Mbona una mihemko au akili ndogo ?Unaongea kama umekatwa kichwa, ni nani ambaye huwa anaita wenzake makafiri na kukata vichwa vya wasiotaka kusilimu huko Iran kama siyo mashekhe ubwabwa.
Elimu ipi unauzungumzia ambayo Waislamu hatuna ?Waislam ni jamii ngumu kuishi nayo
Ni watu wasio na elimu
We fikiria dini Yao inalazimisha kila mtu awe muislam, hivi itawezekana kweli kila mtu awe muislam?
Mafundisho Yao ya ugaidi na kulipwa mabikra ahera.
Waislam sio wavumilivu akiona nguruwe wa jirani anataka kumuuwa, hivi wewe muislam nguruwe amekukosea nini? Nguruwe anajua huyu ni muislam nimsogolee ? Nguruwe atajua mipaka ya mashamba?
Kwa nini unatumia tabia ya jirani yako mmoja kuhukumu Uislamu wapi Uislamu unasema tumuue Nguruwe kama ingekuwa kheri si Waislamu tungeacha kazi zetu na kuingia porini kusaka Nguruwe ?Waislam ni jamii ngumu kuishi nayo
Ni watu wasio na elimu
We fikiria dini Yao inalazimisha kila mtu awe muislam, hivi itawezekana kweli kila mtu awe muislam?
Mafundisho Yao ya ugaidi na kulipwa mabikra ahera.
Waislam sio wavumilivu akiona nguruwe wa jirani anataka kumuuwa, hivi wewe muislam nguruwe amekukosea nini? Nguruwe anajua huyu ni muislam nimsogolee ? Nguruwe atajua mipaka ya mashamba?
Mtihani mkubwa kwa baadhi ya ndugu zetu kujiingiza kwenye mijadala ya kipuuzi yenye matusi , kebehi , dhihaka , ujinga na mambo mengine kinyume na ustaarabu na kanuni Bora za majadiliano.My people,
NAMNA YA KUFANYA MAJADILIANO YA KIDINI NA WASIO WAKUWA WAISLAMU KATIKA UISLAMU
Uislamu ni dini ya hikma, adabu na rehema. Unapozungumzia dini na watu wasiokuwa Waislamu, Uislamu hauhimizi mabishano ya jazba, bali majadiliano yenye hekima, heshima na lengo la kufikisha ukweli kwa upole.
Mazungumzo ya kidini ni kama daraja, si ukuta; yanapaswa kuunganisha mioyo kabla ya kushindana hoja
1. Kuitana kwa Hikima na Maneno Mazuri
Allah anasema:
“Lingania katika njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mema, na jadiliana nao kwa namna iliyo bora.” (Qur’an 16:125)
Hii inaonyesha kuwa msingi wa majadiliano ni hekima, si kejeli; ni busara, si dharau. Muislamu anatakiwa azungumze kwa lugha inayofungua akili na kutuliza moyo
2. Kuepuka Matusi na Dhihaka
Allah anatuonya:
“Wala msivuke mipaka kwa kuwatusi wale wanaoabudiwa badala ya Allah, wasije wakamtukana Allah kwa uadui bila elimu.” (Qur’an 6:108)
Hii ni kanuni ya dhahabu ya mazungumzo: heshima hulinda heshima. Uislamu haujengi hoja juu ya kubeza wengine, bali juu ya ukweli na adabu
3. Kuzungumza kwa Ukweli na Uadilifu
Majadiliano ya kidini si mashindano ya maneno, bali ni juhudi ya kutafuta haki. Allah anasema:
“Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa haki kwa ajili ya Allah.” (Qur’an 4:135)
Muislamu anatakiwa awe mkweli, hata kama ukweli hauko upande wake wa hoja binafsi. Ukweli una nuru yake, hauhitaji makelele
4. Kusikiliza Kabla ya Kujibu
Mtume ﷺ alikuwa akiwapa watu nafasi ya kueleza mawazo yao kikamilifu kabla ya kuwajibu. Kusikiliza ni kama kufungua mlango wa moyo wa mwenzako, ndipo ujumbe unaweza kupita kwa urahisi
5. Kutokulazimisha Imani
Allah amesema:
“Hakuna kulazimisha katika dini.” (Qur’an 2:256)
Majadiliano ya kidini katika Uislamu hayalengi kumshinda mtu, bali kumuelewesha. Imani ya kweli hustawi kwa hiari, si kwa shinikizo
6. Kujenga Misingi ya Pamoja
Uislamu unahimiza kuanzia kwenye mambo ya pamoja. Allah anasema:
“Njooni kwenye neno la sawa kati yetu na ninyi…” (Qur’an 3:64)
Hii ni mbinu ya busara: kuanzia kwenye makubaliano kunafanya mazungumzo yaende kwa utulivu na heshima
7. Lengo: Kuleta Uongofu, Sio Ushindi
Mtume ﷺ alisema:
“Kwa Allah, kama mtu mmoja ataongoka kupitia wewe, ni bora kuliko mali ya dunia.” (Bukhari & Muslim)
Hivyo, lengo la majadiliano si kushinda mabishano, bali kusaidia mtu apate mwanga wa ukweli
Kwa mujibu wa Uislamu, majadiliano ya kidini na wasiokuwa Waislamu yanapaswa kuwa:
Kwa hekima
Kwa heshima
Kwa subira
Bila matusi
Bila kulazimisha
Ni kama kupanda mbegu kwenye ardhi ya moyo, kwa upole na matumaini, ukimuachia Allah matokeo
Ni hayo tu!
