Namna ya kuwasiliana na mizimu (ancestors) kwa ajili ya kupata mafanikio au kuweka mambo yako sawa

Acheni imani za ajabu jamani ivi mtu ameshakufa hawezi ata kuongea hlf ety ww ukamuombe ndo atakusaidia

Jamani hizi ni akili au matope?

Muombe msaada Muumba wako atakusaidia achana na imani za kishirikina kama hizi

Sawa what you see is limitations of ur view
 
Hapa natoa madokezo (hints) kuhusu kujiunganisha na mizimu ya kwenu ili kuweka mambo yako sawa.

Tunaanza.

1.Tafuta eneo safi na tulivu.
Hakikisha Una eneo safi na tulivu ambalo utalitumia Kama madhabu yako kuongea na mizimu ya kwenu ili kupata msaada eneo linaweza kuwa hata chumbani kwako ilimrdi usiwe unafanyia mambo machafu kama uzinzi ,kujichua ,n.k. pia waweza kuasha ubani au udi.

2. Weka nia na lengo
Kuwa na jambo lako maalumu unaloenda kuomba mizimu ,kama pesa ,biashara ,au Kazi .

3. Andaa sadaka au zawadi kwa mizimu.

Hakikisha una zawadi au chakula.angalia aina gani ya zawadi unaweza kuwapa mizimu yako Kama Chakula, Picha ,maua au mnyama .

4. Andaa mshumaa
Andaa mshumaa na ukimaliza washa huo mshumaa kwa ajili ya kuita hizo roho za mizimu .

5. Anza kuomba au fanya tafakari.

Kuomba waweza kuomba jambo unalohitaji litokee na pia unaweza kujiingiza katika kutafakari jambo unalotaka litokee , ukimaliza hakikisha unaushukuru mzimu wako.

6. Andika mambo yote uliomba na unayohitaji yatokee kwa kuamini tiyari umeshapata.

Mwisho .
Zoezi hili unaweza kulifanya kila wiki ,mwezi au mwaka .kutegemea na mahitaji yako.

Utaanza kupokea majibu kwa njia hizi
Ndoto
Kutoka kwa watu wako
Sauti yako ya ndani
Na utakuwa unaona ishara mbali mbali katika maisha yako ya kila siku.

mizimu - ni ancestors -watu ambao wameishi kabla yetu. Jamii zote zilizoendelea huwa zinafanya maombi na matambiko kupitia their ancestors sema people they don't want to exposé their mystery how they made it.

Mimi hii ndo mbinu niliofundishwa na bibi (R I P) Ila it work 100%

Watu wa dini naomba mkae pembeni tafadhari.
Mimi aaah, nimekaa pembeni
 
huyo ancestor nitamuona live au nitajuaje amefika mgeni wangu niliyemuita
 
😂😂😂 kama si ujinga ni nini ? Babu yako alikufa kwenye nyumba ya tope na nyasi huyo huyo ndo akupe mafanikio?

Oyaa rudi kwa muumba wako muda bado
 
Ahahahah.. Umetawaliwa kifikra sana na dini za watu, kabla ya kutuletea dini zao hizo matambiko ndio zilikua dini zetu sisi wakatudanganya dini zetu n ushirikina wakatupa dini zao ili iwe simple kututawala. Fanya tafiti ndogo kwann Japan walikataa dini ya Ukristo na Muslim na kushika dini zao wao kama wao then utaleta majibu
Muslim population is booming in japan as we speak
 
Mimi njia yangu ni tofauti, njia yangu Mimi ni " Kujiamini na kuamini kuwa naweza", Kila nikitaka kufanya jambo nikiwa na notion hiyo kichwani, nguvu na akili ya kufanya huwa maradufu, then guess what?, ni kutoboa tundu tu.
 
Amka Toka usingizini nenda kafanye kazi mafanikio hayaji Kwa maombi Wala kafara na sadaka, ko unataka uwe unapata pesa bila kufanya kazi😂
 
Back
Top Bottom