Mungu
Alishachagua watu wake was Kila upande!
Refer yeremia kwamba alishamjua tangu misingi ya ulimwengu haijawekwa!!
Kuna wale walishafanywa kuwa wa kuzimu na moto mapema kabla hata hawajazaliwa!Kwa mungu hakuna kubahatisha bahatisha Kila kitu ni planed no suprises!!
Chunguza wewe mwenyewe Binafsi jione ndani ya moyo wako hata kama no WA maombi kiasi gani utajua kabisa kama ni Mbinguni au kuzimu!!
Yaani nafsi yako inasema TU yenyewe hasta kama hujatenda dhambi hujazini,hujaiba,hujachukua Cha mtu lakini bado fate unaiona ndani ya nafsi yako!!
Kushika dini,kuomba sana,kushika ibada sana hakukupi uhakika was kesho Yako zaidi ya Ile uliyoandikiwa kabla!!
UNAWEZA KUAMINI MFALME SULEIMAN YUPO KUZIMU NA MBINGUNI HAYUPO!!?MUSA ALIEIKAIDI SAUTI YA MUNGU BADO MBINGUNI YUPO NI KANAANI PEKEE HAKUFIKA!!!
HATMA YA MAISHA YA MTU NI FUMBO KUBWA SANA AMBALO MUNGU PEKEE NDIO ANAJUA!!