My people,

Nimekwambia uislam ni dini ya siasa Kali za udikteta na ugaidiMtihani mkubwa kwa baadhi ya ndugu zetu kujiingiza kwenye mijadala ya kipuuzi yenye matusi , kebehi , dhihaka , ujinga na mambo mengine kinyume na ustaarabu na kanuni Bora za majadiliano.
Mimi mijadala na watu wa namna hiyo huwa nawapuuza nina jibu tu pale kwenye hoja na mtu akija kwa njia ya kistaarabu ya kutaka kujua na sio dhihaka na wakati mwingine najibu nikiona upotoshaji mkubwa wa wazi tu.
Ndugu zetu wanaona wanafanya jambo zuri la kutetea dini bila kujali misingi ya Uislamu katika jambo hilo , humu zipo ID special kwa ajili ya propaganda na kudhihaki Uislamu watu kama hao ukiwapuuza kwao inawakera zaidi na kukosa nguvu kuliko ukianza kubishana nao .
Una vituko sana Kijakazihapana, sijasema kwamba Muslims na Christians wana uhasama, bali mulsims ndiyo tatizo, sijawahi kusikia popote Christians wakibagua Muslims hapa tanzagiza, kwanza ni kawaida Christians kutoa mkono wa amani kila siku ukiangalia viongozi Christians wote upinzani au serikali huwatakia muslims mfungo mwema, wengine huenda mbali hata kufuturisha na kuvaa kanzu kama muslims jambo ambalo kwangu mimi ni kujipendekeza na ninalipinga lkn hiyo ni mada nyingine lkn kwa upande wa muslims ni no go hata wanakatazwa kuwatakia Christians sikukuu njema na hii ni kuanzia madrasa mpaka huko juu kabisa.
hivyo siyo sahihi kusema kuna uhasama baina ya Muslims na Christians bali ni muslims wa tanzagiza ndiyo hawako tayari kuwakulabli wengine na kuwaheshimu wao wanaamini siku moja tanzagiza yoote itakuwa islamic state kama irani na wameshaanza na banking kuzigeuza islamic, bandari wamegawa kwa muslims kuna shehe alisema muslims wamekuja chukuwa bandari yao, resources zetu zote kwenyze tourism wamegawa muslisms, air ports kama kia wakati hizi zote siyo mali za muslims bali zilianzishwa na Christians kwa ajili ya matumizi na manufaa ya wananchi wote regardless of dini.
hivyo ingawaje its sounds crazy lkn suluhisho la kudumu kwa maoni yangu ni kutenganisha ...
Wakati mwengine uwe unaficha ujinga wako.Nimekwambia uislam ni dini ya siasa Kali za udikteta na ugaidi
Ulimwengu ulishashtuka na kujua Nia uislam ni zaidi ya dini Bali ugaidi na siasa za ukandamizaji
Alshabab ni waislam
Boko Haram ni waislam
Al Qaeda ni waislam
ISIS ni waislam
Magaidi Msumbiji ni waislam
Ona Leo watu wameuliwa hao Waislam wapumbavu wamelichukulia kama suala la kidini wakati hata Waislam wenzao wamekufa akina Shehe majini.
