Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Io wameichekecha tayariSimu yangu nimenunua mpya ila cha ajabu bootloader nimekuta ipo unlocked tayari. Hivi hii imekaaje
Hakuna simu moya iliofunguliwa bootloader ,ulinunua zile zile zinazojadiliwa humuSimu yangu nimenunua mpya ila cha ajabu bootloader nimekuta ipo unlocked tayari. Hivi hii imekaaje
mkuu naomba code za kutambua refurbished za google pixel 6proNdio mkuu,bila simu kadi unaweza kuona,kuna hizo na hizi ##786##
Akili zako Fupi sana...umepewa options zaid ya tatu..kwanini Ung'ang'ane na option moja ya box...??..Dah hii Nchi Sijui ata tumewezaje kujenga SGR kwa akili Kama Izi..Eti wakupe box ulinganishe imei ya simu na ya Box unaleta vichekesho 😃😃😃.
Nenda Guangzhou kuna maduka watakuwekea simu iPhone ama Samsung kwenye box lenye imei sahihi na simu na kuweka seal ukiona utasema mpya nadhani wanaziita New Second Hand Phones
Kuna Post Mdau kauliza Duka gani lina reputation nzuri ya kuuza SIMU ZA SAMSUNG ORIGINAL NA SIO REFURBISHED?
Nimeona nijibu kama Post Mpya kwa Faida ya wengi, kwa miaka mingi niliyouza Simu,nimeona maduka makubwa wakiuza vitu FAKE,used kwa bei ya kitu KIPYA, wateja wengi hawajui na hawana muda,
Ni ngumu sana kujua simu mpya na refurbished kwa macho.
Huwezi kuamini hadi iPhone 16 zinauzwa kama mpya ila zishazingua..kuna duka ni authorized seller wa samsung wanauza simu nyingine zishatumika,nikiwa kama ex winga nitaandika mbinu chache za kujua simu mpya,
Kwa Samsung, angalia Imei number zilizopo kwenye mfuniko wa nyuma na za ndani ya simu zinaendana? Na kama zinaendana, waambie wakupe box, je imei number za kwenye box la simu zinaendana na za kwenye simu?
Software:ukiingia kwenye settings za Samsung, angalia status ya software,wakiandika OFFICIAL means simu haija chezewa,ila wakiandika CUSTOM kimbia
Mbinu nyingine kwa Samsung andika codes hizi kwenye uwanja wa kupiga simu ##786#
Hii inaitwa RTN SCREEN juu kwenye option click VIEW..status ikionesha YES means simu ni REFURBISHED, ikionesha NO means simu ni brand New..
Kwenye iPhone simple,ukiingia kwenye settings za iPhone nenda kwenye settings, nenda kwenye general,then about phone..kuna maneno haya hapa na maana zake
M -simu mpyaaaaa(brand new)
N -Simu ilikua mpya ila imezingua ikarekebishwa na kurudishwa dukani,ila sio USED
F – Simu ni refurbiSawa
Kwamba refublished sio original?Kuna Post Mdau kauliza Duka gani lina reputation nzuri ya kuuza SIMU ZA SAMSUNG ORIGINAL NA SIO REFURBISHED?
Nimeona nijibu kama Post Mpya kwa Faida ya wengi, kwa miaka mingi niliyouza Simu,nimeona maduka makubwa wakiuza vitu FAKE,used kwa bei ya kitu KIPYA, wateja wengi hawajui na hawana muda,
Ni ngumu sana kujua simu mpya na refurbished kwa macho.
Huwezi kuamini hadi iPhone 16 zinauzwa kama mpya ila zishazingua..kuna duka ni authorized seller wa samsung wanauza simu nyingine zishatumika,nikiwa kama ex winga nitaandika mbinu chache za kujua simu mpya,
Kwa Samsung, angalia Imei number zilizopo kwenye mfuniko wa nyuma na za ndani ya simu zinaendana? Na kama zinaendana, waambie wakupe box, je imei number za kwenye box la simu zinaendana na za kwenye simu?
Software:ukiingia kwenye settings za Samsung, angalia status ya software,wakiandika OFFICIAL means simu haija chezewa,ila wakiandika CUSTOM kimbia
Mbinu nyingine kwa Samsung andika codes hizi kwenye uwanja wa kupiga simu ##786#
Hii inaitwa RTN SCREEN juu kwenye option click VIEW..status ikionesha YES means simu ni REFURBISHED, ikionesha NO means simu ni brand New..
Kwenye iPhone simple,ukiingia kwenye settings za iPhone nenda kwenye settings, nenda kwenye general,then about phone..kuna maneno haya hapa na maana zake
M -simu mpyaaaaa(brand new)
N -Simu ilikua mpya ila imezingua ikarekebishwa na kurudishwa dukani,ila sio USED
F – Simu ni refurbished
Be aware wahindi matapeli.
Ni kitu kigumu sana huwezi pewa muda huo dukani na hata mimi ukija sikupi muda wa kufanya hayo nunua au poteaSio kazi unazima simu kisha una hold volumes button halafu Unachomeka usb cable ambayo ipo connected zinaingia download mode.
Inategemea na simu na simu simu za zamani inaweza kuwa na combination nyengine, unagoogle model husika online.
Nimeona pia simu za Sony ambazo ni docomo tu zimejaa humu bongo uhalisia wa kameta haupoHakuna Sony mpya Tanzania Na wala hawapo official Tanzania. Simu zote za Sony hapa ni refurb.