Namna ya kutambua kama umeokoka au wewe ni Mkristo

Naam, Daudi alimchukua mke wa Uria, Musa alikuwa na hasira, Samsoni alijichanganya na Delila...karibu Kila mteule kuna udhaifu wa kibinadamu ulionekana..
 
Hii ni kwa mujibu wa wawalokole ongezea apo na kunena kwa lugha.
Ah..ah...kuna kitu wamekiongeza sijui kinatokea wapi " sinners prayer" hakuna mahali Yesu alifanya tunaona akiwaambia tu akina Yohana na wenzake nifuateni " kuwa wafuasi"
 
Wasikilize watumishi na manabii utagundua hilo,Kuna mmoja anasema mfalme Suleiman yupo kuzim!

Labda ndio maana anahusishwa kuwa Baba was wajenzi huru hao Freemasons!!!!

We wasikilize utajua tu!!
Mmmh... Kuna mambo ya ajabu sana leo Mkuu..Nina hakika Kwa aina ya misimamo ya kilokole ya leo karibu Kila mteule aliyeandokwa kwenye Biblia ataambiwa ni muasi.
Ukweli ni kwamba, kuna mengi hatuyaelewi kuhusi wokovu.
 
Kuokoka kunashikamana na misingi ya maisha " principles of life". Kama msingi wa maisha wa kiroho haupo wokovu haupo. Mfano yapo maisha yanayoandaliwa mtu kuwa mwanajeshi, Mwalimu daktari n.k, ni sisi tu ambao tunaamini tunaweza kuishi bila kuwa wafuasi "disciples" Yani kuishi bila kuandaliwa hivyo.

Mshangao mkubwa mbinguni ni huu " wale tunaofikiri wanaoweza kuwa mbinguni tunaweza tusiwaone tukaona wengine".
Hatuokoki kwa kuhubiri au kuomba vizuri. Ndani ya hazina nzuri hutoka mazuri.

Moyo wa mtu haiwezi kuwa na mabaya ukatoa mazuri, tatizo tunaigiza sana, mtu anafanya dhambi halafu anawaambia watu Mungu anajua na siyo dhamira yake. Mfano unakuka mtu anakamatwa kweupe anaiba halafu anajitetea Kwa kusema " katika maisha yangu yote sijawahi kuiba Mungu anafahamu" .

Ukweli ni kwamba, Tangu mwanzo Mungu aliweka sheria za maadili " moral laws" ndani ya mioyo ya wanadamu tatizo letu tunapokosea tunatafuta faraja Kwa watu lakini dhamiri zetu zinatusuta.
 
Hapa kuna hekima ya kujifunza, asante " Mungu huutangaza mwisho tangu mwanzo"
 
"Salvation is by Grace through Faith. Christ Died as Our Redeemer and Substitute (on our behalf). By His death, He removed the barrier/sin that separates mankind from God".
 
Kinachomwokoa mtu ni kitu gani
Salvation is by Grace through Faith. Christ Died as Our Redeemer and Substitute (on our behalf). By His death, He removed the barrier/sin that separates mankind from God.
 
Amen!.
 
Mkuu siku hiz una meditate [emoji3286]? Au nmekufananisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…