nikistaafu naenda uswahili huko kweny vigege vya kahawa kukaa.
Hasa members of CHAPUTAKuna watu hatupendi fujo, Tunaonekana wapweke ila ndo Furaha yetu.
Safiii anza kumanifest hii sasa hivi.Haya ndio ma8sha ambayo nayataka niyaishi kuanzia miaka michache huko mbeleni.
Letsay natafuta eneo langu kando ya mji na naamua nitafia huko kwamba yawe makazi yangu rasmi ya kudumu.
Huko nitapanda kila aina ya tunda na zao.
Mihongo,nazi,maembe,matembele,kufuga kuku,bata,ng'ombe japo wawili watatu na mbuzi japo wawili watatu.
Then kajumba katakuwa ni kavyumba vichache tu kama vitatu hivi.
HApo tena eneo linalobaki ni kulipamba kwa mazoa mengine kama mipapai,mahindi,mbaazi na kunde.
Then natengene,a bustani nzuri kabisa ya kupumzikia na kusomea vitabu na kupiga stori na wageni.
Upweke kwangu ni kukosa cha kufanya na sio kuwa peke yako muda mwingi.
Unapokosa cha kufanya unakuwa huoni raha ya maisha na usipoona raha ya maisha unaanza kuona maisha yanaboa,ukianza kuona maisha yanaboa maana yake unakaribisha upweke.
Kwa bahati mbaya sana mkuu bado sijapata eneo la kumiliki ambalo litanitisha kwa hayo yote.Safiii anza kumanifest hii sasa hivi.
Mimi nilianza kupanda miti siku ya kwanza nimenunua eneo.
By the time naanza kujenga(two years later) ile miti ilishakuwa mirefu kabisa.
eneo la garden nililikata kabla kuchimba msingi.
Watu hawakunielewa, so nimeanza kujenga nikaanza na bustani ya maua mbele ya nyumba, mpk sasa ni kama tumeishi hapo miaka 5 , wakati March mwaka huu ndo tunakamilisha mwaka.
tunakula ndizi,mikomamanga miti imeshaweka vivuli vikubwa kabisa
So anza the very day umelipia eneo lako.
set mahala pa mazao mafupi, miti mirefu, bustani, mabanda ya mifugo na eneo la nyumba!
Nimegundua upweke ni tatizo kubwa hapa duniani sio ulaya tu pekee.Unaenda eneo ambalo mji haujakua sana unatengeneza sehemu nzuri unauza kahawa watu wanakunywa huku mnaaangalia bunge😁hapo hutakaa uwe mpweke
Mkuu upweke unatesaNimegundua upweke ni tatizo kubwa hapa duniani sio ulaya tu pekee.
KUna haja ya kuishi kama ambavyo tuliishi utotoni yaani marafiki na kuwa na bize nyingi za hapa na pale.
Kwa mwanaume kukabiliana na upweke, ukitoka job pitia kijiweni usiende gheto direct pata kahawa kidogo, cheza draft na wagosi , shika stick sukuma sukuma pooltable, ukiona bado unajihisi mpweke nenda kanunue PS , nunua external jaza movie kali ambazo hazijatafsiriwa alafu ndani weka chupa mbili tatu za mvinyo uone kama utakua mpweke.
Ukishindwa kabisa tafuta mwanamke wa kukupigia makelele ila awe anakupa utelezi kukuponya nafsi
Mwanamke kukabiliana na upweke ni kuolewa na kuzaa watoto pamoja na kumtii mumewe
Hata mili niliangalia kuna pattern za maisha nikaja kugundua. Nikiwa sina pesa nakuwa miserableMe ukitaka uone kweli nipo mpweke ni pale flow ya hela inaposuasua ila kuhusu watu huwa natamani hata niwahamishe dunia nyingine hii nikae mwenyewe.
Yah mkuu hata mimi nimeona.Hata mili niliangalia kuna pattern za maisha nikaja kugundua. Nikiwa sina pesa nakuwa miserable
Ila kama miamala inasoma na nipo busy kwa kufanya kitu nachokipenda. Loniliness ni ngumu sana kunipata
Aaah hilo sina hakika nalo Ndugu Mwenyekiti wa ChamaHasa members of CHAPUTA
Siwezi jua ila aga nasemwa nimenuna muda wote naonekana nina hasra, ila binafsi najihisi niko sawa kabisa full amani.Bila shaka wewe ni introvert
Manifest.Kwa bahati mbaya sana mkuu bado sijapata eneo la kumiliki ambalo litanitisha kwa hayo yote.
I Hope miaka ya mbele nitapata eneo kama hilo.
Nimekosa basi iwe japo robo tatu hekari ama hekari moja.
Nataka niwe mtu wa shamba yaani kila bidhaa ipo hapo nyumbani.
Sana mkuuYah mkuu hata mimi nimeona.
Ndio maana husemwa kwamba pesa na maendeleo ni moja ya sababu ya upweke hapa duniani