Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Nina list ya wanaojifanya madem kuja pm kuniomba vocha. Siku nikiamka vibaya ninaoUpo serious na hili?
Shemeji shemeji unazimataaaπππKwa huyu nitatoa ng'ombe 100. Na nipo tayari kwenda kujitambulisha kwao. Nipeni mbinu wakuu
Mm sijakuuliza hao, nimekuuliza kuhusu lamomy una hakika na ulichoandika?Nina list ya wanaojifanya madem kuja pm kuniomba vocha. Siku nikiamka vibaya ninao
Picha plsKwa huyu nitatoa ng'ombe 100. Na nipo tayari kwenda kujitambulisha kwao. Nipeni mbinu wakuu
πππVijana siku hizi Wana nyege sana.
Pamoja na joto kuwa Kali,ila Kila kukicha wanaanzisha nyuzi za kuwataka wadada wa Jeiefu.
Jua linawaka balaa utasema mbingu ziko waziJoto lote hili nyege mnatoa wapi wajomba π€£π€£
huyu tumwambie bei ya sukari ni shilingi ngapi saivi au tumwache kwanza?Kwa huyu nitatoa ng'ombe 100. Na nipo tayari kwenda kujitambulisha kwao. Nipeni mbinu wakuu
HAhahCHADEMA CHADEMA PIPOZ PAWAAA.
CHADEMA CHADEMA PIPOZ PAWA.
TANZANIA TANZANIA PIPOZ PAWAA.
TANZANIA TANZANIA PIPOZ PAWAAAA.
JAPO NILIKUWA MTOTO ILA HILI GOMA LILIKUWAGA LINAVAIBU SANA KWENYE MAGARI YA MATANGAZO.
Jibu ulilompa siku ile nilitamani kukuambia sio SawaPlan A ikishindikana si kuna plan B,C,D hadi Z π€£
Mvua ije tu la sivyo ntayeyukaJua linawaka balaa utasema mbingu ziko wazi