Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Hili jukwaa la kila mtu sio waislam tuu, eti hikma, adabu na rehma then wewe umetokea wapi, umefeliNaongea na ndugu zangu waislamu,sijui wewe umetokea wapi?
Hili jukwaa la kila mtu sio waislam tuu, eti hikma, adabu na rehma then wewe umetokea wapi, umefeliNaongea na ndugu zangu waislamu,sijui wewe umetokea wapi?
Mkuu! Nilipita na mwendokasi kwahiyo kama nimeharibu tusameheane.Mbona una mihemko au akili ndogo ?
Umesoma mada vizuri ?
Kwani mtoa mada amesema Waislamu wafasi hawatukani au hawafanyi ugomvi ?
Hauoni kuwa ametoa Elimu Waislamu wafanye majadiliano kistaarabu kama dini inavyotaka na waachane na majadiliano ya kipuuzi ?
Umeongea vizur sana, kwa waislamu kwa kuwa huyu ni MTUME WA MWISHO ambaye amekuja kukamilisha ujumbe wa manabii na mitume iliyopita,ni sahihi kabisa sisi waislamu tuwafikishie ujumbe nyie ndugu zetu katika ubinadamuUmenena vyema.
Ila umesahau moja la muhimu.
Kumshawishi au kumuelimisha mtu hahihitaji ww kuupondea Ukristo kwa kuchambua Biblia.
Ila Inahitaj wewe kuchambua na kuelimisha watu kuhusu Quran zaid.
Kuna watu kibao hawana dini . WameHang hang tu. Saaa inabidi Waijue Quran vizur.
Ila Ukija na hoja ya Kuponda Biblia na Wakristo watakuja na hoja ya kuipondea Quran.
Na ndio shida inaanzia hapa.
Ila in serious note. Ambae anahisi kuwa kuchambua Biblia au Quran kupitia JF kutafanya mtu abadili imani yake .bas ajue anapoteza Muda.
Watu watapata elimu na ufaham wa ambayo walikuwa hawajui awali.
Hayo mengne hayakuhusu na ni Iman ya mtu binafsi.
Mikutano ya Injili sijawah ona hata siku moja wanahangaika na Quran wala kujibizana na Waislam.
Ila sasa mikutano ya Waislam . Hoja mara nying ni Biblia.
Kwan Inawahusu nini?. Inawauma nn kama wakristo wanapotea?.
Kama imepotoshwa ni yao. Ww yanakuhusije?. Kula nguruwe ww inakuuma nini?.
Ni kama unamtukana mtu. Alaf akikutukana . Ww unakimbilia polisi.
Ili kujua kati yangu na yako nani kafeli,ebu soma mada inasemajeHili jukwaa la kila mtu sio waislam tuu, eti hikma, adabu na rehma then wewe umetokea wapi, umefeli
Kwanza umekubali mwenyewe maelezo yako yana sound crazy,na ni kweli yapo hivyo hivyohapana, sijasema kwamba Muslims na Christians wana uhasama, bali mulsims ndiyo tatizo, sijawahi kusikia popote Christians wakibagua Muslims hapa tanzagiza, kwanza ni kawaida Christians kutoa mkono wa amani kila siku ukiangalia viongozi Christians wote upinzani au serikali huwatakia muslims mfungo mwema, wengine huenda mbali hata kufuturisha na kuvaa kanzu kama muslims jambo ambalo kwangu mimi ni kujipendekeza na ninalipinga lkn hiyo ni mada nyingine lkn kwa upande wa muslims ni no go hata wanakatazwa kuwatakia Christians sikukuu njema na hii ni kuanzia madrasa mpaka huko juu kabisa.
hivyo siyo sahihi kusema kuna uhasama baina ya Muslims na Christians bali ni muslims wa tanzagiza ndiyo hawako tayari kuwakulabli wengine na kuwaheshimu wao wanaamini siku moja tanzagiza yoote itakuwa islamic state kama irani na wameshaanza na banking kuzigeuza islamic, bandari wamegawa kwa muslims kuna shehe alisema muslims wamekuja chukuwa bandari yao, resources zetu zote kwenyze tourism wamegawa muslisms, air ports kama kia wakati hizi zote siyo mali za muslims bali zilianzishwa na Christians kwa ajili ya matumizi na manufaa ya wananchi wote regardless of dini.
hivyo ingawaje its sounds crazy lkn suluhisho la kudumu kwa maoni yangu ni kutenganisha ...
Huwa unapenda sana kupiga makelele,maana majadiliano bila hoja jadidifu ni kama kupiga makelele tuWaislam ni jamii ngumu kuishi nayo
Ni watu wasio na elimu
We fikiria dini Yao inalazimisha kila mtu awe muislam, hivi itawezekana kweli kila mtu awe muislam?
Mafundisho Yao ya ugaidi na kulipwa mabikra ahera.
