spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Uzi umekua kama selfika kelele tupu haya kunani hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha nazopost ni pombe tu
Mkuu naona huelewi zile ni editingZile za noel ni nani yule? Mnazingua sisi tunakemea upinde nyie mnawasupport [emoji35]
Jack PalladinoTag na wengine hapo...
Siku hio hii picha iliwekwa kama sekunde 15... sekunde 15 alichelewa sana, hakujua kuna CID anamfuatilia...
Tayari extension yangu ili screenshot ikatoa alarm nikafika nikagonga na like, halafu picha ikafutwa...
View attachment 3027762
View attachment 3027763
![]()
Kumbe picha ya ku download Instagram 😂🤣😂🤣😂
View attachment 3027764
Mkuu naona huelewi zile ni editingView attachment 3028360
Mi najaribu kuwaelewesha jinsi wanavyofanya editing, wewe unakomaa kwamba na mimi napost humu. Lini uneona napost hizo editing?Sasa kwanini mnafanya michezo hiyo? Hapo wewe ndio ume-edit. Ile ya kwanza si ina jina lako? Acheni ujinga
Aisee! Nazidi kuamini😂Tuwe wapenzi watazamaji. JF ni kama lile limsitu la Amazon la humu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jack nimeshakutagMi najaribu kuwaelewesha jinsi wanavyofanya editing, wewe unakomaa kwamba na mimi napost humu. Lini uneona napost hizo editing?
OkJack nimeshakutag
Hiyo ni yako, mimi jf nimejiunga Jana tu, hiyo tarehe 14 2023 sikuwepo.View attachment 3028337
Hivi ndio mnavyoedit, stupid kabisa
Sijaona tag, angalia kama umetag vizuriJack nimeshakutag
Mkuu samahan lakini hii edit umeiona leo?Wanaedit wanajua wengi wenu humu hamjui kitu kuhusu editing. Tatizo hawajui wengine sisi ni watu gani, mimi hapa nipo kuhave fun tu wao wanaleta ujinga wao
Kaninyima tu namba huyo😞Sasa wakati zinatunwa jwanini msiseme hizi ni za kuedit hizi sio?
Post #562Sijaona tag, angalia kama umetag vizuri
Mi najaribu kuwaelewesha jinsi wanavyofanya editing, wewe unakomaa kwamba na mimi napost humu. Lini uneona napost hizo editing?
Sio sawa kuchafuana mkuu!Kaninyima tu namba huyo😞
Mkuu heshima yako lakini haya ulipaswa kusema kabla lakini, au hizi edit ndio mnaona Leo tu? Tulikubaliana jf hakuna kueditHii tabia ni chafu! Kwanini wanataka kuharibu huu mtandao?
Humu kunatakiwa tuishi kwa amani sisi wengine jf ndo sehemu yetu ya kutoa upweke
Mimi nilikua sijui kuhusu haya mambo na ndio maana nimemuomba Jack aseme zile za 100 ni editing au sioMkuu heshima yako lakini haya ulipaswa kusema kabla lakini, au hizi edit ndio mnaona Leo tu? Tulikubaliana jf hakuna kuedit