Namna ya Waislamu kufanya mijadala ya kidini na wasio kuwa Waislamu

Mkuu! Nilipita na mwendokasi kwahiyo kama nimeharibu tusameheane.
 
Umeongea vizur sana, kwa waislamu kwa kuwa huyu ni MTUME WA MWISHO ambaye amekuja kukamilisha ujumbe wa manabii na mitume iliyopita,ni sahihi kabisa sisi waislamu tuwafikishie ujumbe nyie ndugu zetu katika ubinadamu

Sasa ni juu yako kuukubali ujumbe huu au kuukataa,kwasababu mwisho wa siku mtakuja kuulizwa,je hakuwajia Mtume na aya zangu kuwaambia juu ya kuniabudu mimi MUNGU MMOJA?

Sasa hapo hakutakuwa na kumlaumu mtu isipokuwa nafsi yako mwenyewe

Kuhusu waislamu kutumia vitabu vya kikristo au biblia,kwanza tambua kwamba imani ya kiislamu inatambua manabii wote na vitabu vyote ni vya MWENNYEZI MUNGU,kwahiyo biblia au torati au zabur ambayo maandiko yake hayaja chakachuliwa basi sisi kama waislamu tunaviamini hivyo vitabu vinatoka kwa Allah

Kwahiyo usituwekee mipaka katika vitabu vya Allah,ila kwasasa tunatakiwa tuifuate Qur'an walimwengu wote kama kitabu cha mwisho kilichokuja kutamatisha ujumbe wa Allah
 
Kwanza umekubali mwenyewe maelezo yako yana sound crazy,na ni kweli yapo hivyo hivyo

Kuhusu sijui waislamu hawawatakii wasio waislamu sikukuu njema ya krismas ni sahihi kwa imani yetu,unajua kwa nini?

Uislamu unaamini juu ya kuwepo Allah ambaye hajazaa wala kuzaliwa,hana mwanzo wala mwisho,sasa wasio waislamu wanaamini Mungu Yesu kazaliwa tar 25 dec,je hapo waislamu wakipinga kwa mujibu wa imani yao ni shida?

Waislamu hawana mpango wa kuifanya Tanzania kuwa dola ya kiislamu,je nyie mtakubali na kuacha iwe hivyo?

Sijui mara waislamu wanachukua resources zao na bla bla kibao it's crazy

Asante
 
Huwa unapenda sana kupiga makelele,maana majadiliano bila hoja jadidifu ni kama kupiga makelele tu

Lakini pamoja na makelele yako tutaenda sawa,hii hoja ya waislamu kutosoma huwa ndio turufu yenu kubwa sana,ingekuwa huko zamani ingekuwa na mashiko lakini dunia ya leo unaongelea waislamu na elimu? Ebu muwe basi mnatumia hekima na busara mliyojaaliwa na Mungu

Dini ya Uislamu hailazimishi mtu kuingia kwenye uislamu,kwenye mada yangu kuna aya ya qur'an imesema hakuna kulazimisha kwenye dini,mtu anaingia kwenye dini kwa hiari yake mwenyewe,ukiona mtu analazimisha basi msamehe hajui mafundisho ya dini ya uislamu


Uislamu haufundishi ugaidi ila kuna watu ni magaidi by nature,ukibisha juu ya hili,naweza kukuomba uniletee risiti toka kwenye qur'an inayoonyesha uislamu unafundisha ugaidi,kitu ambacho huwezi kukipata
 
Fact
 
Ni sahihi kabisa ndugu yangu,na kuna aya inasema ukikuta watu wanaongea upuuzi basi usiwe sehemu ya mazungumzo hayo au kuwa nao,binafsi ndio maana nyuzi nyingi sana huwa hata sizifunui,nikiona tu heading inaashiria upuuzi huyo najikataa mapema sana

Kuna haja kubwa ya waislamu kujitambua na kujua ni nyuzi zipi za kuchangia na zipi za kupuuzia,lakini tusipokuwa makini tutajikuta tunamtukanisha ALLAH kama aya ilivyoeleza hapo juu,na sisi wenyewe kuingia kwenye dhambi

Allah atufahamishe inshallah
 
Hili jukwaa la kila mtu sio waislam tuu, eti hikma, adabu na rehma then wewe umetokea wapi, umefeli
Kwa jinsi ulivyochangia hii mada ndio maana nikakuuliza umetokea wapi, mbona wengine wasio waislamu tunajadiliana nao hapa
 
