🤣acha umbeaKuna mfanyabiashara mmoja nilikuwa natazama bidhaa zake Kwa watsap status ...mara akani block...aliamua Ku block wote ambao hatujawahi nunua hizo bidhaa...
Nimewahi sikia inawezekana kutazama Watsap status bila kuonekana....na Vile vile inawezekana nikaendelea kutazama status hata kama kani block.....any help?...
Nakazia 😅Mimi peke yangu ndiyo nimekuelewa kaka sasa fanya hivi huyo demu achana nae atakuumiza ndugu yangu
It's more complicated than you thinkNdg hata wewe.?
Kama mtu amekublock kwanini ulazimishe kuziangalia.?
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Sema ukitaka kutokuonekana, na wao hawataonekana wakiview status yako. Both teams to score zero.....Nami nahitaji hiyo. Kuna madem wanajisikia sana wakiona nimetazama status zao.
Hakuna namna... mwombe tu mkuu...Kama keshanipiga block nafanyaje?