Kifaru TANZANIAN Member Joined Aug 22, 2020 Posts 44 Reaction score 14 Jun 9, 2021 #1 Habari wadau, naomba kujua namna ya kutoa pesa kwenye benki zilizofungiwa ikiwemo Meru Bank Community
Habari wadau, naomba kujua namna ya kutoa pesa kwenye benki zilizofungiwa ikiwemo Meru Bank Community
Son of Gamba JF-Expert Member Joined Oct 26, 2012 Posts 4,720 Reaction score 6,957 Jun 9, 2021 #2 Hakuna namna ya kutoa pesa kwenye Bank iliyofungiwa. Wewe kuwa mpole na usubirie maelekezo mtakayopewa wateja wa hiyo Bank kutoka Bank Kuu.
Hakuna namna ya kutoa pesa kwenye Bank iliyofungiwa. Wewe kuwa mpole na usubirie maelekezo mtakayopewa wateja wa hiyo Bank kutoka Bank Kuu.
Kifaru TANZANIAN Member Joined Aug 22, 2020 Posts 44 Reaction score 14 Jun 9, 2021 Thread starter #3 Son of Gamba said: Hakuna namna ya kutoa pesa kwenye Bank iliyofungiwa. Wewe kuwa mpole na usubirie maelekezo mtakayopewa wateja wa hiyo Bank kutoka Bank Kuu. Ni toka 2016 sas tulishapewaga m1. 5 hadi leo amna tamko lolote tena Click to expand...
Son of Gamba said: Hakuna namna ya kutoa pesa kwenye Bank iliyofungiwa. Wewe kuwa mpole na usubirie maelekezo mtakayopewa wateja wa hiyo Bank kutoka Bank Kuu. Ni toka 2016 sas tulishapewaga m1. 5 hadi leo amna tamko lolote tena Click to expand...
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,046 Reaction score 2,453 Jun 10, 2021 #4 Labda ukavunje benki hiyo