Namna ya kutazama Whatsapp status bila kuonekana

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Kuna mfanyabiashara mmoja nilikuwa natazama bidhaa zake Kwa watsap status ...mara akani block...aliamua Ku block wote ambao hatujawahi nunua hizo bidhaa...

Nimewahi sikia inawezekana kutazama Watsap status bila kuonekana....na Vile vile inawezekana nikaendelea kutazama status hata kama kani block.....any help?...
 
🤣acha umbea
 
Umeumia kupigwa block? Pole sasa unataka kuangalia nini wakati hata bidhaa haununui ?, Au mchepuko ndo umekulima block, inauma kutandikwa block na demu halafu iwe bado unamtaka yeye hakutaki. Any way no way utaona status zake kama kakublock, hata ukiamua kutumia no nyingine yeye kama hiyo number hajaisave kwake huwezi ona status zake.
 
Back
Top Bottom