Namna ya Waislamu kufanya mijadala ya kidini na wasio kuwa Waislamu

Unaongea kama umekatwa kichwa, ni nani ambaye huwa anaita wenzake makafiri na kukata vichwa vya wasiotaka kusilimu huko Iran kama siyo mashekhe ubwabwa.
Mbona una mihemko au akili ndogo ?

Umesoma mada vizuri ?

Kwani mtoa mada amesema Waislamu wafasi hawatukani au hawafanyi ugomvi ?

Hauoni kuwa ametoa Elimu Waislamu wafanye majadiliano kistaarabu kama dini inavyotaka na waachane na majadiliano ya kipuuzi ?
 
Waislam ni jamii ngumu kuishi nayo
Ni watu wasio na elimu
We fikiria dini Yao inalazimisha kila mtu awe muislam, hivi itawezekana kweli kila mtu awe muislam?
Mafundisho Yao ya ugaidi na kulipwa mabikra ahera.
Waislam sio wavumilivu akiona nguruwe wa jirani anataka kumuuwa, hivi wewe muislam nguruwe amekukosea nini? Nguruwe anajua huyu ni muislam nimsogolee ? Nguruwe atajua mipaka ya mashamba?
Elimu ipi unauzungumzia ambayo Waislamu hatuna ?

Wapi Uislamu unalazimisha mtu awe Muislamu haujui katika Uislamu Kuna Sheria ya kuishi na watu wasio Waislamu katika Jamii na inawalinda na kuwapa uhuru ?

Wakati Mayahudi wakiuliwa na Wakristo Ulaya na kupewa Sheria kandamizi kimbilio lao lilikuwa kwa Waislamu na wakakimbilia nchi za Waislamu hili nalo bila shaka haulijui halafu utasema nyinyi mna Elimu wakati hata historia ya ulimwengu na dini yenu hamuijui ?

Mkuu sijui tatizo bange , chuki au kitu gani maana unaelekea kuwa extremist na fanatical Christian kama walivyo wakina Maghayo , jambo lolote kuhusu Uislamu unachukulia negatively hautaki kushughulisha akili yako hata kidogo na ukiletewa hoja za wazi unakimbia au kujibu hovyo . Haya niletee andiko linalosema jilipue ukapewe hizo bikira akhera .
 
Waislam ni jamii ngumu kuishi nayo
Ni watu wasio na elimu
We fikiria dini Yao inalazimisha kila mtu awe muislam, hivi itawezekana kweli kila mtu awe muislam?
Mafundisho Yao ya ugaidi na kulipwa mabikra ahera.
Waislam sio wavumilivu akiona nguruwe wa jirani anataka kumuuwa, hivi wewe muislam nguruwe amekukosea nini? Nguruwe anajua huyu ni muislam nimsogolee ? Nguruwe atajua mipaka ya mashamba?
Kwa nini unatumia tabia ya jirani yako mmoja kuhukumu Uislamu wapi Uislamu unasema tumuue Nguruwe kama ingekuwa kheri si Waislamu tungeacha kazi zetu na kuingia porini kusaka Nguruwe ?
 
My people,​

NAMNA YA KUFANYA MAJADILIANO YA KIDINI NA WASIO WAKUWA WAISLAMU KATIKA UISLAMU

Uislamu ni dini ya hikma, adabu na rehema. Unapozungumzia dini na watu wasiokuwa Waislamu, Uislamu hauhimizi mabishano ya jazba, bali majadiliano yenye hekima, heshima na lengo la kufikisha ukweli kwa upole.