Na akitoka uislam adhabu ni kifo, hiyo ni kulazimisha pia
 
Upo sahihi kabisa uwepo wangu wa jf kwa miaka Sita [6] nimeyashuhudia hayo unayosema,wapo kimkakati zaidi,na kuna nyakati wanafufuliza sana,na kitambo fulani wanapoa
 
Nimekuja kujibu comment hii kwa hoja moja tu nayo ni kuwa watu wameuliwa hapa tz halafu waislamu wanatetea amani mimi nikiwa mmoja wao

iko hivi,uislamu unakemea jambo ambalo linaleta madhara mengi kwa binadamu,mfano mzur ni wa 29 Oct je fujo zile hazikuleta madhara makubwa,je nini kimebadilika mpaka sasa?

Tumepoteza vijana wetu for nothing
 
Unalaumu waandamanaji badala ya waliowaua halafu unajifanya unatetea amani, endelea kutetea wizi wa kura, ukandamizaji na udini, mtu wa hovyo 👎
 
Ni hivi, hawa mashoga wala hawahitaji kuongeleshwa vizuri,
Tunawapokea kama wanavyokuja,
Na usitudanganye kuwa una rafiki mkristo, hii huwa haipo labda kama unaishiishi kuganganga maisha.
Lakini kama umesoma na kazi yako nzuri au biashara kubwa ni naturally na automatic huwezi kuwa na marafiki wa kikristo zaidi ya kufanya nao biashara.

Mimi nimesoma nao chuo ilikuwa tu waluwalu, hakuna kujuana kwa sana, ila nina rafiki wawili waislamu wakati tuko chuoni na wote wanashughuli zao ndio tunaukaribu kama kualikana siku eid kwa zamu kifamilia na nimefatilia hata wao hawana rafiki wa kikristo zaidi kujua wale wanaohusika nao kikazi na hakunauhusiano nje ya kazi.

Ukiwa shule ya msingi, huwa bado innocent na utoto, lakini kadri maisha yavyosinga unakuja kujua haitowezekana na kuwa na ukaribu na hawa mbung'o

Huu ndio ukweli wenyewe.
Na mijadala na hizi kenge za humu kwanza asilimia 90 ni vilaza, hawana elimu ndio maana wameangukia kwenye ulokole, ni kupaka mbovu tu hizi kenge.
 
Kuongelea sio shida ila kuongelea katika namna inayofaa.

Kuna namna nyingi za kumwambia mtu ni mjinga bila kuumiza hisia zake ama lah kwa kumuelimisha zaidi.

Tatizo ni kashfa, dhihaka na dharau.
 
Upo sahihi kabisa uwepo wangu wa jf kwa miaka Sita [6] nimeyashuhudia hayo unayosema,wapo kimkakati zaidi,na kuna nyakati wanafufuliza sana,na kitambo fulani wanapoa
Hili ni kundi maalum linalotarajia kuwa kelele zao zitadumaza uislamu. Lina uratibu. Kikawaida vijana ASILIA wa dini hiyo siyo wenye lengo baya na uislamu. Hili ni kundi lenye nia ovu na linatumia vibaya umri wao. Yeyote mwenye uelewa anafahamu kuwa hujuma dhidi ya uislamu ziliishia kuzaa matunda kinyume chake. Anzia na kina Ghenghis Khan ambao baada ya kuuwa empire za kiislamu wajukuu zake waliishia kusilimu na kuuneza uislamu kuliko ilivyokuwa. Angalia Mabomu ya Ghaza yalivyoishia kuupaisha Uislamu. Kampeni za Afghanistan ziliishia wanajeshi wengi wa kizungu kuslimu. Hii haina maana kuwa waislamu ni perfect. M/Mungu kaahidi tuu kuulinda uislamu siyo waislamu. Mi nashauri hii mitego ya hiki kikundi tuipuuze. Haina cha maana katika dini tukufu.
 
Ndo maana huwa nasema hii dini ni makatili na magaidi
Eti mnasema uislam ni dini ya haki,
Sasa mnamaanisha haki Gani?
Yaani serikali wameua waandamanaji, wakaua watu wakiwa majumbani hata hawakuandamana, wakafa vijana, wazee, walemavu na watoto
Hayo mauaji yakaacha yatima, wajane, walemavu, na wategemezi wengine
Hao mashehe wenu wakapewa ubwabwa na tende wakaja kutetea wauaji bila kujali haki za hawa wengine.

Hivi Kwa dhamiri yako unaona Samuya alipata kura 98% na voters turn out ilikuwa milion 32?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…