Watu tunaunganisha nguvu kukemea serikali kuwajibika , ila jamii ya waislam walio wajinga wao wanatetea wauaji Kwa kuhongwa ubwabwa, tende na mazulia
Pole sheheWakati mwengine uwe unaficha ujinga wako.
Hapa tupo makafiri wengi sana. Ukitaka nduguzo SI mnakutanaga huko masjid ?Naongea na ndugu zangu waislamu,sijui wewe umetokea wapi?
HakikaHakuna baya alilolinena mleta mada.
Na ushauri mwingine ni kwamba waislam ni vema wakaacha kuiongelea Biblia, ambayo haiwahusu. Watumie muda wao kuiongelea Quran, ndiyo kitabu chao. Wajue kuwa hakuna muislam anayeijua biblia vizuri zaidi ya mkristo mwenyewe. Waislam kujifanya wanaweza kuwafundisha wakristo kuhusu Biblia, ni kupoteza muda wao, na kufungua ukurasa wa quran yao kushambuliwa na wasioiamini.
Siku zote dini huenezwa kwa ushawishi wa mema na siyo chuki. Ushawishi kwa njia ya wema ndio uliowafanya waislam kubadilika na kuwa wakristo. Wapo waislam walienda shule za kanisa, wakasoma bila kubaguliwa, wakatendewa hata ambayo hawakuyatarajia, baadhi mpaka kupewa scholarships kwenda kusoma nje, wakigharimiwa na Kanisa. Kwa hiari yao, baada ya kuushuhudia upendo wa kweli, waliamua kuwa wakristo, na wengine walienda mbali zaidi na kufanikiwa kuwa mapadre, hata kuwa maaskofu. Mfano mmojawapo ni aliyekuwa Askofu Mkuu Mario Abdallah Mgulunde.
NB: Una nafasi nzuri sana ya kumshawishi mtu kwa kumwonesha upendo, kuliko chuki.
HIvi Taqqiya ni nini vile?My people,
NAMNA YA KUFANYA MAJADILIANO YA KIDINI NA WASIO WAKUWA WAISLAMU KATIKA UISLAMU
Uislamu ni dini ya hikma, adabu na rehema. Unapozungumzia dini na watu wasiokuwa Waislamu, Uislamu hauhimizi mabishano ya jazba, bali majadiliano yenye hekima, heshima na lengo la kufikisha ukweli kwa upole.
Mazungumzo ya kidini ni kama daraja, si ukuta; yanapaswa kuunganisha mioyo kabla ya kushindana hoja
1. Kuitana kwa Hikima na Maneno Mazuri
Allah anasema:
“Lingania katika njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mema, na jadiliana nao kwa namna iliyo bora.” (Qur’an 16:125)
Hii inaonyesha kuwa msingi wa majadiliano ni hekima, si kejeli; ni busara, si dharau. Muislamu anatakiwa azungumze kwa lugha inayofungua akili na kutuliza moyo
2. Kuepuka Matusi na Dhihaka
Allah anatuonya:
“Wala msivuke mipaka kwa kuwatusi wale wanaoabudiwa badala ya Allah, wasije wakamtukana Allah kwa uadui bila elimu.” (Qur’an 6:108)
Hii ni kanuni ya dhahabu ya mazungumzo: heshima hulinda heshima. Uislamu haujengi hoja juu ya kubeza wengine, bali juu ya ukweli na adabu
3. Kuzungumza kwa Ukweli na Uadilifu
Majadiliano ya kidini si mashindano ya maneno, bali ni juhudi ya kutafuta haki. Allah anasema:
“Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa haki kwa ajili ya Allah.” (Qur’an 4:135)
Muislamu anatakiwa awe mkweli, hata kama ukweli hauko upande wake wa hoja binafsi. Ukweli una nuru yake, hauhitaji makelele
4. Kusikiliza Kabla ya Kujibu
Mtume ﷺ alikuwa akiwapa watu nafasi ya kueleza mawazo yao kikamilifu kabla ya kuwajibu. Kusikiliza ni kama kufungua mlango wa moyo wa mwenzako, ndipo ujumbe unaweza kupita kwa urahisi
5. Kutokulazimisha Imani
Allah amesema:
“Hakuna kulazimisha katika dini.” (Qur’an 2:256)