Mazungumzo ya kidini ni kama daraja, si ukuta; yanapaswa kuunganisha mioyo kabla ya kushindana hoja

1. Kuitana kwa Hikima na Maneno Mazuri
Allah anasema:
“Lingania katika njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mema, na jadiliana nao kwa namna iliyo bora.” (Qur’an 16:125)

Hii inaonyesha kuwa msingi wa majadiliano ni hekima, si kejeli; ni busara, si dharau. Muislamu anatakiwa azungumze kwa lugha inayofungua akili na kutuliza moyo

2. Kuepuka Matusi na Dhihaka
Allah anatuonya:
“Wala msivuke mipaka kwa kuwatusi wale wanaoabudiwa badala ya Allah, wasije wakamtukana Allah kwa uadui bila elimu.” (Qur’an 6:108)

Hii ni kanuni ya dhahabu ya mazungumzo: heshima hulinda heshima. Uislamu haujengi hoja juu ya kubeza wengine, bali juu ya ukweli na adabu

3. Kuzungumza kwa Ukweli na Uadilifu
Majadiliano ya kidini si mashindano ya maneno, bali ni juhudi ya kutafuta haki. Allah anasema:
“Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa haki kwa ajili ya Allah.” (Qur’an 4:135)
Muislamu anatakiwa awe mkweli, hata kama ukweli hauko upande wake wa hoja binafsi. Ukweli una nuru yake, hauhitaji makelele

4. Kusikiliza Kabla ya Kujibu
Mtume ﷺ alikuwa akiwapa watu nafasi ya kueleza mawazo yao kikamilifu kabla ya kuwajibu. Kusikiliza ni kama kufungua mlango wa moyo wa mwenzako, ndipo ujumbe unaweza kupita kwa urahisi

5. Kutokulazimisha Imani
Allah amesema:
“Hakuna kulazimisha katika dini.” (Qur’an 2:256)
Majadiliano ya kidini katika Uislamu hayalengi kumshinda mtu, bali kumuelewesha. Imani ya kweli hustawi kwa hiari, si kwa shinikizo

6. Kujenga Misingi ya Pamoja
Uislamu unahimiza kuanzia kwenye mambo ya pamoja. Allah anasema:
“Njooni kwenye neno la sawa kati yetu na ninyi…” (Qur’an 3:64)

Hii ni mbinu ya busara: kuanzia kwenye makubaliano kunafanya mazungumzo yaende kwa utulivu na heshima

7. Lengo: Kuleta Uongofu, Sio Ushindi
Mtume ﷺ alisema:
“Kwa Allah, kama mtu mmoja ataongoka kupitia wewe, ni bora kuliko mali ya dunia.” (Bukhari & Muslim)
Hivyo, lengo la majadiliano si kushinda mabishano, bali kusaidia mtu apate mwanga wa ukweli

Kwa mujibu wa Uislamu, majadiliano ya kidini na wasiokuwa Waislamu yanapaswa kuwa:
Kwa hekima

Kwa heshima
Kwa subira
Bila matusi
Bila kulazimisha

Ni kama kupanda mbegu kwenye ardhi ya moyo, kwa upole na matumaini, ukimuachia Allah matokeo

Ni hayo tu!
Mtihani mkubwa kwa baadhi ya ndugu zetu kujiingiza kwenye mijadala ya kipuuzi yenye matusi , kebehi , dhihaka , ujinga na mambo mengine kinyume na ustaarabu na kanuni Bora za majadiliano.

Mimi mijadala na watu wa namna hiyo huwa nawapuuza nina jibu tu pale kwenye hoja na mtu akija kwa njia ya kistaarabu ya kutaka kujua na sio dhihaka na wakati mwingine najibu nikiona upotoshaji mkubwa wa wazi tu.

Ndugu zetu wanaona wanafanya jambo zuri la kutetea dini bila kujali misingi ya Uislamu katika jambo hilo , humu zipo ID special kwa ajili ya propaganda na kudhihaki Uislamu watu kama hao ukiwapuuza kwao inawakera zaidi na kukosa nguvu kuliko ukianza kubishana nao .
 
Shk ukifatilia maudhui ya mada za kuikashifu Kuran na Uislam humu JF utagundua nyingi sio random. Zina chanzo kimoja. Quality na uwakilishaji unafanana. Kwamba Zina Uratibu. Wanaozileta humu ni vipaaza sauti tuu. Mabosi wapo kusoma kinachojiri. Kilicho sawa baina yetu na wasiokuwa sisi ni heshima juu ya mitume na vitabu vyetu. Ushauri wangu ni kuwa TUZIPUUZE
 
Umenena vyema.
Ila umesahau moja la muhimu.

