Namna ya kutoa pesa kutoka Skrill wallet

Namna ya kutoa pesa kutoka Skrill wallet

Nrangoo

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
3,407
Reaction score
5,418
Habari wadau.

Huwa ninafanya deposit kwenye Skrill wallet kwa kutumia Equity bank.

Lakini huwa ninapata changamoto na usumbufu wa ku withdraw kupitia equity bank , hata hivyo makato huwa siyo rafiki sana. .

Naomba muongozo namna gani ninaweza kufanya withdrawal kwenye platforms zenye rates nzuri au nafuu kidogo. Nimesikia kuna platforms inaitwa Remitano lakini sijafahamu namna gani ina operate na rates zake zipoje.

Natanguliza shukrani
 
Njia ya kutoa hela from skrill ni bank tuu
 
Upo nchi gani! Kama ni Tz option ni chache sana. Kama nchi haijapata waziri mwelewa wa uchumi wa digital. Paypay tu ni tatizo, online payments za kimataifa Tz bado sana. Tupo na M-pesa na Tigo Pesa
 
Upo nchi gani! Kama ni Tz option ni chache sana. Kama nchi haijapata waziri mwelewa wa uchumi wa digital. Paypay tu ni tatizo, online payments za kimataifa Tz bado sana. Tupo na M-pesa na Tigo Pesa
Bongo hii hii mkuu
 
Upo nchi gani! Kama ni Tz option ni chache sana. Kama nchi haijapata waziri mwelewa wa uchumi wa digital. Paypay tu ni tatizo, online payments za kimataifa Tz bado sana. Tupo na M-pesa na Tigo Pesa
Hizo option ni zipi mkuu?
 
Kaka habari , Naona Nina tatizo kwenye meseji nashindwa kufungua na kuzisoma , pia nashukuru kwa kunicheki na ninaomba unipe contact zako au nikupe zangu unicheki 0766 182 020 au 0784 521 700
Wasiliana na hawa jamaa watakusaidia mkuu
4c22a80c75844b23a19a6a8f287afddd.jpg
 
Back
Top Bottom