Majadiliano ya kidini katika Uislamu hayalengi kumshinda mtu, bali kumuelewesha. Imani ya kweli hustawi kwa hiari, si kwa shinikizo
6. Kujenga Misingi ya Pamoja
Uislamu unahimiza kuanzia kwenye mambo ya pamoja. Allah anasema:
“Njooni kwenye neno la sawa kati yetu na ninyi…” (Qur’an 3:64)
Hii ni mbinu ya busara: kuanzia kwenye makubaliano kunafanya mazungumzo yaende kwa utulivu na heshima
7. Lengo: Kuleta Uongofu, Sio Ushindi
Mtume ﷺ alisema:
“Kwa Allah, kama mtu mmoja ataongoka kupitia wewe, ni bora kuliko mali ya dunia.” (Bukhari & Muslim)
Hivyo, lengo la majadiliano si kushinda mabishano, bali kusaidia mtu apate mwanga wa ukweli
Kwa mujibu wa Uislamu, majadiliano ya kidini na wasiokuwa Waislamu yanapaswa kuwa:
Kwa hekima
Kwa heshima
Kwa subira
Bila matusi
Bila kulazimisha
Ni kama kupanda mbegu kwenye ardhi ya moyo, kwa upole na matumaini, ukimuachia Allah matokeo
Ni hayo tu!
Shida nimajority ya waislam hata uislamu hawaujui ndii mana wengi ni debe tupu,na matusi juu na kukata vichwa ndii kitu wanachoweza.Niwaonye sana ndugu zangu waislamu,tufuate muongozo wa dini yetu kama mada ilivyojieleza hapo juu,kinyume chake utajichumia madhambi bure,utajiona unaitetea dini kumbe unafanya mambo bila elimu na kupata dhambi
Uislamu ni dini ya maarifa na elimu,huwezi kujadili kwa kufuata muongozo wa uislamu basi kaa kimya utakuwa salama
Huenda huku yajua haya,leo umejua utaulizwa kwa kukengeuka kwako na kufanya upuuzi angali umeujua ukweli
Asante
Msaafu una Aya inasema " Wao Wana dini Yao na sisi tuna dini yetu" mlimwelewe vizuri bwana madevu alichokiandika hapa? Lakini walioletewa na majahazi Sasa Wana vikundi kabisa Wanaojiita DAWA sijui ni za hospitali au miti shamba au wengine wanaojiita MNAKASHA kucha kutwa kukariri vifungu vya biblia kuukashfu ukristu.My people,
NAMNA YA KUFANYA MAJADILIANO YA KIDINI NA WASIO WAKUWA WAISLAMU KATIKA UISLAMU
Uislamu ni dini ya hikma, adabu na rehema. Unapozungumzia dini na watu wasiokuwa Waislamu, Uislamu hauhimizi mabishano ya jazba, bali majadiliano yenye hekima, heshima na lengo la kufikisha ukweli kwa upole.
Mazungumzo ya kidini ni kama daraja, si ukuta; yanapaswa kuunganisha mioyo kabla ya kushindana hoja
1. Kuitana kwa Hikima na Maneno Mazuri
Allah anasema:
“Lingania katika njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mema, na jadiliana nao kwa namna iliyo bora.” (Qur’an 16:125)
Hii inaonyesha kuwa msingi wa majadiliano ni hekima, si kejeli; ni busara, si dharau. Muislamu anatakiwa azungumze kwa lugha inayofungua akili na kutuliza moyo
2. Kuepuka Matusi na Dhihaka
Allah anatuonya:
“Wala msivuke mipaka kwa kuwatusi wale wanaoabudiwa badala ya Allah, wasije wakamtukana Allah kwa uadui bila elimu.” (Qur’an 6:108)
Hii ni kanuni ya dhahabu ya mazungumzo: heshima hulinda heshima. Uislamu haujengi hoja juu ya kubeza wengine, bali juu ya ukweli na adabu
3. Kuzungumza kwa Ukweli na Uadilifu
Majadiliano ya kidini si mashindano ya maneno, bali ni juhudi ya kutafuta haki. Allah anasema:
“Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa haki kwa ajili ya Allah.” (Qur’an 4:135)
Muislamu anatakiwa awe mkweli, hata kama ukweli hauko upande wake wa hoja binafsi. Ukweli una nuru yake, hauhitaji makelele
