Nampeleka Mahakamani Mwanamke niliyezaa naye kwa kushindwa kumhudumia mwanaye. Hoja nitakazopeleka Mahakamani ni hizi

Nampeleka Mahakamani Mwanamke niliyezaa naye kwa kushindwa kumhudumia mwanaye. Hoja nitakazopeleka Mahakamani ni hizi

Itapunguza kuzaa bila mpango na itadhibiti idadi kubwa ya Watu wasio na tija.
Wanawake wengi wanaozaa watoto wengi ni kwa sababu hawawajibiki kuwatunza na kuwahudumia. Ni aidha wawapelekee Mama na baba zao(Bibi na babu). Au watakuwa wanasumbua wanaume waliozaa nao wawahudumie .
Mwanamke anayehudumia watoto wake ni ngumu kuzaa idadi ya watoto wengi asioweza kuwalea.
Hii itafanya watoto watakaozaliwa wawe na tija.
Hahahaa kwa hiyo kuna Watu duniani hawana Tija?
 
Haijalishi ni mke au hawara as long as ni damu Yako you have to take full responsibility.

Narudia tena don't just make babies and expect a helping hand from a woman, be a Father.

Nyie madogo kizazi hiki mnapenda mideko sana.

Hopeless kabisa.
Sijui kama umeelewa Hoja za Robert
 
Haijalishi ni mke au hawara as long as ni damu Yako you have to take full responsibility.

Narudia tena don't just make babies and expect a helping hand from a woman, be a Father.

Nyie madogo kizazi hiki mnapenda mideko sana.

Hopeless kabisa.

Kwani sio Damu ya huyo Mwanamke?
Ninyi wazee wa zamani wengi mlikuwa majinga sana.

Mlikuwa na mitazamo ya kijinga sana. Na hapa leo ndio nipo kudhihirisha ujinga wenu. Wewe ndio utakuwa mwakilishi wa wazee wajinga wa zamani.

Tujadili kwa hoja.
Ukileta matusi utajibiwa kwa matusi. Nakutahadharisha
 
To yeye njoo uone kile nilichokuambia.
Nikikuambia Mwanamke hana tofauti sana na mwanaume. Angalia huyu ukiambiwa ni mwanaume utakataa lakini ndio hivyo
Ata kutetea hoja Yako unataka msaada na kujipendekeza kwa mwanamke.

Wewe na huyo shoga Yako mnatofauti Gani Sasa?

Empty set kabisa
 
Ata kutetea hoja Yako unataka msaada na kunipendekeza kwa mwanamke.

Wewe na huyo shoga Yako mnatofauti Gani Sasa?

Empty set kabisa

Ungetakiwa ujadili hoja. Lakini ulichowasilisha kimekuweka kundi moja na kina To yeye.

Upo karne hii kimakosa. Huna Tija
 
Haijalishi ni mke au hawara as long as ni damu Yako you have to take full responsibility.

Narudia tena don't just make babies and expect a helping hand from a woman, be a Father.

Nyie madogo kizazi hiki mnapenda mideko sana.

Hopeless kabisa.
Mkuu una hoja ya nguvu pasipo matusi, punguza makasiriko! Hapo juu ulitumia lugha ambayo haikua kuakisi ungwana wako Mkuu.

Usikubali hasira ishushe hadhi yako, wewe upo juu! Hapa tunaelimishana bila kukanyagana Mkuu! 📝🙏
 
Kwani sio Damu ya huyo Mwanamke?
Ninyi wazee wa zamani wengi mlikuwa majinga sana.

Mlikuwa na mitazamo ya kijinga sana. Na hapa leo ndio nipo kudhihirisha ujinga wenu. Wewe ndio utakuwa mwakilishi wa wazee wajinga wa zamani.

Tujadili kwa hoja.
Ukileta matusi utajibiwa kwa matusi. Nakutahadharisha
Tahadhari peleka kwa shoga zako.

Nimeangalia na profile picture Yako Sina shaka ata kijampio kimekiwa Biden kwa muda Sasa.
 
Mkuu una hoja ya nguvu pasipo matusi, punguza makasiriko! Hapo juu ulitumia lugha ambayo haikua kuakisi ungwana wako Mkuu.

Usikubali hasira ishushe hadhi yako, wewe upo juu! Hapa tunaelimishana bila kukanyagana Mkuu! 📝🙏

Tutaenda anavyotaka yeye.
Wapumbavu dawa yao sio ushauri shauri
 
Kwani sio Damu ya huyo Mwanamke?
Ninyi wazee wa zamani wengi mlikuwa majinga sana.

Mlikuwa na mitazamo ya kijinga sana. Na hapa leo ndio nipo kudhihirisha ujinga wenu. Wewe ndio utakuwa mwakilishi wa wazee wajinga wa zamani.

Tujadili kwa hoja.
Ukileta matusi utajibiwa kwa matusi. Nakutahadharisha
Mkuu hoja ya Hebel haikuwa na hata cheche ya tusi, wewe ndiye uliyeanza kutukana nanukuu jibu lako la kwanza;

" Another wasted sperm" Kwa mtazamo wangu, hili ni tusi kwa viwango vyote! Acha hizo!

Usifanye watu wajinga, tujadiliane kwa staha, heshima na uungwana.
 
Mkuu una hoja ya nguvu pasipo matusi, punguza makasiriko! Hapo juu ulitumia lugha ambayo haikua kuakisi ungwana wako Mkuu.

Usikubali hasira ishushe hadhi yako, wewe upo juu! Hapa tunaelimishana bila kukanyagana Mkuu! [emoji404][emoji120]
Emu chukulia una kijana wako wa kiume let's say Yuko katika early 30 kaja kwako kama baba yake na kukuambia amemzalisha Binti na Hana Nia ya kumuoa.

Kuhusu swala la matunzo ya mtoto utamshaurije?
 
Mt.Paulo alisema Mwanaume ampende mwanamke wake kama Kristo anavolipenda kanisa.

Kristo analihudumia kanisa kwa kumpa mahitaji ya kiroho na kimwili. Hajawahi liacha kanisa.

Hivyohivyo kwa mwanaume Mkristo inabidi ampende mke wake kwa kumhudumia na kutomuacha/kutomsaliti ndo tunaonyesha upendo wa Yesu kwa mwanamke.
Upendo wa Yesu kwa mwanamke kwa mantiki ipi?

Haya mambo kuyaacha tu, but kwangu huwezi kutumia mfano wa yule ambaye hakuwa na mwanamke, na kumgeuza kielelezo cha upendo kwa wanawake.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Emu chukulia una kijana wako wa kiume let's say Yuko katika early 30 kaja kwako kama baba yake na kukuambia amemzalisha Binti na Hana Nia ya kumuoa.

Kuhusu swala la matunzo ya mtoto utamshaurije?
Mkuu kwanza jibu la swali hili lina vary kati ya mtu na mtu, mazingira, muda, nyakati, elimu, uzoefu, umri, historia, familia, chimbuko, malezi, imani, hali, utamaduni, mazoea, hulka, tabia, fikra, mtazamo wa mtu na kadhalika.
 
Unazidi kunidhihirishia ni kwa kiasi Gani umebeba vinyeo vya wasafiri wa mikoani mama Yako alikukunya pale stendi.

Kama Babaako alivyokula kinyeo chako ndio maana muda wote unawaza vinyesi na vinyeo. Peleka upuuzi kwa Babaako aliyekufunza huo uchafu.
 
Back
Top Bottom