Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #41
🤣🤣🤣asubuhi njema
😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣asubuhi njema
Muulize mama Yako anaetoa matumizi kwenu ni nani, Kisha uje huoji kuhusu uwezo wangu wa kulea familia.Wewe kwako uanaume ni nini?
Kwa sababu kuwa na akili kwa kiwango cha kati ni sehemu ya uanaume ambacho wewe hauna.
Unashindwa kuelewa mambo madogo kama haya sijui hata kama unajua kuitunza hiyo familia kama unayo
Mkuu uko sawa mbele ya imani ya kikristo ila Hebel haja peleka kesi Kanisani, kapeleka mahakamani!Najua huzungumzii ndoa. Nafahamu. Ila bado unapaswa kumhudumia mtoto huyo kama ni mwanaume Mkristo bila msaada wa mwanamke. Upendo kwenye Ukristo ndo sheria kuu na maana yake halisi ni kujitoa without expectations.
Muulize mama Yako anaetoa matumizi kwenu ni nani, Kisha uje huoji kuhusu uwezo wangu wa kulea familia.
Shwaini!!
Mkuu uko sawa mbele ya imani ya kikristo ila Hebel haja peleka kesi Kanisani, kapeleka mahakamani!
Ndo maana nikasema ok.Mkuu uko sawa mbele ya imani ya kikristo ila Hebel haja peleka kesi Kanisani, kapeleka mahakamani!
Mkuu kama hoja yako ina mashiko matusi ya nini???Muulize mama Yako anaetoa matumizi kwenu ni nani, Kisha uje huoji kuhusu uwezo wangu wa kulea familia.
Shwaini!!
Kwenye hoja hii Hebel kasema huyo mwanamke sio mkewe! Ni mzazi mwenzie, mambo ya Paulo yanakaaje hapo???Mt.Paulo alisema Mwanaume ampende mwanamke wake kama Kristo anavolipenda kanisa.
Kristo analihudumia kanisa kwa kumpa mahitaji ya kiroho na kimwili. Hajawahi liacha kanisa.
Hivyohivyo kwa mwanaume Mkristo inabidi ampende mke wake kwa kumhudumia na kutomuacha/kutomsaliti ndo tunaonyesha upendo wa Yesu kwa mwanamke.
Mkuu huo ni umagharibi, kwenye Ukristo hakuna haki sawa, ni mfumo dume kwa kwenda mbele yaani 70/30 period!Lazima uélewe kwenye Ukristo ndio haki sawa ipo.
Bila Ukristo hakuna haki sawa Duniani.
Ndo maana nikasema ok.
Acha haki iamue ila haki ya mwanadamu mara nyingi inaweza leta jawabu lisilo sahihi.
🤣🤣🤣🔊Lazima hii kesi nikushinde alafu hizo pesa utaweka kwenye ile akaunti yangu ya benki
Mkuu huo ni umagharibi, kwenye Ukristo hakuna haki sawa, ni mfumo dume kwa kwenda mbele yaani 70/30 period!
Kwa akili Yako hii si ajabu mama Yako alikukunya katika choo Cha stendi.Watibeli wote tunatoa matumizi. Iwe ni mwanaume au mwanamke.
Kama mama yako alikuwa Tegemezi usidhani Mama wa wenzako wapo kama mama yako
🤝Ndo maana nikasema ok.
Acha haki iamue ila haki ya mwanadamu mara nyingi inaweza leta jawabu lisilo sahihi.
Kuna hoja alisema wameachana.Mkuu kama hoja yako ina mashiko matusi ya nini???
Kwenye hoja hii Hebel kasema huyo mwanamke sio mkewe! Ni mzazi mwenzie, mambo ya Paulo yanakaaje hapo???
🙄🙄🙄Kwa akili Yako hii si ajabu mama Yako alikukunya katika choo Cha stendi.
Na kumbuka don't just make babies and expect a woman's pack, be a wolf in other words be a Father.
Twisted junky!!
To yeye njoo uone kile nilichokuambia.Kwa akili Yako hii si ajabu mama Yako alikukunya katika choo Cha stendi.
Na kumbuka don't just make babies and expect a woman's pack, be a wolf in other words be a Father.
Twisted junky!!
Umeeleweka.Ndio kwenye haki hapo nikakuuliza unafikiri ni kwa nini kwenye chromosome wote mnatoa nusu kwa nusu? Hapo naona umeshindwa kujibu.
Huyo ni mtoto wenu wote. Mnaowajibu na haki sawa mbele yake.
Mkiamua kugawana majukumu hiyo ni juu yenu lakini likiletwa mbele ya sheria na haki. Mtapewa majukumu na wajibu Sawasawa.
Mnaweza mkakaa mkaamua, hayo majukumu mnafanyajefanyaje kuyatimiza kwa kuangalia uwezo wa kila mmoja. Lakini kuhakikisha na kisheria wote mnahaki sawa
🤣🤣🤣🔭Jipeleke kny mdomo wa mamba
Haijalishi ni mke au hawara as long as ni damu Yako you have to take full responsibility.Mkuu kama hoja yako ina mashiko matusi ya nini???
Kwenye hoja hii Hebel kasema huyo mwanamke sio mkewe! Ni mzazi mwenzie, mambo ya Paulo yanakaaje hapo???