Namna ya kutoa pesa kwenye benki zilizofungiwa

Namna ya kutoa pesa kwenye benki zilizofungiwa

Joined
Aug 22, 2020
Posts
44
Reaction score
14
Habari wadau, naomba kujua namna ya kutoa pesa kwenye benki zilizofungiwa ikiwemo Meru Bank Community
 
Hakuna namna ya kutoa pesa kwenye Bank iliyofungiwa. Wewe kuwa mpole na usubirie maelekezo mtakayopewa wateja wa hiyo Bank kutoka Bank Kuu.
 
Back
Top Bottom