Namna ya kutambua simu unayonunua kama ni Brand new au Refurbished

🀣🀣🀣🀣🀣
Inajizimikiaga tu ikijisikia, mara igome kuwaka, mara masaa matatu ichaji asilimi 4, ilimradi tu tafrani🀣🀣🀣
🀣🀣🀣🀣Haitakangi Amani..
 
Shukrani Sana mkuu
 
iphone 16 wame ilaunch September 20, manake haijamaliza hata mwezi tangu itoke. je hzo refurb zimetumima wapi na lini?
mtu anaweza akanunua Simu siku hiyohiyo akapasua glass,au inaweza kutoka kiwandani mbovu na asirudishe japo ina warrant,
Wengine mihemko tu,
 
mtu anaweza akanunua Simu siku hiyohiyo akapasua glass,au inaweza kutoka kiwandani mbovu na asirudishe japo ina warrant,
Wengine mihemko tu,
Haujajibu swali Twinnie, possibility ya hizo simu kuwepo kwa uwingi huo ikoje?

ni mwezi tu tangu zimetoka.
 
Haujajibu swali Twinnie, possibility ya hizo simu kuwepo kwa uwingi huo ikoje?

ni mwezi tu tangu zimetoka.
Twinnie,iPhone zinapokua launched marekani, stores za marekani simu huwa zinaisha siku ile ile ya kwanza,mfano iPhone 16 ilikua sell out masaa mawili tu baada ya kuanza kuuzwa...zinakuaje nyingi kwa kiasi hicho??

Kumbuka hapa tunaongelea REFURBISHED IPHONES sio used(second hand) hizi Simu huwa zinauzwa na Apple stores wenyewe,Maduka ya retailer(reputable) au mitandao ya simu,

zinavyo patikana ni kwamba unaweza kununua simu mpya BRAND NEW,ukafika nyumbani inasumbua speaker, unarudisha dukani,wanakupa simu nyingine..ile mbovu wana repair,wanarudisha dukani wanauza kwa bei ndogo, wanai rebel as F..

Wauza simu wanazigawa katika madaraja matatu,

LIKE NEW
PERFECT
NEARLY PERFECT
 
Now nimeelewa, Thank you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…