Utanifundisha na mimi + kingereza .πππ
Siku hizi naangalia sana movie zao
Sana.Kwani kuwa shapeless ni dhambi...π€£π€£π€£ ila watu wana akili za kitoto sana humu
Mimi nafuata nyayo zakoπUtanifundisha na mimi + kingereza .
Halafu unakuta mke wake sasa ndyo shapeless still anakuja kuwasema mabinti za watuSana.
Bahati mbaya tunaumbwaπππ.
Isije tu kuwa faiza [emoji1663] mkuu utApoteaa kbsaa yule Ni bib ako full stopKwema wakuu,
Huyu dada ni member wa jamiiforums, namkubali sana nimekuwa nikimtumia ujumbe pm lakini hajibu. Kusema kweli namuelewa sana nataka awe mama watoto ila hataki kujibu pm.
Nishamwambia kama ni suala la pesa asiwaze kabisa.
Nipeni mbinu nifanyaleje wakuu. Nataja jina lake baadae.
Binafsi najua vijana wanachangamsha jukwaa tu wala hakuna uhalisia wa story zao. Jiachieni, mtaani ndio jf.Tatizo wenye akili wachache humu
Na huwezi kumtambua
πππHalafu unakuta mke wake sasa ndyo shapeless still anakuja kuwasema mabinti za watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnaji-commit wenyewe kwamba hela sio shida kwenu alafu mkipata vijambazi mnarudi tena mkiwa mmescreenshot message za vizinga huku mkilalamika, Sasahivi tunawapiga vidole.
Mhh sidhani kama wanachangamsha genge kwa kweli.Binafsi najua vijana wanachangamsha jukwaa tu wala hakuna uhalisia wa story zao. Jiachieni, mtaani ndio jf.
Natamani.Mimi nafuata nyayo zakoπ
Mh sidhaniBinafsi najua vijana wanachangamsha jukwaa tu wala hakuna uhalisia wa story zao. Jiachieni, mtaani ndio jf.
Hana pesa...wenye pesa hawasemagiπππ
Nilimshangaa sana yule kaka, halafu huwa anajisifu ana pesa.
Usijaribu,nitafika kwa mama J na bakora.Siwezi π€£π€£π€£π€£π€£
Mnataka kunisandwichπ€Hahaha,mimi na yeye tunaomba tukuone kwa pamoja,hatuna ubaya na mtu.