Waislam sio wavumilivu akiona nguruwe wa jirani anataka kumuuwa, hivi wewe muislam nguruwe amekukosea nini? Nguruwe anajua huyu ni muislam nimsogolee ? Nguruwe atajua mipaka ya mashamba?
Elimu ya dini ndio shida tuliyo nayo,watu hawasomi dini lakini anakwambia huniambii kitu kwenye dini,it sounds crazyQur'an huwa iko perfect sana, simple,ila waislam tumetafuta vitu vingine sijui tumevitoa wapi!!
FactElimu ipi unauzungumzia ambayo Waislamu hatuna ?
Wapi Uislamu unalazimisha mtu awe Muislamu haujui katika Uislamu Kuna Sheria ya kuishi na watu wasio Waislamu katika Jamii na inawalinda na kuwapa uhuru ?
Wakati Mayahudi wakiuliwa na Wakristo Ulaya na kupewa Sheria kandamizi kimbilio lao lilikuwa kwa Waislamu na wakakimbilia nchi za Waislamu hili nalo bila shaka haulijui halafu utasema nyinyi mna Elimu wakati hata historia ya ulimwengu na dini yenu hamuijui ?
Mkuu sijui tatizo bange , chuki au kitu gani maana unaelekea kuwa extremist na fanatical Christian kama walivyo wakina Maghayo , jambo lolote kuhusu Uislamu unachukulia negatively hautaki kushughulisha akili yako hata kidogo na ukiletewa hoja za wazi unakimbia au kujibu hovyo . Haya niletee andiko linalosema jilipue ukapewe hizo bikira akhera .
Ni sahihi kabisa ndugu yangu,na kuna aya inasema ukikuta watu wanaongea upuuzi basi usiwe sehemu ya mazungumzo hayo au kuwa nao,binafsi ndio maana nyuzi nyingi sana huwa hata sizifunui,nikiona tu heading inaashiria upuuzi huyo najikataa mapema sanaMtihani mkubwa kwa baadhi ya ndugu zetu kujiingiza kwenye mijadala ya kipuuzi yenye matusi , kebehi , dhihaka , ujinga na mambo mengine kinyume na ustaarabu na kanuni Bora za majadiliano.
Mimi mijadala na watu wa namna hiyo huwa nawapuuza nina jibu tu pale kwenye hoja na mtu akija kwa njia ya kistaarabu ya kutaka kujua na sio dhihaka na wakati mwingine najibu nikiona upotoshaji mkubwa wa wazi tu.
Ndugu zetu wanaona wanafanya jambo zuri la kutetea dini bila kujali misingi ya Uislamu katika jambo hilo , humu zipo ID special kwa ajili ya propaganda na kudhihaki Uislamu watu kama hao ukiwapuuza kwao inawakera zaidi na kukosa nguvu kuliko ukianza kubishana nao .
Kwa jinsi ulivyochangia hii mada ndio maana nikakuuliza umetokea wapi, mbona wengine wasio waislamu tunajadiliana nao hapaHili jukwaa la kila mtu sio waislam tuu, eti hikma, adabu na rehma then wewe umetokea wapi, umefeli
Na akitoka uislam adhabu ni kifo, hiyo ni kulazimisha piaHuwa unapenda sana kupiga makelele,maana majadiliano bila hoja jadidifu ni kama kupiga makelele tu
Lakini pamoja na makelele yako tutaenda sawa,hii hoja ya waislamu kutosoma huwa ndio turufu yenu kubwa sana,ingekuwa huko zamani ingekuwa na mashiko lakini dunia ya leo unaongelea waislamu na elimu? Ebu muwe basi mnatumia hekima na busara mliyojaaliwa na Mungu
Dini ya Uislamu hailazimishi mtu kuingia kwenye uislamu,kwenye mada yangu kuna aya ya qur'an imesema hakuna kulazimisha kwenye dini,mtu anaingia kwenye dini kwa hiari yake mwenyewe,ukiona mtu analazimisha basi msamehe hajui mafundisho ya dini ya uislamu
Uislamu haufundishi ugaidi ila kuna watu ni magaidi by nature,ukibisha juu ya hili,naweza kukuomba uniletee risiti toka kwenye qur'an inayoonyesha uislamu unafundisha ugaidi,kitu ambacho huwezi kukipata
Upo sahihi kabisa uwepo wangu wa jf kwa miaka Sita [6] nimeyashuhudia hayo unayosema,wapo kimkakati zaidi,na kuna nyakati wanafufuliza sana,na kitambo fulani wanapoaShk ukifatilia maudhui ya mada za kuikashifu Kuran na Uislam humu JF utagundua nyingi sio random. Zina chanzo kimoja. Quality na uwakilishaji unafanana. Kwamba Zina Uratibu. Wanaozileta humu ni vipaaza sauti tuu. Mabosi wapo kusoma kinachojiri. Kilicho sawa baina yetu na wasiokuwa sisi ni heshima juu ya mitume na vitabu vyetu. Ushauri wangu ni kuwa TUZIPUUZE
Nimekuja kujibu comment hii kwa hoja moja tu nayo ni kuwa watu wameuliwa hapa tz halafu waislamu wanatetea amani mimi nikiwa mmoja waoNimekwambia uislam ni dini ya siasa Kali za udikteta na ugaidi
Ulimwengu ulishashtuka na kujua Nia uislam ni zaidi ya dini Bali ugaidi na siasa za ukandamizaji
Alshabab ni waislam
Boko Haram ni waislam
Al Qaeda ni waislam
ISIS ni waislam
Magaidi Msumbiji ni waislam
Ona Leo watu wameuliwa hao Waislam wapumbavu wamelichukulia kama suala la kidini wakati hata Waislam wenzao wamekufa akina Shehe majini.