Kumshawishi au kumuelimisha mtu hahihitaji ww kuupondea Ukristo kwa kuchambua Biblia.

Ila Inahitaj wewe kuchambua na kuelimisha watu kuhusu Quran zaid.
Kuna watu kibao hawana dini . WameHang hang tu. Saaa inabidi Waijue Quran vizur.

Ila Ukija na hoja ya Kuponda Biblia na Wakristo watakuja na hoja ya kuipondea Quran.
Na ndio shida inaanzia hapa.

Ila in serious note. Ambae anahisi kuwa kuchambua Biblia au Quran kupitia JF kutafanya mtu abadili imani yake .bas ajue anapoteza Muda.

Watu watapata elimu na ufaham wa ambayo walikuwa hawajui awali.

Hayo mengne hayakuhusu na ni Iman ya mtu binafsi.

Mikutano ya Injili sijawah ona hata siku moja wanahangaika na Quran wala kujibizana na Waislam.

Ila sasa mikutano ya Waislam . Hoja mara nying ni Biblia.
Kwan Inawahusu nini?. Inawauma nn kama wakristo wanapotea?.
Kama imepotoshwa ni yao. Ww yanakuhusije?. Kula nguruwe ww inakuuma nini?.

Ni kama unamtukana mtu. Alaf akikutukana . Ww unakimbilia polisi.
 
Mtihani mkubwa kwa baadhi ya ndugu zetu kujiingiza kwenye mijadala ya kipuuzi yenye matusi , kebehi , dhihaka , ujinga na mambo mengine kinyume na ustaarabu na kanuni Bora za majadiliano.

Mimi mijadala na watu wa namna hiyo huwa nawapuuza nina jibu tu pale kwenye hoja na mtu akija kwa njia ya kistaarabu ya kutaka kujua na sio dhihaka na wakati mwingine najibu nikiona upotoshaji mkubwa wa wazi tu.

Ndugu zetu wanaona wanafanya jambo zuri la kutetea dini bila kujali misingi ya Uislamu katika jambo hilo , humu zipo ID special kwa ajili ya propaganda na kudhihaki Uislamu watu kama hao ukiwapuuza kwao inawakera zaidi na kukosa nguvu kuliko ukianza kubishana nao .
Nimekwambia uislam ni dini ya siasa Kali za udikteta na ugaidi
Ulimwengu ulishashtuka na kujua Nia uislam ni zaidi ya dini Bali ugaidi na siasa za ukandamizaji
Alshabab ni waislam
Boko Haram ni waislam
Al Qaeda ni waislam
ISIS ni waislam
Magaidi Msumbiji ni waislam

Ona Leo watu wameuliwa hao Waislam wapumbavu wamelichukulia kama suala la kidini wakati hata Waislam wenzao wamekufa akina Shehe majini.

Watu tunaunganisha nguvu kukemea serikali kuwajibika , ila jamii ya waislam walio wajinga wao wanatetea wauaji Kwa kuhongwa ubwabwa, tende na mazulia
 
Hakuna baya alilolinena mleta mada.
Na ushauri mwingine ni kwamba waislam ni vema wakaacha kuiongelea Biblia, ambayo haiwahusu. Watumie muda wao kuiongelea Quran, ndiyo kitabu chao. Wajue kuwa hakuna muislam anayeijua biblia vizuri zaidi ya mkristo mwenyewe. Waislam kujifanya wanaweza kuwafundisha wakristo kuhusu Biblia, ni kupoteza muda wao, na kufungua ukurasa wa quran yao kushambuliwa na wasioiamini.