4. Kusikiliza Kabla ya Kujibu
Mtume ﷺ alikuwa akiwapa watu nafasi ya kueleza mawazo yao kikamilifu kabla ya kuwajibu. Kusikiliza ni kama kufungua mlango wa moyo wa mwenzako, ndipo ujumbe unaweza kupita kwa urahisi
5. Kutokulazimisha Imani
Allah amesema:
“Hakuna kulazimisha katika dini.” (Qur’an 2:256)
Majadiliano ya kidini katika Uislamu hayalengi kumshinda mtu, bali kumuelewesha. Imani ya kweli hustawi kwa hiari, si kwa shinikizo
6. Kujenga Misingi ya Pamoja
Uislamu unahimiza kuanzia kwenye mambo ya pamoja. Allah anasema:
“Njooni kwenye neno la sawa kati yetu na ninyi…” (Qur’an 3:64)
Hii ni mbinu ya busara: kuanzia kwenye makubaliano kunafanya mazungumzo yaende kwa utulivu na heshima
7. Lengo: Kuleta Uongofu, Sio Ushindi
Mtume ﷺ alisema:
“Kwa Allah, kama mtu mmoja ataongoka kupitia wewe, ni bora kuliko mali ya dunia.” (Bukhari & Muslim)
Hivyo, lengo la majadiliano si kushinda mabishano, bali kusaidia mtu apate mwanga wa ukweli
Kwa mujibu wa Uislamu, majadiliano ya kidini na wasiokuwa Waislamu yanapaswa kuwa:
Kwa hekima
Kwa heshima
Kwa subira
Bila matusi
Bila kulazimisha
Ni kama kupanda mbegu kwenye ardhi ya moyo, kwa upole na matumaini, ukimuachia Allah matokeo
Ni hayo tu!
Quran ilishuka kwa matukio maalumu kwa baadhi ya ayaMsaafu una Aya inasema " Wao Wana dini Yao na sisi tuna dini yetu" mlimwelewe vizuri bwana madevu alichokiandika hapa? Lakini walioletewa na majahazi Sasa Wana vikundi kabisa Wanaojiita DAWA sijui ni za hospitali au miti shamba au wengine wanaojiita MNAKASHA kucha kutwa kukariri vifungu vya biblia kuukashfu ukristu.]Kwa kila aya ya Qur'an iliyoshuka ilikuwa na makusudio maalumu au kutupa ujumbe maalumu,kuna baadhi ya aya zilishuka kwa matukio maalumu[/SIZE][/FONT]
Mfano wa aya hizo au sura hiyo ni hiyo uliyotoa mfano wake hapo,kuna tukio ambalo mpaka likapelekea kushuka kwa aya hizoMtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake,alipokuwa anawafikishia watu ujumbe wa ALLAH wa kumuabudu Mungu mmoja, makafiri wa Makka na Washirikina walimpa sharti Mtume kwamba,akitaka wao waukubali Uislamu basi,mwaka fulani wamuabudu Allah na mwaka fulani waabudu miungu yao ya kishirikinaHapo ndipo Mtume akashushiwa aya hizo kwamba wao wanacho wanachokiabudu na sisi tunaye tunayemuabudu,ni kama vile tunawaambiwa wao wabaki na imani na sisi zetu,lakini kamwe hatuwezi kuabudu miungu yao.UIslamu ni dini ambayo imekuja kuwataka watu wamuabudu Mungu mmoja tu wa ukweli na kupinga vitendo vyote vya kishirikina kama kuabudu masanamu na kuabudu viumbeKwahiyo kulingania watu kwenye dini hii ya haki ni wajibu wetu kama waislamu,lakini je tuwalingania vipi watu kwenda kwenye Uislamu,ndio mada ilijikita hapoJukumu la muislamu ni kuisema haki au kufikisha ujumbe wa ALLAH, kisha muonngozaji ni Allah mwenyewe,sisi hatutaulizwa kwanini fulani na fulani mliwafikishia ujumbe wa uislamu lakini hawakuukubali uislamu?Hiyo ni milki ya Allah,kwani moja wapo la jina lake ni JABBARI ikimaanisha yeye ndio mwenye kuzibadilisha nyoyo za watu au kuziongoza kwenye kuamini jambo fulaniAsanteKusiko julikana!Naongea na ndugu zangu waislamu,sijui wewe umetokea wapi?