Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Jibu ulilompa siku ile nilitamani kukuambia sio Sawa
Lakini nikupe Hongera ukufanya makosa!!
Asee
Sikumbuki nilimwambiaje...hebu nikaangalie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu ulilompa siku ile nilitamani kukuambia sio Sawa
Lakini nikupe Hongera ukufanya makosa!!
Hta kama wanajianzishia uzi wenyewe mkuu!Wengi wanaoanzisha thread za aina hii,mimi hua nawaona ni wanaume dhaifu sana,bila shaka itakua ni wale wavulana wa Shule bado.
Upwiru umewakaba koo😁😂🤣Wanajiendekeza tu
Mongolian finest 😂😂🤣🤣Hapo ni sawa na kuanzisha vita na Maghayo The Mongolian Savage pamoja na genge lake Ghayos gang.
Hakuna cha nyege wala nini.Vijana siku hizi Wana nyege sana.
Pamoja na joto kuwa Kali,ila Kila kukicha wanaanzisha nyuzi za kuwataka wadada wa Jeiefu.
Unatafuta kupigwa na Country ww.Kwa huyu nitatoa ng'ombe 100. Na nipo tayari kwenda kujitambulisha kwao. Nipeni mbinu wakuu
Ndio, akiwemo yeyeMm sijakuuliza hao, nimekuuliza kuhusu lamomy una hakika na ulichoandika?
We koma lini nilikuomba vocha??Ndio, akiwemo yeye
Una tatizo la akili?Ndio, akiwemo yeye
Nilikuambia humu watu wengi wana matatizo ya akiliWe koma lini nilikuomba vocha??
Hebu weka hapa hiyo msg ya pm nione…
Punguza miwasho, sinaga njaa za hivyo mwenzio…
Kaa kwenye nafasi yako
Bora ulivyomwambia mapema 🤣🤣🤣Hahaha duuh ukimpata njoo unitukane mkuu
Una wivu mahi mpk na id fake?? Nini mbaya sheikh wangu?? Oyaa chama oa mrembo huyu 😂😂😂Angejua kama ni mwanaume mwenzie asingesumbua watu
Ni zaidi ya vichaa 😂😂😂Nilikuambia humu watu wengi wana matatizo ya akili