Siku zote dini huenezwa kwa ushawishi wa mema na siyo chuki. Ushawishi kwa njia ya wema ndio uliowafanya waislam kubadilika na kuwa wakristo. Wapo waislam walienda shule za kanisa, wakasoma bila kubaguliwa, wakatendewa hata ambayo hawakuyatarajia, baadhi mpaka kupewa scholarships kwenda kusoma nje, wakigharimiwa na Kanisa. Kwa hiari yao, baada ya kuushuhudia upendo wa kweli, waliamua kuwa wakristo, na wengine walienda mbali zaidi na kufanikiwa kuwa mapadre, hata kuwa maaskofu. Mfano mmojawapo ni aliyekuwa Askofu Mkuu Mario Abdallah Mgulunde.

NB: Una nafasi nzuri sana ya kumshawishi mtu kwa kumwonesha upendo, kuliko chuki.
 
hapana, sijasema kwamba Muslims na Christians wana uhasama, bali mulsims ndiyo tatizo, sijawahi kusikia popote Christians wakibagua Muslims hapa tanzagiza, kwanza ni kawaida Christians kutoa mkono wa amani kila siku ukiangalia viongozi Christians wote upinzani au serikali huwatakia muslims mfungo mwema, wengine huenda mbali hata kufuturisha na kuvaa kanzu kama muslims jambo ambalo kwangu mimi ni kujipendekeza na ninalipinga lkn hiyo ni mada nyingine lkn kwa upande wa muslims ni no go hata wanakatazwa kuwatakia Christians sikukuu njema na hii ni kuanzia madrasa mpaka huko juu kabisa.

hivyo siyo sahihi kusema kuna uhasama baina ya Muslims na Christians bali ni muslims wa tanzagiza ndiyo hawako tayari kuwakulabli wengine na kuwaheshimu wao wanaamini siku moja tanzagiza yoote itakuwa islamic state kama irani na wameshaanza na banking kuzigeuza islamic, bandari wamegawa kwa muslims kuna shehe alisema muslims wamekuja chukuwa bandari yao, resources zetu zote kwenyze tourism wamegawa muslisms, air ports kama kia wakati hizi zote siyo mali za muslims bali zilianzishwa na Christians kwa ajili ya matumizi na manufaa ya wananchi wote regardless of dini.

hivyo ingawaje its sounds crazy lkn suluhisho la kudumu kwa maoni yangu ni kutenganisha ...
Una vituko sana Kijakazi
 
Nimekwambia uislam ni dini ya siasa Kali za udikteta na ugaidi
Ulimwengu ulishashtuka na kujua Nia uislam ni zaidi ya dini Bali ugaidi na siasa za ukandamizaji
Alshabab ni waislam
Boko Haram ni waislam
Al Qaeda ni waislam
ISIS ni waislam
Magaidi Msumbiji ni waislam

Ona Leo watu wameuliwa hao Waislam wapumbavu wamelichukulia kama suala la kidini wakati hata Waislam wenzao wamekufa akina Shehe majini.

Watu tunaunganisha nguvu kukemea serikali kuwajibika , ila jamii ya waislam walio wajinga wao wanatetea wauaji Kwa kuhongwa ubwabwa, tende na mazulia
Wakati mwengine uwe unaficha ujinga wako.
 
Hakuna baya alilolinena mleta mada.
Na ushauri mwingine ni kwamba waislam ni vema wakaacha kuiongelea Biblia, ambayo haiwahusu. Watumie muda wao kuiongelea Quran, ndiyo kitabu chao. Wajue kuwa hakuna muislam anayeijua biblia vizuri zaidi ya mkristo mwenyewe. Waislam kujifanya wanaweza kuwafundisha wakristo kuhusu Biblia, ni kupoteza muda wao, na kufungua ukurasa wa quran yao kushambuliwa na wasioiamini.

