Nampataje huyu dada wa JF nipate kumuoa?

Nampataje huyu dada wa JF nipate kumuoa?

Humu kuna walioolewa na wana familia zao, ila hawajawahi kusema humu ooh mume wangu kasema hivi au vingine
Tunaishi humu kwa machale na kila mtu ana maisha yake halisi

Bora kujibu na kuandika comments tu kuliko kufikiria picha
 
Kwema wakuu,
Huyu dada ni member wa jamiiforums, namkubali sana nimekuwa nikimtumia ujumbe pm lakini hajibu. Kusema kweli namuelewa sana nataka awe mama watoto ila hataki kujibu pm.
Nishamwambia kama ni suala la pesa asiwaze kabisa.
Nipeni mbinu nifanyaleje wakuu. Nataja jina lake baadae.
Isije tu kuwa faiza [emoji1663] mkuu utApoteaa kbsaa yule Ni bib ako full stop
 
Back
Top Bottom