Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #61
Jipeleke kny mdomo wa mamba
Ninauzoefu na hizi kesi Mkúu.
Ukiwa na tatizo la namna hii niite nikusaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipeleke kny mdomo wa mamba
Hahahaa kwa hiyo kuna Watu duniani hawana Tija?Itapunguza kuzaa bila mpango na itadhibiti idadi kubwa ya Watu wasio na tija.
Wanawake wengi wanaozaa watoto wengi ni kwa sababu hawawajibiki kuwatunza na kuwahudumia. Ni aidha wawapelekee Mama na baba zao(Bibi na babu). Au watakuwa wanasumbua wanaume waliozaa nao wawahudumie .
Mwanamke anayehudumia watoto wake ni ngumu kuzaa idadi ya watoto wengi asioweza kuwalea.
Hii itafanya watoto watakaozaliwa wawe na tija.
Sijui kama umeelewa Hoja za RobertHaijalishi ni mke au hawara as long as ni damu Yako you have to take full responsibility.
Narudia tena don't just make babies and expect a helping hand from a woman, be a Father.
Nyie madogo kizazi hiki mnapenda mideko sana.
Hopeless kabisa.
Haijalishi ni mke au hawara as long as ni damu Yako you have to take full responsibility.
Narudia tena don't just make babies and expect a helping hand from a woman, be a Father.
Nyie madogo kizazi hiki mnapenda mideko sana.
Hopeless kabisa.
Hahahaa kwa hiyo kuna Watu duniani hawana Tija?
Ata kutetea hoja Yako unataka msaada na kujipendekeza kwa mwanamke.To yeye njoo uone kile nilichokuambia.
Nikikuambia Mwanamke hana tofauti sana na mwanaume. Angalia huyu ukiambiwa ni mwanaume utakataa lakini ndio hivyo
Ata kutetea hoja Yako unataka msaada na kunipendekeza kwa mwanamke.
Wewe na huyo shoga Yako mnatofauti Gani Sasa?
Empty set kabisa
Aisee,ikawe kheri kwako Mkuu...aiseeAta kutetea hoja Yako unataka msaada na kunipendekeza kwa mwanamke.
Wewe na huyo shoga Yako mnatofauti Gani Sasa?
Empty set kabisa
Mkuu una hoja ya nguvu pasipo matusi, punguza makasiriko! Hapo juu ulitumia lugha ambayo haikua kuakisi ungwana wako Mkuu.Haijalishi ni mke au hawara as long as ni damu Yako you have to take full responsibility.
Narudia tena don't just make babies and expect a helping hand from a woman, be a Father.
Nyie madogo kizazi hiki mnapenda mideko sana.
Hopeless kabisa.
Tahadhari peleka kwa shoga zako.Kwani sio Damu ya huyo Mwanamke?
Ninyi wazee wa zamani wengi mlikuwa majinga sana.
Mlikuwa na mitazamo ya kijinga sana. Na hapa leo ndio nipo kudhihirisha ujinga wenu. Wewe ndio utakuwa mwakilishi wa wazee wajinga wa zamani.
Tujadili kwa hoja.
Ukileta matusi utajibiwa kwa matusi. Nakutahadharisha
Kisa Babako alikugeuza chakula cha ZenjiTahadhari peleka kwa shoga zako.
Nimeangalia na profile picture Yako Sina shaka ata kijampio kimekiwa Biden kwa muda Sasa.
Mkuu una hoja ya nguvu pasipo matusi, punguza makasiriko! Hapo juu ulitumia lugha ambayo haikua kuakisi ungwana wako Mkuu.
Usikubali hasira ishushe hadhi yako, wewe upo juu! Hapa tunaelimishana bila kukanyagana Mkuu! 📝🙏
Mkuu hoja ya Hebel haikuwa na hata cheche ya tusi, wewe ndiye uliyeanza kutukana nanukuu jibu lako la kwanza;Kwani sio Damu ya huyo Mwanamke?
Ninyi wazee wa zamani wengi mlikuwa majinga sana.
Mlikuwa na mitazamo ya kijinga sana. Na hapa leo ndio nipo kudhihirisha ujinga wenu. Wewe ndio utakuwa mwakilishi wa wazee wajinga wa zamani.
Tujadili kwa hoja.
Ukileta matusi utajibiwa kwa matusi. Nakutahadharisha
Emu chukulia una kijana wako wa kiume let's say Yuko katika early 30 kaja kwako kama baba yake na kukuambia amemzalisha Binti na Hana Nia ya kumuoa.Mkuu una hoja ya nguvu pasipo matusi, punguza makasiriko! Hapo juu ulitumia lugha ambayo haikua kuakisi ungwana wako Mkuu.
Usikubali hasira ishushe hadhi yako, wewe upo juu! Hapa tunaelimishana bila kukanyagana Mkuu! [emoji404][emoji120]
Upendo wa Yesu kwa mwanamke kwa mantiki ipi?Mt.Paulo alisema Mwanaume ampende mwanamke wake kama Kristo anavolipenda kanisa.
Kristo analihudumia kanisa kwa kumpa mahitaji ya kiroho na kimwili. Hajawahi liacha kanisa.
Hivyohivyo kwa mwanaume Mkristo inabidi ampende mke wake kwa kumhudumia na kutomuacha/kutomsaliti ndo tunaonyesha upendo wa Yesu kwa mwanamke.
Unazidi kunidhihirishia ni kwa kiasi Gani umebeba vinyeo vya wasafiri wa mikoani mama Yako alipokukunya pale stendi.Kisa Babako alikugeuza chakula cha Zenji
Mkuu kwanza jibu la swali hili lina vary kati ya mtu na mtu, mazingira, muda, nyakati, elimu, uzoefu, umri, historia, familia, chimbuko, malezi, imani, hali, utamaduni, mazoea, hulka, tabia, fikra, mtazamo wa mtu na kadhalika.Emu chukulia una kijana wako wa kiume let's say Yuko katika early 30 kaja kwako kama baba yake na kukuambia amemzalisha Binti na Hana Nia ya kumuoa.
Kuhusu swala la matunzo ya mtoto utamshaurije?
Unazidi kunidhihirishia ni kwa kiasi Gani umebeba vinyeo vya wasafiri wa mikoani mama Yako alikukunya pale stendi.