Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
Hapa natoa madokezo (hints) kuhusu kujiunganisha na mizimu ya kwenu ili kuweka mambo yako sawa.
Tunaanza.
1. Tafuta eneo safi na tulivu
Hakikisha Una eneo safi na tulivu ambalo utalitumia Kama madhabu yako kuongea na mizimu ya kwenu ili kupata msaada eneo linaweza kuwa hata chumbani kwako ilimrdi usiwe unafanyia mambo machafu kama uzinzi ,kujichua ,n.k. pia waweza kuasha ubani au udi.
2. Weka nia na lengo
Kuwa na jambo lako maalumu unaloenda kuomba mizimu ,kama pesa ,biashara ,au Kazi .
3. Andaa sadaka au zawadi kwa mizimu
Hakikisha una zawadi au chakula.angalia aina gani ya zawadi unaweza kuwapa mizimu yako Kama Chakula, Picha ,maua au mnyama .
4. Andaa mshumaa
Andaa mshumaa na ukimaliza washa huo mshumaa kwa ajili ya kuita hizo roho za mizimu .
5. Anza kuomba au fanya tafakari
Kuomba waweza kuomba jambo unalohitaji litokee na pia unaweza kujiingiza katika kutafakari jambo unalotaka litokee , ukimaliza hakikisha unaushukuru mzimu wako.
6. Andika mambo yote uliomba na unayohitaji yatokee kwa kuamini tiyari umeshapata.
Mwisho, zoezi hili unaweza kulifanya kila wiki ,mwezi au mwaka .kutegemea na mahitaji yako.
Utaanza kupokea majibu kwa njia hizi
Mizimu - ni ancestors -watu ambao wameishi kabla yetu. Jamii zote zilizoendelea huwa zinafanya maombi na matambiko kupitia their ancestors sema people they don't want to exposé their mystery how they made it.
Mimi hii ndo mbinu niliofundishwa na bibi (R I P) Ila it work 100%
Watu wa dini naomba mkae pembeni tafadhari.

- Ndoto
- Kutoka kwa watu wako
- Sauti yako ya ndani