Namna ya kutazama Whatsapp status bila kuonekana

Namna ya kutazama Whatsapp status bila kuonekana

Yan wewe unanyimia watu kuona last seen why?
Na unawaachia waone profile?

Me last seen
Profile
About
Only my contacts.

Sasa mtu sijakusave uone profile langu la nini? Hao nawanyima access
nimeona profile yako ila haujawahi kuwa na namba yangu....
 
Nenda settings kisha chagua privacy kisha read receipts iweke off
 
Mzee Una vinasaba vya uchawi sio bure.

Sasa mtu umuungishi mwenzio kwenye biashara yake Una faida gani? Kwamba ukishaview izo bidhaa bila kununua au hata kuulizia Tu Bei unafaidika na nn?

Nampongeza uyo mfanyabiashara ni Aina ya watu wasiopenda ujinga, mtu huna mchango wowote kwake namba yako kwenye simu yake no ya nini?

Aisee!! Umenichekesha unalilia kuview status? Serious?
 
Naweza tazama status ya mtu yoyote pasipo kuonekana na natumia Whatsapp ya kawaida...

Kuna mtu kashaelekeza juu hapo
 
Big IQU kama wewe unauliza very low questions, unafeli wapi?
Haiko hivyo Madam, Big IQ kwenye reason hamna shida sana, kwenye maswali lazima uwe unaweza kuuliza swali kupata confirmation ya jibu ulilonalo.
 
Mkuu naomba unielekeze jinsi ya kufanya.
Switch off hiyo kitu
IMG_4748.jpeg
 
Niliturn off kipindi flani, nikashindwa kutumia sababu nikimtumia mtu msg akisoma nataka nioneπŸ˜ͺ

Hamna ambayo inahusu status tupu?
Un official whatsapp.. GB, FM, Yo na ndugu zake.
Tofauti na hapo hamna njia nyingine πŸ˜‚
 
ephen_ nilitaka nikuPM nikuoneshe lakini nimeshindwa...ukiacha alichoonesha Depal

Ongezea na hivi...

Last seen and Online - select Nobody
About - select Nobody
Zilizobakia nyingine - select My Contacts
 
ephen_ nilitaka nikuPM nikuoneshe lakini nimeshindwa...ukiacha alichoonesha Depal

Ongezea na hivi...

Last seen and Online - select Nobody
About - select Nobody
Zilizobakia nyingine - select My Contacts
Asante
Mungu akubariki!
 
Back
Top Bottom