Watu tunaunganisha nguvu kukemea serikali kuwajibika , ila jamii ya waislam walio wajinga wao wanatetea wauaji Kwa kuhongwa ubwabwa, tende na mazulia
Unalaumu waandamanaji badala ya waliowaua halafu unajifanya unatetea amani, endelea kutetea wizi wa kura, ukandamizaji na udini, mtu wa hovyo 👎Nimekuja kujibu comment hii kwa hoja moja tu nayo ni kuwa watu wameuliwa hapa tz halafu waislamu wanatetea amani mimi nikiwa mmoja wao
iko hivi,uislamu unakemea jambo ambalo linaleta madhara mengi kwa binadamu,mfano mzur ni wa 29 Oct je fujo zile hazikuleta madhara makuwa,je nini kimebadilika mpaka sasa?
Tumepoteza vijana wetu for nothing
Haya tuyaache naona sasa huu uzi utakuwa wa siasaUnalaumu waandamanaji badala ya waliowaua halafu unajifanya unatetea amani, endelea kutetea wizi wa kura, ukandamizaji na udini, mtu wa hovyo 👎
Kuongelea sio shida ila kuongelea katika namna inayofaa.Umeongea vizur sana, kwa waislamu kwa kuwa huyu ni MTUME WA MWISHO ambaye amekuja kukamilisha ujumbe wa manabii na mitume iliyopita,ni sahihi kabisa sisi waislamu tuwafikishie ujumbe nyie ndugu zetu katika ubinadamu
Sasa ni juu yako kuukubali ujumbe huu au kuukataa,kwasababu mwisho wa siku mtakuja kuulizwa,je hakuwajia Mtume na aya zangu kuwaambia juu ya kuniabudu mimi MUNGU MMOJA?
Sasa hapo hakutakuwa na kumlaumu mtu isipokuwa nafsi yako mwenyewe
Kuhusu waislamu kutumia vitabu vya kikristo au biblia,kwanza tambua kwamba imani ya kiislamu inatambua manabii wote na vitabu vyote ni vya MWENNYEZI MUNGU,kwahiyo biblia au torati au zabur ambayo maandiko yake hayaja chakachuliwa basi sisi kama waislamu tunaviamini hivyo vitabu vinatoka kwa Allah
Kwahiyo usituwekee mipaka katika vitabu vya Allah,ila kwasasa tunatakiwa tuifuate Qur'an walimwengu wote kama kitabu cha mwisho kilichokuja kutamatisha ujumbe wa Allah
Hili ni kundi maalum linalotarajia kuwa kelele zao zitadumaza uislamu. Lina uratibu. Kikawaida vijana ASILIA wa dini hiyo siyo wenye lengo baya na uislamu. Hili ni kundi lenye nia ovu na linatumia vibaya umri wao. Yeyote mwenye uelewa anafahamu kuwa hujuma dhidi ya uislamu ziliishia kuzaa matunda kinyume chake. Anzia na kina Ghenghis Khan ambao baada ya kuuwa empire za kiislamu wajukuu zake waliishia kusilimu na kuuneza uislamu kuliko ilivyokuwa. Angalia Mabomu ya Ghaza yalivyoishia kuupaisha Uislamu. Kampeni za Afghanistan ziliishia wanajeshi wengi wa kizungu kuslimu. Hii haina maana kuwa waislamu ni perfect. M/Mungu kaahidi tuu kuulinda uislamu siyo waislamu. Mi nashauri hii mitego ya hiki kikundi tuipuuze. Haina cha maana katika dini tukufu.Upo sahihi kabisa uwepo wangu wa jf kwa miaka Sita [6] nimeyashuhudia hayo unayosema,wapo kimkakati zaidi,na kuna nyakati wanafufuliza sana,na kitambo fulani wanapoa
Ndo maana huwa nasema hii dini ni makatili na magaidiNimekuja kujibu comment hii kwa hoja moja tu nayo ni kuwa watu wameuliwa hapa tz halafu waislamu wanatetea amani mimi nikiwa mmoja wao
iko hivi,uislamu unakemea jambo ambalo linaleta madhara mengi kwa binadamu,mfano mzur ni wa 29 Oct je fujo zile hazikuleta madhara makuwa,je nini kimebadilika mpaka sasa?
Tumepoteza vijana wetu for nothing