TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
Tuta amini vip hao manabii walikuwepo kwel na walitumwa na Mungu na hawakuwa wafanya biashara?
Kama issue ni kuamini tu kwa nini hata hawa wa sasa tusi waamini tu ??? Najifunza[emoji848][emoji848]
PoaKasome kwanza ujue kazi ya nabii ni nini, na hawa wa kwako wa sasa wanafanya nini, na wale walioandikwa kwenye Biblia walifanya nini. Kama huamini Biblia ni kazi bure.
Umemaliza!Hata walio okoka wanateleza na kutenda dhambi ndio maana kuna msalaba na kuomba toba kila siku.
Warumi 3:23-25
Jambo la pili tukifuata biblia hayo uliyo yasema ni mambo mazuri kufanywa lakini mtu hawezi kuokolewa kwa matendo peke yake (mfano unasema mimi nina vituo vya watoto yatima vingi so hiyo ndo price yangu ya kununua wokovu)
Kulea yatima na kusaidia watu ni jambo zuri lakini wokovu tunaupata kwa neema na kujinyenyekeza katika Jina lipitalo majina yote
Kuwafanya mataifa kuwa wafuasi.Write your reply...WENGI HAWAJUI WOKOVU WANAJUA NIKUKEMEA PEPO TU.INJILI YA YESU MATHAYO SURA YA 5 NDYO ILIYOBEBA SURA NZMA YA WOKOVU
Kutokutenda dhambi ina maanisha ni kutokuishi dhambini! Haimaanishi kutokukosea!! Ambaye hajaokoka hutenda dhambi kama mtindo wa maisha! huishi dhambini!! Aliyeokoka anaweza kujikuta amemkosea Mungu na hapo hapo atakosa amani na kuomba toba na msamaha wa Mungu!! Hafurahii tena dhambi!!Haswaa!..
Aliyeokoka hatendi dhambi ila hufanya makosa. Biblia inatuonesha hayupo mteuke wa Mungu hata mmoja ambaye hakukosea hivyo inawezekana kuwa mteule na ukakosea pia .
Naam, uliyoyagusia yana uthabiti wake hakika. Huu ni muda muhimu wa kuelewa zaidi ya pale tulipokaririshwa ile sala ya toba "sinners prayer"Kutokutenda dhambi ina maanisha ni kutokuishi dhambini! Haimaanishi kutokukosea!! Ambaye hajaokoka hutenda dhambi kama mtindo wa maisha! huishi dhambini!! Aliyeokoka anaweza kujikuta amemkosea Mungu na hapo hapo atakosa amani na kuomba toba na msamaha wa Mungu!! Hafurahii tena dhambi!!
KUWAFANYA KUWA MATAIFA KWAKUFUNDISHA CYO TOKA SHETANIKuwafanya mataifa kuwa wafuasi.
"tuanzie hapo"
Rekebisha hapo nadhani ulitaka kuandika kuwafanya mataifa kuwa wafuasi " to make peoples to become disciples "KUWAFANYA KUWA MATAIFA KWAKUFUNDISHA CYO TOKA SHETANI
AmeenUmemaliza!
Ili kukuelewa wamsone ,kormelio ,mate do 10 pale
Imeandikwa, wanadamu wote wamepungukiwa na utukufu wa Mungu, wote wametenda dhambi, kwa hoja yako hakuna atakayeingia mbinguni.Naam, wokovu ni mtindo wa maisha " life style" na unaanzia moyoni , huwezi kusema umeokoka halafu unaishi maishha yaleyale" there must be transformations".
Acha kumdanganya mwenzaji, ujue jamaa ataona ulichoandika ndio jibu sahihi OhoooKuokoka nikujionyesha kwa watu hauna dhambi na kuonyesha watu haupendi dhambi ,na kuonyesha watu unasal sala ndefu, na kufunga kila kila mara .
Chagua hivi leo, ninani utakayemtumikia?Mungu au shetani, that's why you have a free will.Mungu
Alishachagua watu wake was Kila upande!
Refer yeremia kwamba alishamjua tangu misingi ya ulimwengu haijawekwa!!
Kuna wale walishafanywa kuwa wa kuzimu na moto mapema kabla hata hawajazaliwa!Kwa mungu hakuna kubahatisha bahatisha Kila kitu ni planed no suprises!!
Chunguza wewe mwenyewe Binafsi jione ndani ya moyo wako hata kama no WA maombi kiasi gani utajua kabisa kama ni Mbinguni au kuzimu!!
Yaani nafsi yako inasema TU yenyewe hasta kama hujatenda dhambi hujazini,hujaiba,hujachukua Cha mtu lakini bado fate unaiona ndani ya nafsi yako!!
Kushika dini,kuomba sana,kushika ibada sana hakukupi uhakika was kesho Yako zaidi ya Ile uliyoandikiwa kabla!!
UNAWEZA KUAMINI MFALME SULEIMAN YUPO KUZIMU NA MBINGUNI HAYUPO!!?MUSA ALIEIKAIDI SAUTI YA MUNGU BADO MBINGUNI YUPO NI KANAANI PEKEE HAKUFIKA!!!
HATMA YA MAISHA YA MTU NI FUMBO KUBWA SANA AMBALO MUNGU PEKEE NDIO ANAJUA!!
Umeuliza swali la msingi sana! Kwa hizo dini zisizo mjua kristo karibu watu billion 4 na kidogo, kwanza injili ya kristo itahubiriwa ulimwenguni kote, watu watasikia habari zake, wengi watamwamini. Kwa wale ambao hakusikia na hawajui kwamba Kuna Yesu alikufa kwaajiri ya dhambi zao, hao hukumu yao itaangalia matendo yao ufunuo 20: 11-30Kuna waislamu , wahindu na dini nyingne zaidi ya 1000 wamezaliwa na kuaminishwa kivyao vp kuhusu wao ????
Makosa, dhambi na uovu, vyote hivi havitakiwi kwa mtu yeyote dunianiMwongo mkubwa. Makosa ni dhambi. Hakuna mtu mwenye mwili wa nyama asiyetenda dhambi, waliookoka wanatenda dhambi pia.
Mwili haujawahi kuokoka, ila roho yako inayotia uzima ndani yako, mwili usepa utageuka kuwa mavumbi utakuacha wewe na msalaHili ndo jibu sahih Mkuu?
Utapoteza mwili na roho, usifanye masihara, Iko siku utaukumbuka Uzi huuKuokoka ni usanii tu
Kwahiyo kuokoka ni nin?Mwili haujawahi kuokoka, ila roho yako inayotia uzima ndani yako, mwili usepa utageuka kuwa mavumbi utakuacha wewe na msala