Siku zote dini huenezwa kwa ushawishi wa mema na siyo chuki. Ushawishi kwa njia ya wema ndio uliowafanya waislam kubadilika na kuwa wakristo. Wapo waislam walienda shule za kanisa, wakasoma bila kubaguliwa, wakatendewa hata ambayo hawakuyatarajia, baadhi mpaka kupewa scholarships kwenda kusoma nje, wakigharimiwa na Kanisa. Kwa hiari yao, baada ya kuushuhudia upendo wa kweli, waliamua kuwa wakristo, na wengine walienda mbali zaidi na kufanikiwa kuwa mapadre, hata kuwa maaskofu. Mfano mmojawapo ni aliyekuwa Askofu Mkuu Mario Abdallah Mgulunde.

NB: Una nafasi nzuri sana ya kumshawishi mtu kwa kumwonesha upendo, kuliko chuki.
Hakika
Wajikite kwenye Kitabu chao:
Sisi wala hatukihitaji
 
Mleta mada anataka waislamu wasiwe wengi ili afaidi mwenyewe mabikra walioko pepeoni.

Hii si sawa jameni.
 
My people,​

NAMNA YA KUFANYA MAJADILIANO YA KIDINI NA WASIO WAKUWA WAISLAMU KATIKA UISLAMU

Uislamu ni dini ya hikma, adabu na rehema. Unapozungumzia dini na watu wasiokuwa Waislamu, Uislamu hauhimizi mabishano ya jazba, bali majadiliano yenye hekima, heshima na lengo la kufikisha ukweli kwa upole.

Mazungumzo ya kidini ni kama daraja, si ukuta; yanapaswa kuunganisha mioyo kabla ya kushindana hoja

1. Kuitana kwa Hikima na Maneno Mazuri
Allah anasema:
“Lingania katika njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mema, na jadiliana nao kwa namna iliyo bora.” (Qur’an 16:125)

Hii inaonyesha kuwa msingi wa majadiliano ni hekima, si kejeli; ni busara, si dharau. Muislamu anatakiwa azungumze kwa lugha inayofungua akili na kutuliza moyo

2. Kuepuka Matusi na Dhihaka
Allah anatuonya:
“Wala msivuke mipaka kwa kuwatusi wale wanaoabudiwa badala ya Allah, wasije wakamtukana Allah kwa uadui bila elimu.” (Qur’an 6:108)

Hii ni kanuni ya dhahabu ya mazungumzo: heshima hulinda heshima. Uislamu haujengi hoja juu ya kubeza wengine, bali juu ya ukweli na adabu

3. Kuzungumza kwa Ukweli na Uadilifu
Majadiliano ya kidini si mashindano ya maneno, bali ni juhudi ya kutafuta haki. Allah anasema:
“Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa haki kwa ajili ya Allah.” (Qur’an 4:135)
Muislamu anatakiwa awe mkweli, hata kama ukweli hauko upande wake wa hoja binafsi. Ukweli una nuru yake, hauhitaji makelele

4. Kusikiliza Kabla ya Kujibu
Mtume ﷺ alikuwa akiwapa watu nafasi ya kueleza mawazo yao kikamilifu kabla ya kuwajibu. Kusikiliza ni kama kufungua mlango wa moyo wa mwenzako, ndipo ujumbe unaweza kupita kwa urahisi

5. Kutokulazimisha Imani
Allah amesema:
“Hakuna kulazimisha katika dini.” (Qur’an 2:256)
Majadiliano ya kidini katika Uislamu hayalengi kumshinda mtu, bali kumuelewesha. Imani ya kweli hustawi kwa hiari, si kwa shinikizo

6. Kujenga Misingi ya Pamoja
Uislamu unahimiza kuanzia kwenye mambo ya pamoja. Allah anasema:
“Njooni kwenye neno la sawa kati yetu na ninyi…” (Qur’an 3:64)

Hii ni mbinu ya busara: kuanzia kwenye makubaliano kunafanya mazungumzo yaende kwa utulivu na heshima

7. Lengo: Kuleta Uongofu, Sio Ushindi
Mtume ﷺ alisema:
“Kwa Allah, kama mtu mmoja ataongoka kupitia wewe, ni bora kuliko mali ya dunia.” (Bukhari & Muslim)
Hivyo, lengo la majadiliano si kushinda mabishano, bali kusaidia mtu apate mwanga wa ukweli

Kwa mujibu wa Uislamu, majadiliano ya kidini na wasiokuwa Waislamu yanapaswa kuwa:
Kwa hekima

Kwa heshima
Kwa subira
Bila matusi
Bila kulazimisha

Ni kama kupanda mbegu kwenye ardhi ya moyo, kwa upole na matumaini, ukimuachia Allah matokeo

Ni hayo tu!
HIvi Taqqiya ni nini vile?
 
