Namna ya kutambua simu unayonunua kama ni Brand new au Refurbished

Kifupi afadhali uagize used za uarabuni or Europe na America than kununua mpya dukani bongo ,hakuna assurance.
 
Bora umesema wewe,bongo Simu imekufa wanavalisha chrome..wanaweka dukani
 
O
Hamna Zero 6 mpya inaingia. Hamna Aquos mpya inaingia, pigia mstari hili. Na ungetaka mpya usingepata so option pekee ni hiyo used.
ption ni kununua masoko ya korea huko tena yale ya ndani na zinakua network locked
 
Kuna Post Mdau kauliza Duka gani lina reputation nzuri ya kuuza SIMU ZA SAMSUNG ORIGINAL NA SIO REFURBISHED?

Nimeona nijibu kama Post Mpya kwa Faida ya wengi, kwa miaka mingi niliyouza Simu,nimeona maduka makubwa wakiuza vitu FAKE,used kwa bei ya kitu KIPYA, wateja wengi hawajui na hawana muda,
Ni ngumu sana kujua simu mpya na refurbished kwa macho.

Huwezi kuamini hadi iPhone 16 zinauzwa kama mpya ila zishazingua..kuna duka ni authorized seller wa samsung wanauza simu nyingine zishatumika,nikiwa kama ex winga nitaandika mbinu chache za kujua simu mpya,

Kwa Samsung, angalia Imei number zilizopo kwenye mfuniko wa nyuma na za ndani ya simu zinaendana? Na kama zinaendana, waambie wakupe box, je imei number za kwenye box la simu zinaendana na za kwenye simu?

Software:ukiingia kwenye settings za Samsung, angalia status ya software,wakiandika OFFICIAL means simu haija chezewa,ila wakiandika CUSTOM kimbia

Mbinu nyingine kwa Samsung andika codes hizi kwenye uwanja wa kupiga simu ##786#

Hii inaitwa RTN SCREEN juu kwenye option click VIEW..status ikionesha YES means simu ni REFURBISHED, ikionesha NO means simu ni brand New..

Kwenye iPhone simple,ukiingia kwenye settings za iPhone nenda kwenye settings, nenda kwenye general,then about phone..kuna maneno haya hapa na maana zake

M -simu mpyaaaaa(brand new)

N -Simu ilikua mpya ila imezingua ikarekebishwa na kurudishwa dukani,ila sio USED

F – Simu ni refurbished

Be aware wahindi matapeli.

I am the one with the past post. Asante sana kaka kwa ufafanuzi, hii laki 5 yng naona inakoelekea taangukia tena kwenye mid-range phones tu.

Kwa uzoefu wako, hizi tests wauzaji hawazingui ukitaka kufanya? ,Vipi hard parts like vioo, je ni genuine? Can u recommend at least one trusted dealer wa hapa Tz/Dar? asante
 
Test ina depend na muuzaji,wengine hawaruhusu hata kuwasha simu . ...

Simu Nyingi hasa iPhones 90 vioo vimebadilishwa.. iPhone kupata kioo genuine Kama haiwezekani..

Samsung vipo japo gharama...

Recommendation hapana...

Kwa laki tano mkuu Kama used kamata Samsung s20.
 
Nikushukuru sana ndugu, barikiwa
 
Njia nyengine rahisi lakini itabidi uzime simu na kuingia download mode ni kuangalia kama Knox ipo tripped,

Samsung zote mpya ukiigusa kuifanyia jambo tu una trip Knox na ku void warranty.

Ukiingia download mode ikiandika 0x1 imeguswa ikiwa 0x0 ipo fresh.

Pia Samsung za Africa unaweza kuregister Warranty online na ku claim benefit kwa Wasiojua simu za Samsung ukinunua official kutengeneza Vioo ni bei rahisi sana.

Unajisajili hapa

Ukiona unaingiza Imei halafu haiji Tanzania kuchagua ina maana simu imetoka Nje kijanja janja na ni refurb.
 
Attachments

  • Screenshot_20241016_025304_Settings.jpg
    Screenshot_20241016_025304_Settings.jpg
    25.9 KB · Views: 11
Kuna Post Mdau kauliza Duka gani lina reputation nzuri ya kuuza SIMU ZA SAMSUNG ORIGINAL NA SIO REFURBISHED?

Nimeona nijibu kama Post Mpya kwa Faida ya wengi, kwa miaka mingi niliyouza Simu,nimeona maduka makubwa wakiuza vitu FAKE,used kwa bei ya kitu KIPYA, wateja wengi hawajui na hawana muda,
Ni ngumu sana kujua simu mpya na refurbished kwa macho.

Huwezi kuamini hadi iPhone 16 zinauzwa kama mpya ila zishazingua..kuna duka ni authorized seller wa samsung wanauza simu nyingine zishatumika,nikiwa kama ex winga nitaandika mbinu chache za kujua simu mpya,

Kwa Samsung, angalia Imei number zilizopo kwenye mfuniko wa nyuma na za ndani ya simu zinaendana? Na kama zinaendana, waambie wakupe box, je imei number za kwenye box la simu zinaendana na za kwenye simu?

Software:ukiingia kwenye settings za Samsung, angalia status ya software,wakiandika OFFICIAL means simu haija chezewa,ila wakiandika CUSTOM kimbia

Mbinu nyingine kwa Samsung andika codes hizi kwenye uwanja wa kupiga simu ##786#

Hii inaitwa RTN SCREEN juu kwenye option click VIEW..status ikionesha YES means simu ni REFURBISHED, ikionesha NO means simu ni brand New..

Kwenye iPhone simple,ukiingia kwenye settings za iPhone nenda kwenye settings, nenda kwenye general,then about phone..kuna maneno haya hapa na maana zake

M -simu mpyaaaaa(brand new)

N -Simu ilikua mpya ila imezingua ikarekebishwa na kurudishwa dukani,ila sio USED

F – Simu ni refurbished

Be aware wahindi matapeli.

Vp kuhusu google pixel mpwa embu gusia hapo
 
Njia nyengine rahisi lakini itabidi uzime simu na kuingia download mode ni kuangalia kama Knox ipo tripped,

Samsung zote mpya ukiigusa kuifanyia jambo tu una trip Knox na ku void warranty.

Ukiingia download mode ikiandika 0x1 imeguswa ikiwa 0x0 ipo fresh.

Pia Samsung za Africa unaweza kuregister Warranty online na ku claim benefit kwa Wasiojua simu za Samsung ukinunua official kutengeneza Vioo ni bei rahisi sana.

Unajisajili hapa

Ukiona unaingiza Imei halafu haiji Tanzania kuchagua ina maana simu imetoka Nje kijanja janja na ni refurb.
Asante kwa elimu mkwawa
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom