Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Muda huu anafanya shopping somewhere atatumia muda mrefu kidogo, akimaliza akitulia atakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina list ya wanaojifanya madem kuja pm kuniomba vocha. Siku nikiamka vibaya ninaoUpo serious na hili?
Shemeji shemeji unazimataaa😂😂😂Kwa huyu nitatoa ng'ombe 100. Na nipo tayari kwenda kujitambulisha kwao. Nipeni mbinu wakuu
Mm sijakuuliza hao, nimekuuliza kuhusu lamomy una hakika na ulichoandika?Nina list ya wanaojifanya madem kuja pm kuniomba vocha. Siku nikiamka vibaya ninao
Picha plsKwa huyu nitatoa ng'ombe 100. Na nipo tayari kwenda kujitambulisha kwao. Nipeni mbinu wakuu
😀😀😀Vijana siku hizi Wana nyege sana.
Pamoja na joto kuwa Kali,ila Kila kukicha wanaanzisha nyuzi za kuwataka wadada wa Jeiefu.
Jua linawaka balaa utasema mbingu ziko waziJoto lote hili nyege mnatoa wapi wajomba 🤣🤣
huyu tumwambie bei ya sukari ni shilingi ngapi saivi au tumwache kwanza?Kwa huyu nitatoa ng'ombe 100. Na nipo tayari kwenda kujitambulisha kwao. Nipeni mbinu wakuu
HAhahCHADEMA CHADEMA PIPOZ PAWAAA.
CHADEMA CHADEMA PIPOZ PAWA.
TANZANIA TANZANIA PIPOZ PAWAA.
TANZANIA TANZANIA PIPOZ PAWAAAA.
JAPO NILIKUWA MTOTO ILA HILI GOMA LILIKUWAGA LINAVAIBU SANA KWENYE MAGARI YA MATANGAZO.
Jibu ulilompa siku ile nilitamani kukuambia sio SawaPlan A ikishindikana si kuna plan B,C,D hadi Z 🤣
Mvua ije tu la sivyo ntayeyukaJua linawaka balaa utasema mbingu ziko wazi