Niwaonye sana ndugu zangu waislamu,tufuate muongozo wa dini yetu kama mada ilivyojieleza hapo juu,kinyume chake utajichumia madhambi bure,utajiona unaitetea dini kumbe unafanya mambo bila elimu na kupata dhambi

Uislamu ni dini ya maarifa na elimu,huwezi kujadili kwa kufuata muongozo wa uislamu basi kaa kimya utakuwa salama

Huenda huku yajua haya,leo umejua utaulizwa kwa kukengeuka kwako na kufanya upuuzi angali umeujua ukweli

Asante
Shida nimajority ya waislam hata uislamu hawaujui ndii mana wengi ni debe tupu,na matusi juu na kukata vichwa ndii kitu wanachoweza.
 
My people,​

NAMNA YA KUFANYA MAJADILIANO YA KIDINI NA WASIO WAKUWA WAISLAMU KATIKA UISLAMU

Uislamu ni dini ya hikma, adabu na rehema. Unapozungumzia dini na watu wasiokuwa Waislamu, Uislamu hauhimizi mabishano ya jazba, bali majadiliano yenye hekima, heshima na lengo la kufikisha ukweli kwa upole.

Mazungumzo ya kidini ni kama daraja, si ukuta; yanapaswa kuunganisha mioyo kabla ya kushindana hoja

1. Kuitana kwa Hikima na Maneno Mazuri
Allah anasema:
“Lingania katika njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mema, na jadiliana nao kwa namna iliyo bora.” (Qur’an 16:125)

Hii inaonyesha kuwa msingi wa majadiliano ni hekima, si kejeli; ni busara, si dharau. Muislamu anatakiwa azungumze kwa lugha inayofungua akili na kutuliza moyo

2. Kuepuka Matusi na Dhihaka
Allah anatuonya:
“Wala msivuke mipaka kwa kuwatusi wale wanaoabudiwa badala ya Allah, wasije wakamtukana Allah kwa uadui bila elimu.” (Qur’an 6:108)

Hii ni kanuni ya dhahabu ya mazungumzo: heshima hulinda heshima. Uislamu haujengi hoja juu ya kubeza wengine, bali juu ya ukweli na adabu

3. Kuzungumza kwa Ukweli na Uadilifu
Majadiliano ya kidini si mashindano ya maneno, bali ni juhudi ya kutafuta haki. Allah anasema:
“Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa haki kwa ajili ya Allah.” (Qur’an 4:135)
Muislamu anatakiwa awe mkweli, hata kama ukweli hauko upande wake wa hoja binafsi. Ukweli una nuru yake, hauhitaji makelele

4. Kusikiliza Kabla ya Kujibu
Mtume ﷺ alikuwa akiwapa watu nafasi ya kueleza mawazo yao kikamilifu kabla ya kuwajibu. Kusikiliza ni kama kufungua mlango wa moyo wa mwenzako, ndipo ujumbe unaweza kupita kwa urahisi

5. Kutokulazimisha Imani
Allah amesema:
“Hakuna kulazimisha katika dini.” (Qur’an 2:256)
Majadiliano ya kidini katika Uislamu hayalengi kumshinda mtu, bali kumuelewesha. Imani ya kweli hustawi kwa hiari, si kwa shinikizo

6. Kujenga Misingi ya Pamoja
Uislamu unahimiza kuanzia kwenye mambo ya pamoja. Allah anasema:
“Njooni kwenye neno la sawa kati yetu na ninyi…” (Qur’an 3:64)

