Namna ya kutambua kama umeokoka au wewe ni Mkristo

Namna ya kutambua kama umeokoka au wewe ni Mkristo

Wasikilize watumishi na manabii utagundua hilo,Kuna mmoja anasema mfalme Suleiman yupo kuzim!

Labda ndio maana anahusishwa kuwa Baba was wajenzi huru hao Freemasons!!!!

We wasikilize utajua tu!!
Kwa hiyo niamini maneno tu ya hao wanaojiita manabii ? Yani niamini tu hivyo hivyo ?🤔🤔🤔
 
Hakuna nabii wala mtume nyakati hizi. Hao wanaojiita hivyo ni wafanyabiasgara.
Kwanini wasiwepo nyakati hizi ila wawepo nyakati zilizopita?🤔🤔🤔🤔 najifunza.
 
Kwanini wasiwepo nyakati hizi ila wawepo nyakati zilizopita?🤔🤔🤔🤔 najifunza.
Nakupa sifa moja ya mitume: ni watu waliopewa kazi ya kuweka misingi ya kanisa na ukristo, hao walimwona Yesu Kristo akiwa hapa duniani kwa macho yao.

Manabii kazi yao kubwa ilikuwa ni kufikisha ujumbe wa Neno la Mungu wakati ambapo hatukuwa na Biblia.

Kazi za mitume na manabii ndizo zilizotupa Biblia.

Manabii na mitume walishamaliza kazi zao.

Wametupa Biblia ambayo ndio Neno la kuaminiwa na la kutegemewa.

Hawa wote unaowasikia siku hizi ni self-proclaimed na ni wafanyabiashara.
 
Leo mtu akitokea na kuwauliza waumini wengi wa makanisa ya kiroho swali la Je! ni kweli tutakwenda mbinguni?.Bila shaka wengi watajibu ndiyo na sababu watakayoitoa kubwa ni kwamba wamempokea na kumkiri Yesu kama Bwana na Mwokozi. Lakini pamoja na jibu hilo bado siyo sababu kuu ingawa ni sehemu tu. Ipo namna ambayo Mungu ameifanya kwa watu kupata wokovu na kudumu katika wokovu.

Changamoto kubwa leo watu wengi wanakiribvitu wasivyovielewa Kwa mfano mtu akija akikuambia ipo jehanamu ya moto, jehanamu ni halisi, ukifavutaingia motoni unaweza kujenga hofu ila ukweli hatuingii mbinguni kwa sababu sababu ya kukwepa au kuogopa moto.

Wahubiri wengi leo wamesahau kabisa kufundisha juu ya misingi aliyoiweka Mungu inayowaunganisha wanadamu na wokovu. Wayahudi walipata nafasi ya kwanza ya wokovu Kwa sababu ya misingi yao ya ufuasi na Mungu alijidhihirisha kwao kupitia utamaduni huo wa ufuasi. Mungu alijidhihirisha kwao kama Mungu wa Baba zao, waliishi katika misingi hiyo ya ufuasi kiasi kwamba wakipoikiuka walipata mapigo.

Angalia jambo la hatari itakuwaje siku ya mwisho mtu anaambiwa na Mungu toka sikujui?.Unamueleza Mungu kuwa ukifanya unabii n.k Kwa kina lake halafu anasema hakujui!..Hii ina maanidha mtu anaweza kuwa muongofu wa imani na anajitoa sana katika masuala mbalimbali mahali anaposalia lakini yeye asitambuliwe na Mungu ila yule aliyewasaidia masikini Kwa kumpatia chakula, maji na mavazi, aliyewaona wafungwa Mungu akamwona ni mwenye heri kwa sababu alimsaidia alipokosa chakula, alimvisha alipokosa mavazi n.k.

Hii inaonesha yale unayowafanyia wengine ndiyo had utamaduni uliojifungamanisha nao na ndiyo utakaokuwezesha kumuona Mungu ila siyo kukiri usiyoyafahamu. Hatutakiwi kukiri jambo tusiloliamini au tusilolifamu wala kuwa na uhakika nalo "you should not make confession to what you are not convicted by". Ibrahimu alihesabiwa haki sababu ya kuwa na imani thabiti "conviction".Uhakika wako ndiyo unaokupelekea wokovu.

Jiulize taratibu tu ni kwa nini Leo nyumba za ibada zimejaa watu wanaosema wameokoka lakini wanatenda dhambi? Biblia inasema aliyeokolewa hatendi dhambi tena lakini ikitokea mtu anasema ameokoka na anaendelea kutenda dhambi kuna tatizo mahali. Inawezekana mtu huyo kuna hatua za mdsingi alizikosabna huenda aliyemuongoza mtu huyo alimwelekeza kufanya matamko tu ya kukiri na siyo katika uhakika wa mabadiliko ya mtindo wa maisha. Tunapoongoka sharti tupokee na mtindo wa maisha.

Hatupati wokovu Kwa kutamka tu 'tumeokoka' ila ni kwa kuwa na uhakika na imani dhabiti moyoni. Wokovu ni pale vitu vinavyoanza kubadilika ndani ya moyo wako na kuanza kufahamu maisha bila Yesu ni bure. Mtu huanza kutanani kuwa na Mungu, kumuona kuliko kitu chochote kile. Ila ukiona una mashaka mfano unajiuliza hivi Yesu akirudi mara ya pili nitantakuliwa au la!.. ukiona una swali la aina hiyo elewa hautaiona pepo na haujaokoka bado.
Kuokoka ni kuamini kuwa kuna Mungu mmoja tu na kumkiri mwanae wa pekee Yesu kristo kuwa Bwana na mwokozi wa ulimwengu aliye na mamlaka Duniani na Mbinguni, kubatizwa kwa maji mengi na kuishi kwa maisha yenye kuzitii na kutozivunja amri 10 za Mungu (hili ni la muhimu sana maana amri 10 za Mungu zilitoka kwake mwenyewe)

Wengi wameokoka kutokea dhambini hivyo wanamkiri Yesu huku bado wanavutwa na shetani ndio maana utakuta kuna baadhi ya vitu wanaviacha na vingine vinawashinda japo taratibu wanajitahidi kufanya hivyo

Imani hujengwa taratibu ndio maana wanasisitizwa kutoliacha kanisa na kujibidiisha katika kulisoma neno lake na kujumuika na wenzao katika ibada ili kuijenga imani na ujasiri wa kiroho kuishinda nguvu ya shetani, hii haijawahi kuwa rahisi lakini ukiweka nia baada ya muda unafanikiwa.

Bwana Yesu asifiwe
 
Mtaadhibiwa kwa kupotosha watu.
 
Nakupa sifa moja ya mitume: ni watu waliopewa kazi ya kuweka misingi ya kanisa na ukristo, hao walimwona Yesu Kristo akiwa hapa duniani kwa macho yao.

Manabii kazi yao kubwa ilikuwa ni kufikisha ujumbe wa Neno la Mungu wakati ambapo hatukuwa na Biblia.

Kazi za mitume na manabii ndizo zilizotupa Biblia.

Manabii na mitume walishamaliza kazi zao.

Wametupa Biblia ambayo ndio Neno la kuaminiwa na la kutegemewa.

Hawa wote unaowasikia siku hizi ni self-proclaimed na ni wafanyabiashara.
Tuta amini vip hao manabii walikuwepo kwel na walitumwa na Mungu na hawakuwa wafanya biashara?

Kama issue ni kuamini tu kwa nini hata hawa wa sasa tusi waamini tu ??? Najifunza[emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom