Namna ya kutazama Whatsapp status bila kuonekana

Namna ya kutazama Whatsapp status bila kuonekana

Umeumia kupigwa block?Pole sasa unataka kuangalia nini wakati hata bidhaa haununui ?,Au mchepuko ndo umekulima block,inauma kutandikwa block na demu halafu iwe bado unamtaka yeye hakutaki.Any way no way utaona status zake kama kakublock,hata ukiamua kutumia no nyingine yeye kama hiyo number hajaisave kwake huwezi ona status zake.
Ni dalali wa warembo hahaha natazama pisikali na sinunui..
 
Boss ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga, ukitaka usionekane kama umeangalia status ya mtu jua na wewe wakiangalia hutajua, same way kwa message issue ya blue tick.
 
Kuna mfanyabiashara mmoja nilikuwa natazama bidhaa zake Kwa watsap status ...mara akani block...aliamua Ku block wote ambao hatujawahi nunua hizo bidhaa...
Nimewahi sikia inawezekana kutazama Watsap status bila kuonekana....na Vile vile inawezekana nikaendelea kutazama status hata kama kani block.....any help?...
Kisirani cha nini kwenye biashara.
 
Basi kazi sio nyepesi ...kuna mtu aliwahi ni block nikabadili simu nikaona namuona Watsap status
Mhh sio kweli
Labda aliku unblock

Au kama kama ulibadili namba, lakini kubadili simu na namba ikabaki ile ile? Hapo block inaendelea
 
Kuna mfanyabiashara mmoja nilikuwa natazama bidhaa zake Kwa watsap status ...mara akani block...aliamua Ku block wote ambao hatujawahi nunua hizo bidhaa...
Nimewahi sikia inawezekana kutazama Watsap status bila kuonekana....na Vile vile inawezekana nikaendelea kutazama status hata kama kani block.....any help?...
Na huna mpango Bado wa kununua? Status zikoje hizo??
 
Me natumia FM whatsapp kitambo tuu... ina features nyingi nzuri ubaya. wake kama hujui kuupdate na pia kwa iPhone users hawawezi kutumia
Screenshot_20230102_131128.jpg
 
Back
Top Bottom