Hii ni mbinu ya busara: kuanzia kwenye makubaliano kunafanya mazungumzo yaende kwa utulivu na heshima

7. Lengo: Kuleta Uongofu, Sio Ushindi
Mtume ﷺ alisema:
“Kwa Allah, kama mtu mmoja ataongoka kupitia wewe, ni bora kuliko mali ya dunia.” (Bukhari & Muslim)
Hivyo, lengo la majadiliano si kushinda mabishano, bali kusaidia mtu apate mwanga wa ukweli

Kwa mujibu wa Uislamu, majadiliano ya kidini na wasiokuwa Waislamu yanapaswa kuwa:
Kwa hekima

Kwa heshima
Kwa subira
Bila matusi
Bila kulazimisha

Ni kama kupanda mbegu kwenye ardhi ya moyo, kwa upole na matumaini, ukimuachia Allah matokeo

Ni hayo tu!
Msaafu una Aya inasema " Wao Wana dini Yao na sisi tuna dini yetu" mlimwelewe vizuri bwana madevu alichokiandika hapa? Lakini walioletewa na majahazi Sasa Wana vikundi kabisa Wanaojiita DAWA sijui ni za hospitali au miti shamba au wengine wanaojiita MNAKASHA kucha kutwa kukariri vifungu vya biblia kuukashfu ukristu.
 
Msaafu una Aya inasema " Wao Wana dini Yao na sisi tuna dini yetu" mlimwelewe vizuri bwana madevu alichokiandika hapa? Lakini walioletewa na majahazi Sasa Wana vikundi kabisa Wanaojiita DAWA sijui ni za hospitali au miti shamba au wengine wanaojiita MNAKASHA kucha kutwa kukariri vifungu vya biblia kuukashfu ukristu.]Kwa kila aya ya Qur'an iliyoshuka ilikuwa na makusudio maalumu au kutupa ujumbe maalumu,kuna baadhi ya aya zilishuka kwa matukio maalumu[/SIZE][/FONT]
Quran ilishuka kwa matukio maalumu kwa baadhi ya aya

Mfano wa aya hizo au sura hiyo ni hiyo uliyotoa mfano wake hapo,kuna tukio ambalo mpaka likapelekea kushuka kwa aya hizo

Mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake,alipokuwa anawafikishia watu ujumbe wa ALLAH wa kumuabudu Mungu mmoja, makafiri wa Makka na Washirikina walimpa sharti Mtume kwamba,akitaka wao waukubali Uislamu basi,mwaka fulani wamuabudu Allah na mwaka fulani waabudu miungu yao ya kishirikina

Hapo ndipo Mtume akashushiwa aya hizo kwamba wao wanacho wanachokiabudu na sisi tunaye tunayemuabudu,ni kama vile tunawaambiwa wao wabaki na imani na sisi zetu,lakini kamwe hatuwezi kuabudu miungu yao.

UIslamu ni dini ambayo imekuja kuwataka watu wamuabudu Mungu mmoja tu wa ukweli na kupinga vitendo vyote vya kishirikina kama kuabudu masanamu na kuabudu viumbe

Kwahiyo kulingania watu kwenye dini hii ya haki ni wajibu wetu kama waislamu,lakini je tuwalingania vipi watu kwenda kwenye Uislamu,ndio mada ilijikita hapo

Jukumu la muislamu ni kuisema haki au kufikisha ujumbe wa ALLAH, kisha muonngozaji ni Allah mwenyewe,sisi hatutaulizwa kwanini fulani na fulani mliwafikishia ujumbe wa uislamu lakini hawakuukubali uislamu?

Hiyo ni milki ya Allah,kwani moja wapo la jina lake ni JABBARI ikimaanisha yeye ndio mwenye kuzibadilisha nyoyo za watu au kuziongoza kwenye kuamini jambo fulani

Asante
 
Back
Top Bottom